Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa unasema mwenyewe kwa uhuru wako, unasemaje nataka utaje kile ninachotaka?Sio siri umenifanya nicheke sana
Hivi mwanafunzi akimgeza mwalimu kuna ubaya
Najua unaniwekea mtego nitaje kile unachota kukisikia
Sisemi ng'o
choosen one au star sd ni watu wachache walozaliwa na karama ya kiroho,mara nyingi huwaga wanapitia changamoto mbali mbali ili waamke kiroho na kujua kusudio lao la kuwa duniani,unaweza kuta mtu anaugua au kutengwa baada ya kupona anakuwa na maarifa na nguvu za ajabu iwe kiroho au vyovyote.mara nyingi ni watu waloshindikana kiroho,ukiwa mbaya atakujua tu,ataugua kiasi cha kutisha lakini atapona kwa njia za ajabuSamah
Samahan naomba uelezee kuhusu hili yaan uingie kiundani zaidi
Maana kila mtu anapitia magumu
Kuwa na darasa tele ni kuchanganya mission😅😅😅 Special mission tena!, how?, ila kuhusu darasa ni wewe umeomba kufunzwa na elimu hainyimwi na ndio maana nikakupa all options zilizopo duniani zitumikazo kwaajiri ya kufundishia zibaki kwenye machaguo yako.
Sikujua kama ulidhani niko na darasa la wanafunzi tele ndio maana nawewe unaomba kufunzwa😅😅😅
Kama ni hivyo sina, kwasababu siwezi changanya missions 😅
Kunyonyana tena?Sikujibu tena kuchoshana na kunyonyana nguvu tu hapa uonekane mtata mjuaji
unakiranga kama jina lako
Yeah umeelewa vibaya 😂😂😂, rejea kwenye elimu hainyimwi... Meaning ukiihitaji unafunzwa lakini hakutawahi kuwa na official class ambayo utahitaji Kila siku kwenye constant time uwe darasani kwaajiri ya kuwafunza nyie form ones😂😂😂Kuwa na darasa tele ni kuchanganya mission
Lakini kuwa na darasa la mtu mmoja si kuchanganya mission🤣🤣🤣🤣🤣
Au nimeelewa vibaya
Asante kwa ufafanuzichoosen one au star sd ni watu wachache walozaliwa na karama ya kiroho,mara nyingi huwaga wanapitia changamoto mbali mbali ili waamke kiroho na kujua kusudio lao la kuwa duniani,unaweza kuta mtu anaugua au kutengwa baada ya kupona anakuwa na maarifa na nguvu za ajabu iwe kiroho au vyovyote.mara nyingi ni watu waloshindikana kiroho,ukiwa mbaya atakujua tu,ataugua kiasi cha kutisha lakini atapona kwa njia za ajabu
Nipe mafunzo hapa unaonajeYeah umeelewa vibaya 😂😂😂, rejea kwenye elimu hainyimwi... Meaning ukiihitaji unafunzwa lakini hakutawahi kuwa na official class ambayo utahitaji Kila siku kwenye constant time uwe darasani kwaajiri ya kuwafunza nyie form ones😂😂😂
Sawa... Wacha niandae notes zikiwa tayari nitaziweka (ole wako uniandikishe tu notes halafu usizisome au uzisome halafu usizifanyie kazi)😂😂😂😂Nipe mafunzo hapa unaonaje
Haya, nitakutagigi zikiwa tayari mtumishi😅😅Nitazisoma nakuzifanyia kazi nakuahidi siwez mchosha mtumishi wa mungu bure
It's freeeeeeeeeeeee, ila vigezo na masharti kuzingatiwa😂😂
kabisa maana mda wowote wanakuwa wanawindwa na watu wabaya,wabaya wakishindwa ndo utasikia wanapakaziwa mambo ya ajabu mara wachawi n.k,choosen one ukimfukuza kazi utashangaa baadaya dakika tano anapigiwa simu ya kupata kazi nyingine,ukimkosea lazima karma ikutafuneAsante kwa ufafanuzi
je hawa watu huwa wanaogopwa na kuchukiwa sana na watu wabaya bila sababu kutokana na nguvu waliyoibeba ndani mwao
Asante sana mpendwakabisa maana mda wowote wanakuwa wanawindwa na watu wabaya,wabaya wakishindwa ndo utasikia wanapakaziwa mambo ya ajabu mara wachawi n.k,choosen one ukimfukuza kazi utashangaa baadaya dakika tano anapigiwa simu ya kupata kazi nyingine,ukimkosea lazima karma ikutafune