Marcy
JF-Expert Member
- Aug 12, 2013
- 2,430
- 5,910
Niki Rejea katika mstari wa biblia.
Unasema waliopewa mwaliko ni wengi lakini waliochaguliwa ni wachache(mathayo)
Hata kuna msanii aliyeimba wimbo wa sisi ni wale tuliochaguliwa na mungu
Swali langu ni hili
Utajuaje kama wewe ni kati ya wale waliochaguliwa na Mungu?
ishara zake ni zipi?
Tufunguane macho