Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Zamani kuhoji kama Mungu yupo ama hayupo ilikuwa haiwezekani, lakini siku hizi kutokana na maendeleo ya teknolojia watu wanahoji tena wakati mwingine wakitumia majina bandia.
Kabisa... Kila dini imejikuta teknolojia hasa ya mawasiliano kama imefungua milango ya hali tete.Dini zitapaswa kubadilika ili kuendana na mifumo mipya
Na dini zimeshikilia watu akili.Zamani kuhoji kama Mungu yupo ama hayupo ilikuwa haiwezekani, lakini siku hizi kutokana na maendeleo ya teknolojia watu wanahoji tena wakati mwingine wakitumia majina bandia.
Dini wana funguo madhubuti sana ya kwenye Saikolojia ya binadamuKabisa... Kila dini imejikuta teknolojia hasa ya mawasiliano kama imefungua milango ya hali tete.
Yaliyokuwa hayaulizwi zamani, Sasa yanahojiwa tena watu wanahoji uhalali wake.
Lakini kwenye mitandao Sasa hivi wapo waislamu wanaokosoa mambo mbali mbali ya Uislamu ikiwa na pamoja na matumizi ya Hadithi kuisimamisha Quran.
Chochote katika Uislamu lazima ufanye rejea kwenye qur'an au sunna sahihi za Mtume au kwa masahaba waongofu,kwahiyo si tekinolijia au nyakati ambazo zitaubadilisha uislamu
Hakuna kitabu chochote cha dini kilichokataza kuoa wake wengiLakini kwenye mitandao Sasa hivi wapo waislamu wanaokosoa mambo mbali mbali ya Uislamu ikiwa na pamoja ya matumizi ya Hadithi kuisimamisha Quran.
Kwa mfano wapo wanaosema kuoa wake wengi si maamrisho ya Quran. Nadhani teknolojia iko siku itathibitisha huu mtizamo wako siyo sahihi.
Nchi zote za kiislamu ,teknolojia yoyote inayokubali kuilinda dini ndio inayokubalika , ndio maana dini inapigania serikali za kidini ili kulinda maslai ya kidini.Sijui kwa dini nyingine,lakini kwa upande wa uislamu hakuna namna utaleta janjajanja au au sijui tekinilojia itie pua yake pale
Chochote katika Uislamu lazima ufanye rejea kwenye qur'an au sunna sahihi za Mtume au kwa masahaba waongofu,kwahiyo si tekinolijia au nyakati ambazo zitaubadilisha uislamu
Umeisoma hoja yangu kwa muktadha wake... Soma tena.Hakuna kitabu chochote cha dini kilichokataza kuoa wake wengi
Nimesoma na nmekupa jibuUmeisoma hoja yangu kwa muktadha wake... Soma tena.
waislam wanasema uislam haubadiliki wakati tunaona unabadilika kila uchaoDini zitapaswa kubadilika ili kuendana na mifumo mipya
Unasema wapo wanaosema kuwa kuoa wake wengi sio maarimsho ya qur'an, siku nyingine wakisema waambie wakupe risiti inayothibitisha hilo,uislamu hauna nani kasema bali unatakiwa kuleta dalili kwenye qur'an au kwenye sunna.Lakini kwenye mitandao Sasa hivi wapo waislamu wanaokosoa mambo mbali mbali ya Uislamu ikiwa na pamoja ya matumizi ya Hadithi kuisimamisha Quran.
Kwa mfano wapo wanaosema kuoa wake wengi si maamrisho ya Quran. Nadhani teknolojia iko siku itathibitisha huu mtizamo wako siyo sahihi.
Unalindwa na mtutu wa bunduki na sheria kali ili teknolojia itakayo jaa kwenye mfumo wa dini ndiyo itakayokubaliwa.waislam wanasema uislam haubadiliki wakati tunaona unabadilika kila uchao
sijaelewa hasa unamaanisha niniNchi zote za kiislamu ,teknolojia yoyote inayokubali kuilinda dini ndio inayokubalika , ndio maana dini inapigania serikali za kidini ili kulinda maslai ya kidini.
Ngoja tuendelee tu utaelewa mbelesijaelewa hasa unamaanisha nini
Typhoid haiambukizani mkuuNa dini zimeshikilia watu akili.
Marekani wana viwanda vingi kuliko makanisa na misikiti ila wanaishi maisha ya kifahari
Kumaanisha teknolojia ndio mkombozi wa urahisi wa maisha.
Ila sisi huku afrika, kila kona utakutana na moja tunaambukizana kila siku taifod