Je dini zitaeweza kuhimili maendeleo ya teknolojia?

Je dini zitaeweza kuhimili maendeleo ya teknolojia?

Hapa Kuna kitu unachanganya.

Dini ni nini!? Na Teknolojia ni nini!?

Dini zilianza lini na Teknolojia ilianza lini!?

Je, kwa karne zote za nyuma kulikuwa na Maendeleo ya Teknolojia!? Ndio au hapana!? Mbona hayakuathiri uwepo wa Dini!? Kwanini sasa!?

Je, kama Maendeleo yalikuwepo kwanini Bado Dini zipo mpaka sasa!?

Je, Maendeleo ya Teknolojia yamefikia tamati!? Je, kwa Maendeleo hayo Dini zipo au hazipo?
Teknolojia inavyozidi kukua ndio mabadiliko yanapozidi. Nyuma kulilua na teknolojia lakini haiwezi kuwa sawa na Sasa. Zamani kumtumia mtu ujumbe npaka uandike barua utume kwa bus, lakini Sasa hivi tuna simu

Zamani mtu ambae hajafundishwa Quran alikua hwezi kusoma Quran. Lakini Sasa hivi kupitia teknolojia Quran imeweza kutafsiriwa kwa lugha yako
 
Huwezi kuilewa qur'an peke yake pasina hadith za Mtume,kuna mambo yameelezwa kwenye qur'an lakini ufafanuzi wake umeelezwa na Mtume Muhammad swala aallahu alaih wassalamu

mfano huyo muislamu anayesema qur'an inajitegemea muulize ALLAH kasema tuswali swala tano,je qur'an imeonyesha namna ya kuswali?

Muulize tena qur'an imesema enyi waja wa Allah mkitaka kuswali osheni nyuso zenu na vichwa vyenu,muulize je namna ya kuosha viungo vyengine je tumeelekezwa na nani?

kisha wakikujibu njoo hapa tena tujadiliane
Hakuna haja ya yeye kurudi kwa hao watu ikiwa utofauti wa mapokeo ya Kati ya waislam upo wazi.
Sunni na shia utofauti wao upo kwenye Nini? Kwa nini watofautiane ikiwa wote ni waislam?
Utofauti wa shia na sunni si wa kificho, unahisi wao hawaijui Quran? Kama wanaijua kwa nn wanatofautiana?
 
Castle_Lite njoo uone huku hivi tunavyoshinda makanisani tunasema "napokeeaaa” wakati wajapan wanakesha wakitengeneza magari si ni sawa tu?

Anyways tunapokea kwa imani..
Kuna mtu anajiita nabii shilla, ana kanisa mwenge. Huwa ana page Instagram, huwa anawaambia waumini wake andika hapo chini neno napokea, huwezi amini Kuna mamia ya watu wanaandika hilo neno napokea

Huyu nabii shilla anajulikana ni tapeli lakini bado Kuna watu wanaamini ana miujiza. Hii ndio jamii tuliyonayo, inasikitisha sana
 
Kuna mtu anajiita nabii shilla, ana kanisa mwenge. Huwa ana page Instagram, huwa anawaambia waumini wake andika hapo chini neno napokea, huwezi amini Kuna mamia ya watu wanaandika hilo neno napokea

Huyu nabii shilla anajulikana ni tapeli lakini bado Kuna watu wanaamini ana miujiza. Hii ndio jamii tuliyonayo, inasikitisha sana
Watu wanaangamia sana na kuwa brainwashed, ata kama unaamini hakuna haja ya kuwa hivyo🙆🏽‍♀️
 
Teknolojia inavyozidi kukua ndio mabadiliko yanapozidi. Nyuma kulilua na teknolojia lakini haiwezi kuwa sawa na Sasa. Zamani kumtumia mtu ujumbe npaka uandike barua utume kwa bus, lakini Sasa hivi tuna simu

Zamani mtu ambae hajafundishwa Quran alikua hwezi kusoma Quran. Lakini Sasa hivi kupitia teknolojia Quran imeweza kutafsiriwa kwa lugha yako
Hata biblia
 
Teknolojia inavyozidi kukua ndio mabadiliko yanapozidi. Nyuma kulilua na teknolojia lakini haiwezi kuwa sawa na Sasa. Zamani kumtumia mtu ujumbe npaka uandike barua utume kwa bus, lakini Sasa hivi tuna simu

Zamani mtu ambae hajafundishwa Quran alikua hwezi kusoma Quran. Lakini Sasa hivi kupitia teknolojia Quran imeweza kutafsiriwa kwa lugha yako
Je, Dini zipo au hazipo!?
 
