Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipe andiko kwanza niweze kukujibuKama wote tumechaguliwa ba waliopewa mualiko watakuwa akina nani
Nikuulize swali ... Kisha tuendeleeNiki Rejea katika mstari wa biblia
Unasema waliopewa mwaliko ni wengi lakin waliochaguliwa ni wa chache(matayo)
Hata kuna msanii aliyeimba wimbo wa sisi ni wale tuliochaguliwa na mungu
Swali langu ni hili
Utajuaje kama wew ni kati ya wale waliochaguliwa na mungu ????
ishara zake ni zipi?????
Tufunguane macho
Sawa , ndo umeshajitambua sasa kuwa haupoMimi sijui na ndio maana nimekuja kuuliza hapa ili nijitambue na wengine pia
Kama amri kuu ni upendo, Mbona huyo Mungu mwenyewe alishindwa kumpenda adui yake Shetani akamlaani?Je unafanya yake yanayompendeza Mungu?
Wew una upendo,Amri kuu ni upendo na Ndio tulioachiwa,
Tusali ,
Tuombe Toba tunapokosea
Tuwe watu wa shukrani
🤔🤔 we ndo umeandika hayo au kuna mtu umempatia password ya account yako😁😁😁Anaanza kuwa karibu na wewe, unapata ndoto, maono, na nguvu ya kufanya miujiza.
ndo wanavyoamini wenye imani zao.🤔🤔 we ndo umeandika hayo au kuna mtu umempatia password ya account yako😁😁😁
Inaonekana huyo Mungu ana upendeleo sana na wala hajielewi kabisaMay be true kwa sababu in the past mungu alimchagua adam wengine akawatupa,alichagua taifa la Israel mengine akayatupa, alimchagua yakobo Esau akamtupa. It's up to him
Ila dosho we fala sana 😂😂 ... Kwamba umeona mshamba_hachekwi sio yule uliye mzoea 😂🤔🤔 we ndo umeandika hayo au kuna mtu umempatia password ya account yako😁😁😁
Jibu lipo Warumi 8: 16 & 17. Ukiona unajiuliza nimo au simo, jua haumo.Niki Rejea katika mstari wa biblia
Unasema waliopewa mwaliko ni wengi lakin waliochaguliwa ni wa chache(matayo)
Hata kuna msanii aliyeimba wimbo wa sisi ni wale tuliochaguliwa na mungu
Swali langu ni hili
Utajuaje kama wew ni kati ya wale waliochaguliwa na mungu ????
ishara zake ni zipi?????
Tufunguane macho
😅😅😅 nimeshtuka hiki nnacho kiona ni kweli auIla dosho we fala sana 😂😂 ... Kwamba umeona mshamba_hachekwi sio yule uliye mzoea 😂
Kama amri kuu ni upendo, Mbona huyo Mungu mwenyewe alishindwa kumpenda adui yake Shetani akamlaani?
Sasa huyo Mungu inaonekana hatekelezeki hata anavyovisema.
Ana tendea wengine tofauti kabisa na amri zake.
Rejea story ya Yona (Jonah) katika kitabu cha Yona hasa sura ya 1 na ya 2.Hebu fafanua
Kila mtu ambae yupo duniani hajaja hapa kwa bahati mbaya ila amekuja kwasababu kuna mission ambayo anatakiwa kuitimiza, kwahiyo Kila mtu amechaguliwa ila what is your mission? Hili ndio swali ambalo unatakiwa ujiulize na ukishaijua basi huko ndiko ulikochaguliwa kuhudumu.Niki Rejea katika mstari wa biblia.
Unasema waliopewa mwaliko ni wengi lakini waliochaguliwa ni wachache(matayo)
Hata kuna msanii aliyeimba wimbo wa sisi ni wale tuliochaguliwa na mungu
Swali langu ni hili
Utajuaje kama wewe ni kati ya wale waliochaguliwa na Mungu?
ishara zake ni zipi?
Tufunguane macho