Je, gari yako inatembea Kilomita ngapi kwa lita moja ya mafuta?


Kwa kweli unaokoa mafuta kwa kiasi
Mwendo ni kuziruka tu


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Me nikiendesha gari (sababu sina la kwangu) mara nyingi ni highway. Ninachohakikisha revolution haifiki 3 Pia najaribu ku control brake ambazo hazina Maana na ku keep distance kutoka gari iliyopo mbele yangu. Revolution inazidi 3 pale ninavyo overtake tu. Na Pia kujali smooth ride


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mi ndio mchezo wangu huwa naruka sana gia mpaka nimeshazoea maana mara nyingi natoka 5 mpaka 2

God save us
 
TCA kuendesha vizuri ni hivi alivyoeleza huyu muungwana hapa.
 
Huoni hapo imestuck kwasababu ya cruise control?! Hivi engine za gari ndio ziko hivyo kwasababu 1500rpm inanipa 60mph, 3000rpm itanipa 120kph?!! Ngoja nitembee usiku nitaangalia 120kph huwa naipata kwenye revs ngapi, ila 3000revs sounds too high

Jarbu kuilock kwa gia flan ku prove jarbu weka no 2 afu chek labda ukifika 30kph rpm iko ngap kisha simama fanya cross multiplication ili ujue ukiwa na speed flan may be 60 rpm itakuwa ngap? Kisha endesha ili u prove utanipa majibu kama nadanganya
 
Huoni hapo imestuck kwasababu ya cruise control?! Hivi engine za gari ndio ziko hivyo kwasababu 1500rpm inanipa 60mph, 3000rpm itanipa 120kph?!! Ngoja nitembee usiku nitaangalia 120kph huwa naipata kwenye revs ngapi, ila 3000revs sounds too high

Nb ni kwa gia hiyo hiyo ..coz unaweza fika 120kph ila ukawa umekanyaga sana kupelekea gari kushusha gia na revs kupanda badala ya 3000rpm ...ukajikuta uko na no 3 afu revs zikawa juu zaidi hata 4500 and above depending na gear ratio za gari husika

Kuwa very lightkwenye mafuta fika 120 kisha ibalance kwa muda imalize gia zote
 
Jibu zuri.

Ratio za gia husika hazibadiliki sababu hakuna saa diameter ya gia inabadilika na kuwa ndogo au kubwa....

Chukua mfano wa baskeli ya gia ...kama sahani ya mbele iko na 46teeth afu nyuma mnyororo ukawa kwenye labda 22 teeth afu ukawa una pedo at 90rpm kisha speed ikawa labda ni 40kph basi had unaingia kaburini hicho kitu hakibadiliki ukieka mnyororo hapo kila siku ukifika 40kph basi utakuwa unachochea at 90rpm au 45rpm speed iwe 20

Otherwise utakuwa umebadili saizi ya tairi ndo itaaafect hicho kitu
 
Below 40,
Sasa ukieka neutral rpm si inarud idle sasa utaangaliaje rpm ujue inataka no ngap just watch speedmeter.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…