cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
Watu wana hasira, Twalibu kabutua life.Huu ndo unafki sasa tunaoukataa..!!
Joti anafanya sanaa ila mwingine anafanya ushoga..!!
Kama Joti haishi uhalisia kwani Anko T anavaa mawigi anatembea nayo?
Mbona wewe hukuwa shoga kwa Joti kuigiza iweje kwa Anko T uone anahamasisha watoto wako?
Kwahiyo unataka kuniambia Anko T kakuhamasisha ndiomana unaogopa kwa watoto wako?? Si ndio?
😂😂😂😂