Je, Dkt. Dorothy Gwajima ataiweza vita dhidi ya ushoga?

Je, Dkt. Dorothy Gwajima ataiweza vita dhidi ya ushoga?

Ni wivu tu wa mashoga wa humu, mtu asifanye biashara tayari wanahisi anataka kuwaibia madanga yao..!!

Wamemkalia Anko T kichwani utasema ana figo lao, wao wamezoea kujisell kazi hawana. Wamuache mwenzao afanye kazi, apambanie maisha yake..!!

Vita yao ya TikTok wasituletee huku wamalizane huko huko. Mtu anajipa umuhimu na mknd wa mwenzie kasahau kuulinda wake umetobolewa..!! Mxiewwww 😹😹😹
😂😂😂😂
 
Ila huu uzi unaanza kunichekesha sasa..!! 😹😹

Sasa machoko mnakasirika nini?
Kwahiyo hamtaki kuambiwa ukweli kama mnamuonea wivu Anko T?
Mwenzenu ana biashara nyie 24/7 mnazurura JF hamjioni kama mataahira??

Mtu mmoja ana ids lukuki huku mwanamke huku mwanaume.. huku anakemea ushoga huku na yeye ni shoga. Tafrani tupuuuu!!
😂😂😂😂
 
Ahsante sana. Kumbe waalimu wema mpo kabisa. Jamani elimisheni jamii, vinginevyo wengine watakuja wadhani akina Dorothy Gwajima tunakuja tu na chuki binafsi au kwa faida yetu halafu tukapigwa mawe na jamii hiyo hiyo tunayoipigania, huu mchezo upo sana wa kiongozi anaweka mambo sawa halafu jamii ya wajanja hasara inaidanganya na kuipotosha sehemu ya jamii kisha unashangaa unashambuliwa tena. Ila kwa Mimi, this time, tutaenda sambamba, naomba wenye Elimu ya mambo haya wasaidie kuelimisha wengine maana, huenda migongano yetu ni sababu tu ya kupishana kwenye uelewa. Ahsante sana.
Yaan wewe uende sambamba kuliko Makonda?? Tena wakati wa JPM?

wewe mama Vicky acha kutumia hii kete ya kutaka kukubalika na waja, wahadae hawa wapumbavu, huna huo uwezo.
Naona umechoka uwaziri, vieite na posho za Mil 20, na ubunge wa kupewa utapokonywa.
We cheketukq hovyo tyuuh. 😂😂😂
 
Miamba sio poa , mpaka mh: waziri kaingia mitini😅
5EBA8B16-7A0E-4ADA-927C-4C1DEA2F0A68.jpeg
5652734C-400B-4277-86DA-F19E2B84B7A4.jpeg
 
Watu wana hasira, Twalibu kabutua life.
😂😂😂😂
Wivu wenyewe wanadangia JF kwa id za kike kumbe vidampa waliochunda..!! 😹😹

Wao waje kkoo niwape mikorogo wang’ae watoe weusi wenye sugu..!! Tena nimeshusha mzigo mpya kutoka Korea waache kupaka wa tandika wa maji ya betri..!! 😹😹😹

Hivi unajua JF watu wana mambo ya kijinga sana wamemkalia kooni Anko T ambaye yuko busy na biashara zake na mlipa kodi mzuri wa serikali..!! Anachangia ARV wanazopewa bure kupitia kodi yake..!!

Halafu hizi kelele ni kwao wanaoshinda mitandaoni kufatilia maisha ya watu. Huko mikoani hata hawamjui.

Ni upuuzi mtupu, wakiambiwa wathibitishe wanajikomentisha kama ukimwi umepanda kichwani…!! 😹
 
Maliza wewee nyanyaa, mie kitunguu natoa machozi.
Lol 😂😂😂
Nimewakaanga hadi wamepoteana, mimi sipendi wanafki..!!
Jitu linatumia id ya kike halafu lipo kubwata kama limetokea kwenye mtaro..!!

Wawaache watu wafanye maisha yao.
Wanabishana na walipa kodi? Wao hata Tin namba hawana kazi kuswampa JF bila sababu za msingi. Mchiewwww..!!
 
Uduguu mie sitaki ujue, 😂😂😂😂
😹😹😹 Lilivyo jikausha sasa lol!
Ila figo na kundi lake wasumbufu sana..!!!

Afu tatu zitawatoa roho kuna siku..!!
Hajui kama tuna file lake tunamchora siku ayakanyage..!! 🤣😹😹
 
Back
Top Bottom