Zitaondoka sababu maasi yatazidi.
Ila UKWELI UTABAKI pale pale dini ndo muongozo sahihi wa binadamu KUTOKA Kwa Mungu wake.acha hyo sayansi ya juzi juzi unayoiamini wewe
Dini ingekuwa ndio muongozo sahihi wa binadamu, Kusingekuwa na haja ya kuanzishwa mahakama, Magereza, sheria na haki za kuongoza na kulinda maisha ya mwanadamu.

Dini zilifeli toka kitambo, ndio maana ikaonekana ipo haja ya kutungwa sheria na haki za binadamu kuleta MUONGOZO sahihi wa maisha ya mwanadamu duniani.

Hakuna Mungu.

Mungu hajawahi kuwepo na hayupo.
 
Maendeleo ya technology ni MUNGU anasema: SI NILIWAAMBIA?

Wewe unaona yamekuja kupindua imani, sisi huku tunaona merging of prophecy on all fronts, yamekuja kuimarisha imani.

MUNGU WETU ALISEMA, JE HAYATOKEI KAMA ALIVYOSEMA? ? ?

TUMIA AKILI.

1)
"Basi, huyu mnyama wa pili akafanya miujiza mikubwa hata akasababisha moto kutoka mbinguni ushuke duniani mbele ya watu.

Aliwapotosha wakazi wa dunia kwa miujiza hiyo aliyojaliwa kutenda mbele ya mnyama wa kwanza. Aliwaambia wakazi wa dunia watengeneze sanamu kwa heshima ya yule mnyama aliyekuwa amejeruhiwa kwa upanga lakini akaishi tena.

Kisha alijaliwa kuipulizia uhai hiyo sanamu ya yule mnyama wa kwanza, hata ikaweza kuongea na kuwaua watu wote ambao hawakuiabudu.

Aliwalazimisha wote, wadogo na wakubwa, matajiri na maskini, watu huru na watumwa, watiwe alama juu ya mikono yao ya kulia au juu ya paji za nyuso zao.

Akapiga marufuku mtu yeyote kununua au kuuza kitu isipokuwa tu mtu aliyetiwa alama hiyo, yaani jina la yule mnyama au tarakimu ya jina hilo.

Hapa panatakiwa hekima! Mwenye akili anaweza kufafanua maana ya tarakimu ya mnyama huyo, maana ni tarakimu yenye maana ya mtu fulani. Tarakimu hiyo ni 666."

Ufunuo13.13-18.BHN


2) "
Ila sasa, Danieli, weka siri mambo hayo; kifunge kitabu na kukitia mhuri mpaka wakati wa mwisho utakapofika. Wengi watakimbilia huko na huko, na maarifa yataongezeka."
Danieli.12.4.BHN

3) Hata nyie mlioiacha imani na kujiona mna akili sana na kukumbatia dini yenu mpya ya scientism inayoamini sayansi ndo itawapa majibu ya kila kitu maishani, na kukumbatia kutafuta utajiri kama lengo la maisha yenu, hata nyie ni utimizo wa unabii. Sisi tuaminio tukiwaona tunafarijika kwani SI MUNGU WETU ALISEMA? ? JE HAYAWI?

"Kumbuka kwamba, katika siku za mwisho kutakuwa na nyakati za taabu.

Watu watakuwa na ubinafsi, wenye tamaa ya fedha, wenye majivuno, wenye kujiona, wenye kumtukana Mungu.... na waovu..."

2Timothy.3.1-2.BHN


"Tena, wengi wataiacha imani yao, watasalitiana na kuchukiana."
Mathayo.24.10.BHN



BTW hizo nchi mnazozihusudu zimeendelea sana zimejengwa na kina nani? ?


Wangekuwa washika mauzauza tangu mwanzo mnafikiri wangefika hapo? ?

