Je, Dkt. Dorothy Gwajima ataiweza vita dhidi ya ushoga?

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Yaan wewe uende sambamba kuliko Makonda?? Tena wakati wa JPM?

wewe mama Vicky acha kutumia hii kete ya kutaka kukubalika na waja, wahadae hawa wapumbavu, huna huo uwezo.
Naona umechoka uwaziri, vieite na posho za Mil 20, na ubunge wa kupewa utapokonywa.
We cheketukq hovyo tyuuh. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Watu wana hasira, Twalibu kabutua life.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wivu wenyewe wanadangia JF kwa id za kike kumbe vidampa waliochunda..!! 😹😹

Wao waje kkoo niwape mikorogo wang’ae watoe weusi wenye sugu..!! Tena nimeshusha mzigo mpya kutoka Korea waache kupaka wa tandika wa maji ya betri..!! 😹😹😹

Hivi unajua JF watu wana mambo ya kijinga sana wamemkalia kooni Anko T ambaye yuko busy na biashara zake na mlipa kodi mzuri wa serikali..!! Anachangia ARV wanazopewa bure kupitia kodi yake..!!

Halafu hizi kelele ni kwao wanaoshinda mitandaoni kufatilia maisha ya watu. Huko mikoani hata hawamjui.

Ni upuuzi mtupu, wakiambiwa wathibitishe wanajikomentisha kama ukimwi umepanda kichwani…!! 😹
 
Maliza wewee nyanyaa, mie kitunguu natoa machozi.
Lol πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nimewakaanga hadi wamepoteana, mimi sipendi wanafki..!!
Jitu linatumia id ya kike halafu lipo kubwata kama limetokea kwenye mtaro..!!

Wawaache watu wafanye maisha yao.
Wanabishana na walipa kodi? Wao hata Tin namba hawana kazi kuswampa JF bila sababu za msingi. Mchiewwww..!!
 
Uduguu mie sitaki ujue, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
😹😹😹 Lilivyo jikausha sasa lol!
Ila figo na kundi lake wasumbufu sana..!!!

Afu tatu zitawatoa roho kuna siku..!!
Hajui kama tuna file lake tunamchora siku ayakanyage..!! 🀣😹😹
 
Safi sana Mama Vee ukimalizana na huyo dogo kuna yule "Mr wire, Mr transaction, Mr Cash, ladies attraction" na mdogo wake yule anaevaaga magauni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…