Je, Dkt. Bashiru ni nani hasa na nani yuko nyuma yake (giza nene)?

Kuna mambo mengi nyuma ya pazia ni wale wenye maono tunaweza kuyajua .ningeweza kuweka baadhi ya mambo ila ngoja kwanza niwe na uhakika Wa kesho yangu nitarudi (Mingi ibariki Tanzania)
 
Unachokifanya hapa ni sawa na kupeleka injili kwenye kilabu cha pombe za kienyeji. Swali ni sahihi, lakini hadhira (Ummah) uliyoipa hili swali siyo sahihi........

Nimesoma majibu machache tu na kutambua kwamba watanzania wengi mno, ni watu wenye fikra zilizochini ya kiwango (Below Average) ilhali tunajikuta wajuaji kupita kiasi......

Tanzania imefika sehemu mbaya mno, kiasi kwamba wale watu wenye akili na wanaofahamu mambo huwezi kuwakuta wanaongea hadharani wala kuchangia chochote kile. Ila wale wasio na ufahamu wanaongea sana.....

Yote tisa Tanzania iko sehemu mbaya mno. Katika ngazi ya kitaifa na kikanda. Siku zijazo watanzania tutatia akili, we subiri........
 

Huo ubunge upo kikatiba mzee, kuondolewa kwake labda apewe Ubalozi wa nchi mana tayari ni Balozi! Afu Kakuru ni akili kubwa kulinganisha na zako na za Kigwangala. Mama anaupiga mwingi eeeeh
 
Katiba inasema kila mtu ana uhuru wa kutoa mawazo yake ili mradi asivunje sheria. Haya wanaomsuta Bashiru waonyeshe sheria aliyovunja! Usimsute mtu kabla ya kutafakari.
Kwanza hao vijana wameisha Unda na clikar Yao na mkakati wa njinsi ya kufikia lengo Moja ya iyo mikakati ni

1.kugawana wizara za kimkakati kama

Keylimooo, habari, na nishaat

2 .waaazri wa habr ye kapewa jukumu la kununua watoa habari wooote hasa wamiliki na wahariri. Kazi iyo imekamilika kama unamacho utakuwa umeona

3.kuwamiliki viongz katika DNI iyo kazi imebaki kidogo kukamilika

4.E kulu ilikuwa na kazi ya kubagain na hao waliokuwa wapnzn kazi iyo tyr imeisha

Kama hatutashtuka itakuwa too late
Akina 2ndu kwa Sasa Kila wakiongea ni chato tu maana makubaliano Yao ni kumwacha b b Yao afanye atakavyo
 
Umeingia na zote mkuu, yaani umekula zote. Uzuri tumepata kuwajua mapema sana na jogoo yu karibu kuwika.

Tutaelewana tu.
 
Huo ubunge upo kikatiba mzee, kuondolewa kwake labda apewe Ubalozi wa nchi mana tayari ni Balozi! Afu Kakuru ni akili kubwa kulinganisha na zako na za Kigwangala. Mama anaupiga mwingi eeeeh
Rais huyu anaweza kuvunja sheria na wote tukaishia kupiga kelele tuu bila kumfanya kitu

Anaweza kumtoa Ubunge aliompa (kumtengua kiaina) Bashiru na kusema atapangiwa Ubalozi au kazi nyingine… na asipangiwe akaishia kusugua bench huku akisoma magazeti. Na mkaishia kulialia tu kwamba Bashiru ni akili kubwa

You really believe Bashiru ana akili kubwa? Kichekesho
 
Nimekuwa mtu napenda kuandika kesho ya Taifa hili ktk mabandiko yangu tofauti tofauti na watu wengine wamekuwa wakihisi nakunidhania hata mm yawezekana nipo ktk list ya watu wanapata nyeti za ikulu
Sifa unajipa usizostahili
 
Well narrated
 
Niliwahi kuanzisha thread kama tatu ambazo kwa mwenye macho ya mbali anaweza ku connect dot na hiki ambacho kinaendelea. Yes Kuna hali ambayo naweza kusema Taifa lina pita na nimtu akichomoa bettery basi moto unalipuka.
Hizi ni Longolongo tu. Samia is there to stay for long while.
 
Ndio mnvyojipa moyo?
 
Watakumbuka Katiba Mpya too Late
 
Hata Membe hakujibiwa na JPM ni kawaida ya CCM kutumia watu kama Musiba kujibu mapigo so hawajaanza Leo.

Kuhusu Bashiru Hana hizo nguvu mnazompa hapa, ndio tuliaminishwa Membe ana hizi nguvu au Lowassa ila mwisho wa siku wote tunafahamu yaliyotokea.

Kwa katiba yetu Rais na Mwenyekiti wa CCM ndio alpha na omega hakuna wa kumchallenge!! Hata JPM ni kifo tu otherwise hakuna ambaye angemtishia kwa lolote!!
 
Watakumbuka Katiba Mpya too Late
Cha kuchekesha Bashiru atagombea Ubunge 2025 kupitia chama Cha upinzani afu naye ataanza kulia Lia eti tume sio huru.

Huyu jamaa apigwe virungu mpaka akili zirudi, huwa wanajisahau sana wakipata madaraka.
 
Rais anatisha kama Nyukilia, katiba imempa Uwezo wa kutumia Tools na Instruments zote zenye siraha kali dhidi ya binadamu yeyote. Hakuna wa kukohoa.
 
Cha kuchekesha Bashiru atagombea Ubunge 2025 kupitia chama Cha upinzani afu naye ataanza kulia Lia eti tume sio huru.

Huyu jamaa apigwe virungu mpaka akili zirudi, huwa wanajisahau sana wakipata madaraka.
😅😅😅nilifurahi sana alivyopigwa Lowasa.

Lowasa yalimkuta mambo mazito sana kama haya.

Alijiandaa kuwa Rais kwa miaka mingi na aliwekeza pesa ndefu sana.

Miaka yoote hakuwahi kuwa mtetezi wa Katiba Bora wala sheria bora na Tume huru.

Aliamini atakuwa Rais kupitia ccm kwa mgongo wa Katiba mbovu.

Ebwanaaeee yakamkuta yaliyomkuta.

Shimo alilojichimbia akatumbukia hadi leo kapotea mazima anasubiri tu R.I.P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…