Ukitaka kujua faida za mauzauza ona hali zilivyo sasa hivi huko. We have a mentally disturbed, drug consuming generation who dont even know what gender they are! ! !

Are these the people who could have built those nations? ? ?

Most seem to only get meaning in life from fighting people with meaning in life: peole with faith.

The paradox. You dont believe in something then spend your whole life consumed by it. Speaking of being mentally disturbed.


Let's hear from the founding fathers of America:

i) George Washington, Rais wa kwanza wa Marekani, alisema:

“Unafanya vyema kutamani kujifunza sanaa zetu na njia zetu za maisha, na zaidi ya yote, dini ya Yesu Kristo. Mambo haya yatakufanya muwe taifa kubwa zaidi na lenye furaha kuliko mlivyo sasa.”

ii) John Adams, Rais wa pili wa Marekani, alisema:

“Kanuni za jumla ambazo mababa wa taifa walitumia kufikia uhuru zilikuwa kanuni za jumla za Ukristo Ninakiri kwamba niliamini wakati huo, na ninaamini hata sasa, kwamba kanuni hizo za jumla za Ukristo ni za milele na zisizobadilika kama vile uwepo na sifa za Mungu.”

iii) John Quincy Adams, Rais wa sita wa Marekani, alisema:

“Katika mfululizo wa matukio ya kibinadamu, siku ya kuzaliwa kwa taifa letu imefungamanishwa bila kutenganishwa na siku ya kuzaliwa kwa Mwokozi. Azimio la Uhuru liliweka jiwe la msingi la serikali ya wanadamu juu ya kanuni za kwanza za Ukristo.”

iv) Maneno kutoka Azimio la Uhuru wa Marekani (Declaration of Independence):

“Tunashikilia ukweli huu kuwa ni wa wazi wenyewe, kwamba watu wote wameumbwa wakiwa sawa, kwamba wamepewa na Muumba wao haki fulani zisizoweza kunyang’anywa, na miongoni mwa haki hizo ni Uhai, Uhuru, na utafutaji wa Furaha... Na kwa ajili ya kuunga mkono Azimio hili, kwa kutegemea kwa uthabiti ulinzi wa Maongozi ya Kimungu (divine Providence), tunaahidiana sisi kwa sisi kutoa Maisha yetu, Mali zetu, na Heshima yetu takatifu.”

v) Na maneno kutoka rais wa mwisho wa Marekani, Donald Trump :2Head: (I don't believe I'm quoting this guy):

"I believe people can't be happy without religion, without that belief. Let's bring religion back. Let's bring God back into our lives".
Kuhusisha Mungu na teknolojia. Ni kufanya logical fallacy inaitwa non-sequitur.

Una unganisha vitu viwili tofauti visivyokuwa na uhusiano wowote ule, kuunda hitimisho potofu.

Kuhusisha Mungu na watu mashuhuri ni kufanya logical fallacy inaitwa celebrity fallacy.

Celebrity Fallacy
Definition:The Celebrity Fallacy is committed when you argue that something is right merely because it is accepted by some famous person(s).
Also Known As:Appeal to Celebrity Fallacy

Source: Logically Fallacious Appeal to Celebrity

The Divine Fallacy: When People Assume that God Must Be the Explanation – Effectiviology The Divine Fallacy: When People Assume that God Must Be the Explanation – Effectiviology
 
Dini" iliyokamilika " ya mnyaaaanza yenye ilim zote na fani sote .Mpaka Sasa imeshapigwa 10 : 0 na artificial intelligence ( AI) bwana madevu aliyeo kitoto Cha kiaka 6 na kuwaahidi wafuasi wake ulabu na ngono zembe na majini 72 ya kike alikuwa hajui lolote kuhusu computa Wala simu
 
Kiukweli kabisa jukwaa halina nidhamu kabisa,halafu ni mtandao wa kitanzania huu,hakika ni aibu kubwa sana
Hawa vijana pakubwa Jf kupoteza hadhi yake . Kuna kipindi kabla ya kufungiwa na maandamano habari na Hoja Mchanganyiko kulichafuka mpaka international forum na sports wanaleta mambo ao yao ajabu.
 
Back
Top Bottom