Je dini zitaeweza kuhimili maendeleo ya teknolojia?

Je dini zitaeweza kuhimili maendeleo ya teknolojia?

Sijui kwa dini nyingine,lakini kwa upande wa uislamu hakuna namna utaleta janjajanja au au sijui tekinilojia itie pua yake pale

Chochote katika Uislamu lazima ufanye rejea kwenye qur'an au sunna sahihi za Mtume au kwa masahaba waongofu,kwahiyo si tekinolijia au nyakati ambazo zitaubadilisha uislamu
Usilamu ni dini inayoogopa sana tekinolojia ndio mana mafundisho yao yamejikita kujenga uadui kati yake na taknolojia na watubwanaounda taknolojia hiyo kupelekea kuanzisha makundi kama boko haramu.
 
Neil deGrasse Tyson’s quote, "God is an ever-receding pocket of scientific ignorance." As science and technology advance, umuhimu wa Mungu na dini unazidi kupungua.

Neil Degrasee anaamini kuwa Akili ya kisayansi ya ajabu kuliko zote katika historia ni ile ya Isaac Newton:

View: https://youtube.com/shorts/HnQ5SoQYpe4?si=9fa2qR4n2nZaD3VI

Isaac Newton alikuwa Mkristo mwenye IMANI thabiti. Aliwahi kusema:

"Mfumo huu mzuri sana wa jua, sayari, na vimondo usingeweza kuwepo isipokuwa kutokana na shauri na utawala wa Kiumbe mwenye akili. … Kiumbe huyu hutawala vitu vyote, si kama roho ya ulimwengu, bali kama Bwana juu ya yote; na kwa sababu ya utawala wake, kwa kawaida huitwa “Bwana Mungu” au “Mtawala wa Ulimwengu Wote”. … Mungu Mkuu ni Kiumbe wa milele, asiye na mipaka, mkamilifu kabisa."

Akili ya sayansi ya ajabu kuliko zote inakiri YESU NI BWANA! ! !

Werner Heisenberg (Nobel winning Quantum Physicist) alisema:

“Kinywaji cha kwanza kutoka kikombe cha sayansi kitakugeuza mkana Mungu, lakini chini kabisa ya kikombe, utakuta Mungu anakungoja.”

Louis Pasteur (Mtaalam wa Microbiology aliyegundua bacteria) alisema:

“Sayansi kidogo humtenga mtu na Mungu, lakini sayansi nyingi humrudisha kwake."

BTW, kinachoitwa sayansi karne hii ya 21 ni Siasa. Hakuna kitu kama "sayansi imesema" leo hii, ni nani kasema.

Mfano
wa hicho ni huu:

this is Dr. James Tour (one of my favourite Christian Apologetics, a Chemistry nanotechnology, and Materials Science Professor),

anawa challenge kina Dr. Craig Ventor na wanafunzi wake, waliodai "Sasa tuko katika hatua ambayo tuna uwezo wa kweli kuumba maisha kutoka vitu visivyo hai. (2010)"

View: https://youtube.com/shorts/n8amHQH2JKI?si=K3VINlYQBzw5vKHK

Walioshikilia uskani na vipaza sauti, waliojipa mamlaka ya kutangaza taarifa za tafiti za kisayansi ulimwenguni leo ni vibaraka wa shetani, wakana MUNGU.

Watalaam wenzao wenye kazi zao zinazowapinga hawa mainstream scientists hawasikiki, wanafungwa midomo, tena wananyanyapaliwa huko vyuoni na kwenye mabaraza yao, kazi zao zinafichwa kwenye makabati chini kabisa huko.

Mfano huyu hapa Dr. Ron Neller mtaalamu wa mafuriko (Geomorphology PhD) anavyosimulia jinsi alivyokuja kuhutimisha kuwa kweli kulikuwa na Gharika dunia nzima tofauti na yeye mwenyewe alivyofundishwa chuoni, na jinsi alivyokataliwa na kuwa harassed na watalaamu wenzie. Ndipo akawa Mkristo.

View: https://youtu.be/-FxhF6HREEw?si=zDAr9qv8CbPs1mDx

Ukitaka kuwasikia, utawapata kwa kuchimba. Ndo hao kina James Tour, kina John Lennox (Math PhD), Dr. Michael Guillen (Math, Astronomy & Physics PhD), wanaofanya kazi ya ziada kusambaza taarifa zao kibinafsi.

Au wajiunge wengiwengi watengeneze mashirika yao wenyewe, kama kina:

1) Institute of Creation Research (ICR)

2) Creation Ministries

3) Answers in Genesis

All these are Christian Doctors ukiwafuatilia wanasema kabisa on their course of study wamekuja kugundua vitu havipo kama walivyofundishwa, ndo takataka wanafundishwa watoto wetu huku chini.

These are the ones who made it: they got the strength to challenge and speak against this ruthless, deceptive system.

Most wanakaa kimya wanaendelea kusambaza uongo na kufundisha uongo wapate mishahara siku ziende.

Ukana Mungu ni UZEMBE.
 
Sijui kwa dini nyingine,lakini kwa upande wa uislamu hakuna namna utaleta janjajanja au au sijui tekinilojia itie pua yake pale

Chochote katika Uislamu lazima ufanye rejea kwenye qur'an au sunna sahihi za Mtume au kwa masahaba waongofu,kwahiyo si tekinolijia au nyakati ambazo zitaubadilisha uislamu
Quran imebadilika sana, wazuoni wa kiislam walichowaweza waumini wao ni kuwaaminisha kwamba quran haibadiliki. Quran ingekuwa haibadiliki kwenda na wakati ingeshapotea zamani sana.
 
Quran imebadilika sana, wazuoni wa kiislam walichowaweza waumini wao ni kuwaaminisha kwamba quran haibadiliki. Quran ingekuwa haibadiliki kwenda na wakati ingeshapotea zamani sana.
Lete risiti kutoka kwenye qur'an,ukifanikiwa leo ntakula kitimoto kwa mara ya kwanza
 
Sijui kwa dini nyingine,lakini kwa upande wa uislamu hakuna namna utaleta janjajanja au au sijui tekinilojia itie pua yake pale

Chochote katika Uislamu lazima ufanye rejea kwenye qur'an au sunna sahihi za Mtume au kwa masahaba waongofu,kwahiyo si tekinolijia au nyakati ambazo zitaubadilisha uislamu
Utabadirika tu watu kupitia quran hiyo hiyo watapinda humo humo ni swala la muda tu.
Wameanza akina Dr. Sule kutangaza ulimwengu wa majini wakiwa wanajifichia kwenye uislamu wataendelea kuongezeka wengine pia.
 
watu watabadilika lkn sio dini ya Allah
 
Back
Top Bottom