Uchaguzi 2020 Je, Gwajima anaandaliwa kuchukua nafasi ya Mch. Getrude Rwakatare (RIP mama)?

Unajua ni kwanini Kanisa katoliki lilimvua kanzu padre aliyetia nia!? Siasa na dini ni vitu viwili tofauti kabisa
 
Mkuu, Hakuna kiongozi mkuu wa Kanisa Katoliki Tanzania.

Yaani sikutegemea kukuta flaw kama hii kwenye thread ya Gwiji kama wewe
Ok, asante. Nilitaka kumaanisha askofu mkuu. Je, hii nayo ikoje?
 
Gwajiboy anagharamia chama kwa mamilioni. Hiyo ni asante, japo uwezekano wa kushinda haupo.
 
Watumishi wa umma mateso ya miaka 5 ya hakuna increments, kupanda vyeo (walimu),ongezeko la mshahara,kutolipwa malimbikizo yenu n.k iwe ni fundisho na akili zenu kuikataa ccm kwa nguvu zote.Familia zenu ziikatae ccm.

Msiwapigie kura ya urais,wabunge wala madiwani.Ndiyo wadhalilishaji wenu
 
Gwajima
1. Tapeli kupitia kivuli cha dini(Fake pastor)
2. Mla wake za watu
3. Ana kibuli cha kulevya na sadaka za masikini
4. Mhubiri siasa badala ya kuhubiri neno la Mungu
5. ONGEZEA
 
Mshana Jr,

Sikio la kufa halina dawa. CCM ndiyo imemeguka hivyo. Hongera Halima Mdee kuwa tena mbunge Kawe 2020 kirahisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…