Uchaguzi 2020 Je, Gwajima anaandaliwa kuchukua nafasi ya Mch. Getrude Rwakatare (RIP mama)?

Kuna mengi sana ya kujiuliza nyuma ya uteuzi wake. Wajumbe wameumizwa hakika.
Kilicho wazi ni kuwa Jiwe ndani ya CCM ni Alfa na omega. Akitaka kitu kinakuwa na hakuna mjadala.
Gwajima kamtaka yeye hakuna wa kuhoji wala kudadisi full stop.
CCM kwa sasa imekuwa chama mdebwedo hakina tofauti na vyama kama TLP au UDP nk labda tofauti ni idadi ya wanachama tuu.
Gwajima kwa tuhuma zake chafu na za uongo huwezi kumsimamisha katika jimbo maarufu hapa nchini kama Kawe.
Kawe sio Mtera au Nkasi na Ruangwa ambako uchumi wa watu na elimu viko chini tena chini sana.
 
Hatuwezi kuongozwa na mhuni
Kinyonga kumbe alianza kujipigia promo mapema
Your browser is not able to display this video.
 
Binafsi namtakia Halima ushindi, just that!
 
Ukimkazia macho gwajima utajua kuwa jamaa ni tapeli
 
Akikosa ubunge ndo itakua tiketi yake ya kupote km mwenzake lusekelo na kanisa lake.
 
Huyo Askofu tapeli mpigeni chini fasta.....

Kwanza yuko bize anaratibu kikundi chake cha kikabila yy na makonda.....

Nitawashangaa mkimchahua mcheza porn huyu.....

Piga chini hii ng'ombe mdini na mkabila huyo abaki na hicho kikundi cha kigaidi na waumini wake ambao wapo km mang'ombe
 
Bila shaka Gwajima ni wakala, anatumiwa sana kuhamisha mijadala na kubadili upepo nchini.

Nawasikitikia kondoo wanaodanganywa kirahisa na hawa matapeli wa serikali.
 
Kwa hiyo Gwajima nae anaunga mkono Msaliti Zitto kabwe auwawe hukohuko
 
Gwajiboy is a business man alitaka kuweka behewa lake kwenye GSR itakapokuwa tiyari.

Gwajiboy ni muhubiri,kwake kusema kwa muda mrefu bila mapumziko sio tatizo amezoea,sidhani kama atapata airtime inayozidi robo saa bungeni.

Lakini kama kuna mtu ana bifu nae,anaweza kuweka pingamizi ,ili haki ya Kaisari itendeke.
 
Hujambomoa Gwajima kwa hii thread ,sana umemjenga tu
 

Nadhani kuna hatua kama tano za utezi ndani ya CCM. Kura za maoni ni hatua ya kwanza kabisa, baada ya hapo kuna Kamati ya Siasa ya Wilaya, Kamati ya Siasa ya Mkoa, Kamati Kuu, na mwisho halmashauri Kuu. Information zinazoletwa kutoka kamati za siasa za Wilaya na mikaoa ndizo zinazotumiwa na kamati kuu katika kupendekea majina yanayopitishwa na halmasuri Kuu. Nadhani ndivyo inavyofanyika; yaani kamati kuu haiwezi kupanga wa kuptisha jina la mtu bila kufuata mapendekezo ya kamati za siasa za Wilaya na za Mikoa. Inawezekana mtu alishinda kwenye mkura za maoni, lakini kamati zile za siasa zikaona kuwa nafasi yake ya kushinda jimbo ni ndogo sana kwa sababu yoyote ile (e.g., kuwepo pale siku nyingi hadi watu wakamchoka, kutokujulikana, kuhusishwa na tuhuma zinazikiuka maadili na mambo mengine yoyote yale) , basi wanaweza kutopitisha jina lake.
 
Hahahahahahaha kweli nimeamini wale machizi wa Milembe Dodoma ni wazima kabisa Machizi wapo huku mtaani.
Kwa akili zako unaona ndiyo unamchafua Gwajima kumbe ndiyo unazidi kumpa umaarufu zaidi na achukuwe jimbo la Kawe asubuhi na mapema.
Tafuta hoja ww Kibaraka wa chama acha kuongea pumba za mpunga bwege ww.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…