Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Nikuongezea tena.Unathibitishaje kitu hicho ni God na si kitu kingine chochote kile?
Au umeamua tu, kupachika hilo jina "God" na kutunga definition yako kwamba, Anything beyond man's intelligent is called God?
Imani inaweza hata kuwa ya UONGO.Ndio maana ninaendelea kueleza. Huwezi ukajibu mswali ya Chemistry kwa kutumia Idea za History.
Nimekuuliza swali kwenye #26 lakini naona unaleta ubishani tu.
Mambo ya Kuthibitisha yanatokea wapi kwenye imani?
Mimi sihitaji imani, Kwa hivyo unavyo niletea imani zako mimi ambaye sina imani lazima nikukosoe.Ukitaka kuthibitisha kitu nenda kasome sayansi
Imani huwa ina deal na Morals, Values and Ethics? Mbona mzee kichwa chako kigumu sana kuelewa?
Msingi wa imani ni kutokuwa na uhakika wala uthibitisho.Ukisoma hiyo comment yangu #26 Imeeleza vitu vingi sana.
Sayansi inajibu maswali ya How
But Imani inajibu maswali ya Why
Kwa maana hiyo, God is just an assumption created through your curiosity and imaginations.Je unajua maana ya Concept? Halafu wapi mimi nimesema God ni Kiumbe kilichopewa jina?
Nimekueleza Existence of God is a concept derived from the curiosity of human.
Nature is a physical world, Universe and everything in it.Sasa jibu swali langu
What is Nature?
Hebu ngoja sasa niingie kwenye sayansi na watu wengine wapate kujifunza.Imani inaweza hata kuwa ya UONGO.
Ili tuhakikishe na tujue kwamba imani yako ina Ukweli lazima uithibitishe.
Wewe unaleta imani zako tu bila uthibitisho, Tutahakikishaje na kuthibitishaje ni za kweli?
Mimi sihitaji imani, Kwa hivyo unavyo niletea imani zako mimi ambaye sina imani lazima nikukosoe.
Mimi sihitaji kuamini kwenye imani yako, Mimi nahitaji kujua kwa uthibitisho, ushahidi na uhakika.
Msingi wa imani ni kutokuwa na uhakika wala uthibitisho.
Kwa hivyo unaweza kuamini hata kitu cha uongo na kuunda majibu ya uongo kwa maswali ambayo huna majibu nayo.
Lakini ili tuhakikishe na kuthibitisha majibu yako ni ya kweli lazima kuwepo uhakiki, ushahidi na uthibitisho.
Kwa maana hiyo, God is just an assumption created through your curiosity and imaginations.
That God doesn't exist in reality.
Nature is a physical world, Universe and everything in it.
Sasa unasema imani inaweza kuwa ya uongo hala hapo hapo unasema huamini katika kuamini? Are you serious?Imani inaweza hata kuwa ya UONGO.
Ili tuhakikishe na tujue kwamba imani yako ina Ukweli lazima uithibitishe.
Hebu ngoja sasa niingie kwenye sayansi na watu wengine wapate kujifunza.
Je, umewahi kusoma Physics? Kama umewahi kusoma Physics utakuwa unajua kuhusu Energy
What is Energy? "Energy is the ability to do work"
The law of conservation of energy
Energy can neither be created nor destroyed - only converted from one form of energy to another.
Kwanza mimi sio mwana sayansi.Sasa wewe mwanasayansi tuambie:
Energy did not come from somewhere.Where does energy come from to exist?
Nadhani bado upo katika kujitafuta. Utakapojipata, utajicheka sana. Nimekueleza unataka maswali ya Chemistry yajibiwe kwa elimu ya History. Utachanganya madesa kijana wangu.Mimi sihitaji imani, Kwa hivyo unavyo niletea imani zako mimi ambaye sina imani lazima nikukosoe.
Mimi sihitaji kuamini kwenye imani yako, Mimi nahitaji kujua kwa uthibitisho, ushahidi na uhakika.
Kwanza mimi sio mwana sayansi.
Maana hata sayansi yenyewe kuna vitu vingi bado haijavijua na kuvithibitisha.
Pia bado sayansi ina mapungufu yake kwenye nadharia zake.
Energy did not come from anywhere.
Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe kimetokea sehemu fulani, Hata hiyo sehemu fulani lazima iwe imetokea sehemu nyingine fulani.
Na kama si lazima kwamba kila kitu kilichopo kimetokea sehemu fulani,
Hata Energy haihitaji kuwa imetokea sehemu fulani.
