kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 7,452
- 10,785
Aliwaumba ila baadae awachague? Ndio maana nasema huenda dini ni "uchizi".
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mwaliko ni habari njema ya wokovu yaani kukomesha dhambi kwa watu woteNiki Rejea katika mstari wa biblia.
Unasema waliopewa mwaliko ni wengi lakini waliochaguliwa ni wachache(matayo)
Hata kuna msanii aliyeimba wimbo wa sisi ni wale tuliochaguliwa na mungu
Swali langu ni hili
Utajuaje kama wewe ni kati ya wale waliochaguliwa na Mungu?
ishara zake ni zipi?
Tufunguane macho
Healer 😅😅😅😂😂😂😂Kila mtu ambae yupo duniani hajaja hapa kwa bahati mbaya ila amekuja kwasababu kuna mission ambayo anatakiwa kuitimiza, kwahiyo Kila mtu amechaguliwa ila what is your mission? Hili ndio swali ambalo unatakiwa ujiulize na ukishaijua basi huko ndiko ulikochaguliwa kuhudumu.
So, what's your mission?😅
uliolewa ukiwa bikra au kama hujaolewa bikra unayo?Niki Rejea katika mstari wa biblia.
Unasema waliopewa mwaliko ni wengi lakini waliochaguliwa ni wachache(matayo)
Hata kuna msanii aliyeimba wimbo wa sisi ni wale tuliochaguliwa na mungu
Swali langu ni hili
Utajuaje kama wewe ni kati ya wale waliochaguliwa na Mungu?
ishara zake ni zipi?
Tufunguane macho
Haya nenda kahudumu huko kwa unyenyekevu mkubwa 😅😅Healer 😅😅😅😂😂😂😂
🤣🤣🤣Eti baba mchungaji.😂😂😂😂😂😂 usema vyo baba mchungaji
jibu tu🤣🤣🤣🤣🤣hii sijui umeitoa mstari upi wa biblia
Kwanza kabisa, thibitisha huyo Mungu yupo kweli.Niki Rejea katika mstari wa biblia.
Unasema waliopewa mwaliko ni wengi lakini waliochaguliwa ni wachache(matayo)
Hata kuna msanii aliyeimba wimbo wa sisi ni wale tuliochaguliwa na mungu
Swali langu ni hili
Utajuaje kama wewe ni kati ya wale waliochaguliwa na Mungu?
ishara zake ni zipi?
Tufunguane macho
Kuendana nalo sijui ila nnachojua ni kwamba hiyo sio mission yangu😅😅Huendani nalo au
Healer 😅😅😅Yako ni ipi
Wewe kwanza hujui hata tofauti ya kudhibitisha na kuthibitisha.Naomba nikutane na ww anakwa ana nikudhibitishie hili