Je, gari yako inatembea Kilomita ngapi kwa lita moja ya mafuta?

Watazipata wapi Mkuu ?, Mjapan hafai, ametengeneza gari za Auto mpaka gari kubwa kabisa kama land cruiser na Prado, sasa hapo mjini vijana wanatumia sedan cars manual transmission wanaitoa wapi ?.

Kuna trim mkuu yan version mbali mbali kulingana na mtumiaji kwani huoni gari za serikali
 
😀😀 Bora umesema ukweli huku jf kila mtu ana gari ....

Kibongo uki keep distance wanajichomeka hapo kati
 
Mi langu lita 3 kilometa 1 tuu tena kuna sehemu naweka free
 
Ka IST babu rpm 1 unatembea 80km/ hr

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni manual transmission? Kwa rev hizo, nafikiri huwezi kufika gear no 6 kwa auto
Mara nyingi tunakosea pale ambapo kitu tusichokijua au kukiona tunasema hakipo. Zoom utaona gear namba 6 hapo. Inategemea gari yako na uendeshaji wako.
 
Kwa hiyo dashbord naamini ni VW au Audi. Ni kawaida yake kutoa best performance kwenye fuel consumption
 
Upi
Mara nyingi tunakosea pale ambapo kitu tusichokijua au kukiona tunasema hakipo. Zoom utaona gear namba 6 hapo. Inategemea gari yako na uendeshaji wako.
You've just proved my point. Gari yako ni auto lakini ulikuwa unaendesha kwenye manual mode otherwise gear number isingeonekana.
 
Upi

You've just proved my point. Gari yako ni auto lakini ulikuwa unaendesha kwenye manual mode otherwise gear number isingeonekana.
Ha ha ha hii gari gear change zinaonesha in auto or semi auto.
 
Hata mimi namshangaa mleta Uzi.
20km/l kwa engine ya cc 2000!!!
Kwa barabara zetu hizi za bongo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwamba cc2000 ni kubwa sana, au barabara za Bongo huwezi kupata stretch ya kuendesha steady speed hadi ukaset cruise control in your desired speed?

Ukisafiri zile stretch zenye 50kph limit huwa zinachosha. Hapo ndio unaset cruise control at 50kph unapumzisha miguu
 
Ha ha ha hii gari gear change zinaonesha in auto or semi auto.
Nina VW Touran yenye exactly the same dashboard like yours na haifanyi hivyo. Labda gari yako ni Audi. Hata hivyo naweza kwenda YouTube kuverify.
 
Nina VW Touran yenye exactly the same dashboard like yours na haifanyi hivyo. Labda gari yako ni Audi. Hata hivyo naweza kwenda YouTube kuverify.
Ngoja nikuoneshe ikiwa kwenye manual mode inaonekana vipi na auto mode inaonekana vipi.
Auto mode kuna D then 1.....
Manual mode D inaondoka inabaki 1,2,3,4,5,6
 
Ngoja nikuoneshe ikiwa kwenye manual mode inaonekana vipi na auto mode inaonekana vipi.
Auto mode kuna D then 1.....
Manual mode D inaondoka inabaki 1,2,3,4,5,6
Perfect kabisa. Sasa ukiendesha kwenye auto mode, 1 haibadiliki kuwa 2 n.k ( kwenye vw yangu) lakini ukiendesha kwenye manual mode D, gear iliyoko wakati huo inakuwa highlighted kama inavyoonekana kwako. 1 kwenye auto nafikiri waweza kui select. Nitajaribu.
 
Ka IST babu rpm 1 unatembea 80km/ hr

Sent using Jamii Forums mobile app

Engine inavokuwa kubwa ndipo haja yake kuzunguka speed kubwa kwa speed flan ya gari inapopungua yani brevis itakapokuwa 100 kwa mizunguko flan ya engine basi IST itakuwa zaidi sababu hakajiwezi ....

Ist kuwa rpm kwenye moja afu speed 80 manake imeishinda had hiyo vw sijui audi ya jamaa😀 em leta picha tu prove
 
Labda yako haibadiliki, yangu inabadilika. Hapo umeona D na 1 unafikiri gari ikiwa inaenda itabaki ina display moja wakati gear zinapanda na kushuka hadi 6?
Kwenye manual mode D inapotea zinabaki 1,2,3,4,5,6 engaged gear inakuwa highlighted.

Kwenye auto mode D inaonekana highlighted then engaged gear inaonekana kwa chini.
 
Safari ndefu inaenda mpaka 13
Mjini humuhumu ni 7.7/8.5
Kukiwa na folen kalii mpaka 5

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…