Uchaguzi 2020 Je, Gwajima anaandaliwa kuchukua nafasi ya Mch. Getrude Rwakatare (RIP mama)?

Unajua ni kwanini Kanisa katoliki lilimvua kanzu padre aliyetia nia!? Siasa na dini ni vitu viwili tofauti kabisa
Hilo ni kanisa katoliki. Kila kanisa na msimamo wake. Mbona unataka kutufokea ? Nani kakwambia kwamba wakristo wote hapa Tanzania ni wakatoliki?
 
Gwajima ndio mbunge wa Kawe hadi 2025 hutaki kajinyonge.
Unapokurupuka usingizini usikimbilie kushika simu...tulia kwanza fanya ibada...Mshukuru Mungu kwa kukuamsha salama...kisha perusi sasa JF ..ukiona mada inayofaa kuchangia isome kwa makini ielewe kisha ndio uchangie..kwa njia hiyo utajenga afya ya akili yako
 
Hilo ni kanisa katoliki. Kila kanisa na msimamo wake. Mbona unataka kutufokea ? Nani kakwambia kwamba wakristo wote hapa Tanzania ni wakatoliki?
Unapokurupuka usingizini usikimbilie kushika simu...tulia kwanza fanya ibada...Mshukuru Mungu kwa kukuamsha salama...kisha perusi sasa JF ..ukiona mada inayofaa kuchangia isome kwa makini ielewe kisha ndio uchangie..kwa njia hiyo utajenga afya ya akili yako
 
Unapoteza muda tu kwa kampeni uchwara
 
Mbona hujatoa makando makando ya Halima Mdee ambayo yamekuwa yakihit sana ? Au kwa sababu ni mpare mwenzio ? Sisi wana kawe hatudanganyiki.
Mmh umetoa mfano ambao sio Hai...Mada yangu ilihusu makandokando mengi ya Gwajima yale ambayo yalihit sana naomba niambie moja tu nililomsingizia tafadhali
 
Mbona hujatoa makando makando ya Halima Mdee ambayo yamekuwa yakihit sana ? Au kwa sababu ni mpare mwenzio ? Sisi wana kawe hatudanganyiki.
Bado nakusisitiza Unapokurupuka usingizini usikimbilie kushika simu...tulia kwanza fanya ibada...Mshukuru Mungu kwa kukuamsha salama...kisha perusi sasa JF ..ukiona mada inayofaa kuchangia isome kwa makini ielewe kisha ndio uchangie..kwa njia hiyo utajenga afya ya akili yako
 
Kwani papa ni Mungu. We vipi mbona ni binadamu tu ambaye naye anapambana na hali yake ili siku moja akakubaliwe na Mungu
 
Usinifundishe ibada kama ambavyo mimi siwezi kukufundisha kuwanga, maana ndio maisha yangu halisi ya kumwabudu Mungu Muumba mbingu na nchi kama wewe ulivyozoea kuleta hoja za kuwanga. Nadhani umenielewa.
 
Ni ushauri uchukue utakufaa sana kwa afya yako ya akili na kuna siku utanikumbuka
 
Koleo la tano;-

Shabaha yake ya kugeuza misikiti & madrasa kuwa makanisa na Sunday schools.

Kwa hapo tu ameshakosa kura zetu ma 'Alwatan'

Mohamed Said karibu utie neno hapa Maalim wangu

ETI KUNA VIDEO YA GWAJIMA AKILA BOGA LA KONDOO WAKE , KANISANI KWAKE ??? NI KWELI HII HABARI ????

Hee wabunge wapya hawa ??? Dodoma kutakuwa na kazi
 
Gwaji boy ndo kiboko ya Halima Mdee, subirini atakavyoliwasha dudeeeeeee
 
Gwajima kama Mtanzania ana haki ya kushiriki kwenye harakati za kisiasa yaani kuchagua na kuchaguliwa kwenye nafasi yoyote ya Uongozi, muhimu ana sifa stahiki hivyo sioni tatizo hapo.
 
Porn star atamshinda nani labda ashinde njaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…