Thecoder
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 1,590
- 4,244
Hiyo convo ya hapo mwisho mwisho ilikua kama naongea na mtu anaenifaham hivi๐ ๐hatari ipo wapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo convo ya hapo mwisho mwisho ilikua kama naongea na mtu anaenifaham hivi๐ ๐hatari ipo wapi
Sasa wewe ulikuwa unataka tukutane tu hujui hata niko wapi?Ooo pole uko nje ya nchi
Samahani
Special mission yako ni kuzalisha
Haya uje darasani sasa.I
๐คฃ๐คฃ๐ ๐ค๐ค๐ค๐ค๐ค๐ค
Nifundishe jinsi ya kufanya meditation ๐ ๐
Kwa muda mfupi niliozunguka, nimegundua maeneo mengi hayana watu kabisa, unaweza kuta kwa kila mita za mraba 60,000 unakutana na mtu mmoja tu.
Ni vizuri kuongezeka; uzazi wa mpango ni dalili za uchoyo na kufanya dunia isiwe na watu.
nimefuta kauli yangu sihitaji kukutana na wew mr kiranga na wala sikuwa na kusudio lolote bayaSasa wewe ulikuwa unataka tukutane tu hujui hata niko wapi?
Yani unafikiri JF watu wote tuko sehemu sawa na wewe?
Halafu hujanijibu.
Unataka tukutane tufanye nini?
Watu wengine wanaweza kuwa na tafsiri nyingi sana kuhusu kusudio lako.
Kwa nini unaongelea kusudio baya?Bas nimefuta kauli yangu sihitaji kukutana na wew mr kiranga na wala sikuwa na kusudio lolote baya
Hapo sasa namuachia mwanafunzi apange kwasababu yeye ndio anaelewa mazingira yatakayomfanya awe comfortable ili aelewe kwa uharaka.Darasa lipo wapi
Na kuna mkubwa wa kazi aliandika Mariko...Sijui vizuri wanachaguliwaje, ila ulivyoandika matayo wewe haupo kwenye hao waliochaguliwa
Tafsiri nyingi nililenga tafsiri nyingi.Tafsiri nyingi ulilenga nn
Hata ningeandika lililolengwa
bado ungekuja na maswali yako
Acha utata kiranga
Hapo sasa namuachia mwanafunzi apange kwasababu yeye ndio anaelewa mazingira yatakayomfanya awe comfortable ili aelewe kwa uharaka.
Nikiziainisha utanigezea.M
Nichukue ipi wakati wew ndie uliyeanzisha hilo neno la watu kuwa na tafsiri nyingi
Labda uliyesema uziainishe
๐ ๐ ๐ Special mission tena!, how?, ila kuhusu darasa ni wewe umeomba kufunzwa na elimu hainyimwi na ndio maana nikakupa all options zilizopo duniani zitumikazo kwaajiri ya kufundishia zibaki kwenye machaguo yako.Hii ndio special mission yako๐๐๐๐๐คฃ๐
Nilijua una darasa kama darasa lenye wanafunzi wengi kumbe sivyo๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Amina Amina lengo lako tuonane ijumaa ๐๐Tuanzie Hapa! Ntakueleza kwa uwelewa wangu mdogo, nilio nao kutokea huku kimbiji!
โKwa maana walioitwa ni wengi, lakini walioteuliwa ni wachache.โ
Kwa maana walioitwa ni wengi? Maana yake nini? Waliitwa kutokea wapi?
Adam na Hawa! Waliopoteza nafasi kwa kitendo walichofanya pale Eden ... Ndio Sababu Mungu alimtuma Yesu Kristo ili Kutafuta Kilichopotea!
Mungu huwaita watu kwanza kwa njia ya wokovu ili kurudi katika wake! God's Kingdom
Paraphrasing ... Akatuokoa Kutoka Katika UFALME wa Giza na Kutuingiza Katika UFALME wake (Wa Mwana na Pendo lake)
So kuitwa kwa kwanza kuliko muhimu ni kuitwa Kumpokea Yesu Kristo Kuwa Bwana na Mwokozi wa Maisha yako! That's a genuine calling
Kutokea Hapo, Sasa Kama tumeitikia huo wito watu wengi, yaani mfano Mimi, wewe, Monetary doctor dosho12
Tunakuwa tumeiitwa wengiiiiii ... Ila kwa kuwa tuna vipawa na karama tofauti,
Plus uwezo wa kuukulia wokovu pia hutofautiana ... Kati wengi tuliitwa wanaweza kuteuliwa wachache for the specific mission ndani ya UFALME wa Mungu
Hata hivyo .... Aisee wito umeisha ๐