Je, Habari ya watu waliochaguliwa na Mungu ni ya kweli?

Je, Habari ya watu waliochaguliwa na Mungu ni ya kweli?

Mbinguni wataenda watu 177 elfu tu, kwenda kuhudumu.

Wengine watabaki paradiso hapa hapa duniani.

So technically hapa tunaishi paradiso, ila ukitaka kuuona utamu wa paradiso enjoy mwenyewe usisubiri time.
Ngoja niache kazi.
 
Niki Rejea katika mstari wa biblia.

Unasema waliopewa mwaliko ni wengi lakini waliochaguliwa ni wachache(matayo)

Hata kuna msanii aliyeimba wimbo wa sisi ni wale tuliochaguliwa na mungu

Swali langu ni hili
Utajuaje kama wewe ni kati ya wale waliochaguliwa na Mungu?
ishara zake ni zipi?
Tufunguane macho
Ishara inayojulisha kuwa umechaguliwa na Mungu nikufanya matendo mema lakini kama ni kinyume chake ujue hujachaguliwa.mfano ambao hawajachaguliwa na mungu ni wanasiasa wanaosema uongo mbele ya umma.
 
Kwa mfano labda visipo zingatiwa kwa bahati mbaya itakuwa je 🤣🤣😅
Hapo tutaangalia ni kipengele gani hakikuzingatiwa na hiko kipengele kinatoa muongozo ipi endapo kikiwa hakijazingatiwa😂😂😂.

Hii inamaanisha kwamba before course haijaanza utaratibu utatangulia(ndio vigezo na masharti yenyewe sasa hayo ya kwenye Kila kipengele).

So, you wanna be a meditator, hah.
 
😂😂😂😂😂unaona mawazo yako ulivyoyapeleka mbali ndicho ulichokuwa ukikilenga kwenye zile tafsiri zako
Sasa mawazo ya kunyonyana umeyaleta wewe, mimi nikikunukuu tu yanakuwa mawazo yangu tayari?

Yani umefikiria kunyonyana kabisa? Wewee!
 
Sasa mawazo ya kunyonyana umeyaleta wewe, mimi nikikunukuu tu yanakuwa mawazo yangu tayari?

Yani umefikiria kunyonyana kabisa? Wewee!
Unaninukuu tofauti kwa lengo lako
Nimesema kunyonyana nguvu
Ila kwa kiranga chako ukaamua kufipisha ili upate pakuongelea
 
Ka
Hapo tutaangalia ni kipengele gani hakikuzingatiwa na hiko kipengele kinatoa muongozo ipi endapo kikiwa hakijazingatiwa😂😂😂.

Hii inamaanisha kwamba before course haijaanza utaratibu utatangulia(ndio vigezo na masharti yenyewe sasa hayo ya kwenye Kila kipengele).

So, you wanna be a meditator, hah.
Kama hakuna madhara katika hiyo miongozo jibu ni ndio
 
Unaninukuu tofauti kwa lengo lako
Nimesema kunyonyana nguvu
Ila kwa kiranga chako ukaamua kufipisha ili upate pakuongelea
Kunyonyana nguvu za kiume, za kike au zote? 😂😂😂
 
Mwamba ameuliza kutaka kujua acheni kumuitia watu watakao mwambia mungu hay upo. Hapa hajaja kuuliza uwepo wamungu bali anataka kujua kama kuna watu wanaishi katika hii aridhi na wamechaguliwa basi.
 
Back
Top Bottom