Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli?Si
Sitaki usinichoshe
Amini kwamba hata wanaosema Mungu yupo au hayupo wamepitishwa mazingira tofauti tofauti ambayo mwisho wa siku mmoja anaamini kabisa 200% kuwa Mungu hayupo na wakati huohuo Mwingine anapigishwa sehem inayomfanya ukisema Mungu hayupo wewe utakua ni Chizi...so maana yake wewe unayejiona pia kuwa umemjua Mungu jua kwamba sio kwasababu ya matendo yako ni favor tu umepataNiki Rejea katika mstari wa biblia.
Unasema waliopewa mwaliko ni wengi lakini waliochaguliwa ni wachache(mathayo)
Hata kuna msanii aliyeimba wimbo wa sisi ni wale tuliochaguliwa na mungu
Swali langu ni hili
Utajuaje kama wewe ni kati ya wale waliochaguliwa na Mungu?
ishara zake ni zipi?
Tufunguane macho
Upendeleo wa nn nilioupataAmini kwamba hata wanaosema Mungu yupo au hayupo wamepitishwa mazingira tofauti tofauti ambayo mwisho wa siku mmoja anaamini kabisa 200% kuwa Mungu hayupo na wakati huohuo Mwingine anapigishwa sehem inayomfanya ukisema Mungu hayupo wewe utakua ni Chizi...so maana yake wewe unayejiona pia kuwa umemjua Mungu jua kwamba sio kwasababu ya matendo yako ni favor tu umepata
Haya, kwa heri.Ndio