Sijakuuliza kuwa Energy imetokea wapi? Soma swali langu. Nimekuuliza ni namna gani Energy ilitoka na ikawa ipo?Energy did not come from anywhere.
Sasa wewe unaleta imani zako kwenye sayansi inayo hitaji uthibitisho na uhakiki?Nadhani bado upo katika kujitafuta. Utakapojipata, utajicheka sana. Nimekueleza unataka maswali ya Chemistry yajibiwe kwa elimu ya History. Utachanganya madesa kijana wangu.
Imani is not Science imani deals with Morals, Values and Ethics Kama huelewi na hapa basi utakuwa na shida kichwani mwako.
Energy haikutoka.Sasa kama wewe siyo mwanasayansi kwanini uulize kitu usichokijua? Kwahiyo hapa tunapiga umbea tu.
I am done with you. Napoteza muda wangu bure to deal with a mbumbumbu
Sijakuuliza kuwa Energy imetokea wapi? Soma swali langu. Nimekuuliza ni namna gani Energy ilitoka na ikawa ipo?
Sayansi and Faith are two thing different. UsilazimisheSasa wewe unaleta imani zako kwenye sayansi inayo hitaji uthibitisho na uhakiki?
Huoni kwamba unataka majibu sehemu isiyo husika?
Hakatazwi kuwa na imani yako kuhusu huyo Mungu, ila Ukianza kudai imani yako ina ukweli, lazima uthibitishe hilo.
Sasa na wewe usilete imani zako kwenye sayansi kutaka ikupe majibu.Sayansi and Faith are two thing different. Usilazimishe
Umesema hujui sayansi. Sina muda wa kujadiliana na wewe. Maana nikiweka hapa calculations za physics tutapoteana tu. Sitaki umbea mimiEnergy haikutoka.
Energy ilikuwepo, ipo na itaendelea kuwepo.
Nani ameleta Imani kwenye sayansi? Wapi nimeleta Imani kwenye sayansi. Usinilishe maneno.Sasa na wewe usilete imani zako kwenye sayansi kutaka ikupe majibu.
You are just throwing tantrums.Nani ameleta Imani kwenye sayansi? Wapi nimeleta Imani kwenye sayansi. Usinilishe maneno.
From the beginning nimekueleza Sayansi na Imani ni vitu viwili tofauti.
Science deals with Physical things.
Faith Deals with Philosophical issues.
Somo la God is not Science subject is a Faith subject.
Sasa unataka topic ya Chemistry uijibu kwenye History?
You are Stupid
Unapenda ubishani wa kipumbavu. π€£ π€£ π€£ Nenda shule kijana. Ukielimishwa elimika. Toa utando wako kichwani mwako.You are just throwing tantrums.
Sasa kama unajua sayansi na imani haviendeani, Kwa nini unaleta habari za huyo Mungu na unajua sihitaji majibu ya kiimani?
Kuweka calculations za sayansi za nini?Umesema hujui sayansi. Sina muda wa kujadiliana na wewe. Maana nikiweka hapa calculations za physics tutapoteana tu. Sitaki umbea mimi
Wewe ndio Mpumbavu unasema Mungu ni imani, Halafu hapohapo unaleta habari za sayansi zisizo hitaji imani.Unapenda ubishani wa kipumbavu. π€£ π€£ π€£ Nenda shule kijana. Ukielimishwa elimika. Toa utando wako kichwani mwako.
Mzee uelewaa wako ni wa chini mno. π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ Pamoja na kukupatia free education bado unaleta ubishi wa kijinga tu. Unadhani watu wanao amini uwepo wa Mungu ni wajinga halafu wewe ndiye mwelevu kuwazidi wao.Wewe ndio Mpumbavu unasema Mungu ni imani, Halafu hapohapo unaleta habari za sayansi zisizo hitaji imani.
Wewe ndio kichwa maji.
Je na kile kizazi kabla Bwana Yesu hajazaliwa wao wamkiri Nani sasa Ile Iwe njia ya wokovu wao?ukimkiri Yesu kuwa Bwana na mkombozi wako utaokoka kupitia Yesu kristo mnazareth mkombozi ukimkiri kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yako utaenda mbinguni hila usipomkubali mbingu hutaiona pia ukishamkubali kuwa mwokozi wako acha dhambi kaa katika utakatifu acha dhambi kabisa omba toba kaa kwenye utakatifu utaenda mbinguni kwa Baba yetu aliyeziumba mbingu na nchi kwa hiyo kuanzia sasa kubali kumpokea Yesu kuwa Bwana na mkombozi wa maisha yako kwa kuomba toba ππππππππ