Je, Habari ya watu waliochaguliwa na Mungu ni ya kweli?

Je, Habari ya watu waliochaguliwa na Mungu ni ya kweli?

I
Hiyo convo ya hapo mwisho mwisho ilikua kama naongea na mtu anaenifaham hivi๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜…๐Ÿค๐Ÿค๐Ÿค๐Ÿค๐Ÿค๐Ÿค
Nifundishe jinsi ya kufanya meditation ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Ooo pole uko nje ya nchi
Samahani
Sasa wewe ulikuwa unataka tukutane tu hujui hata niko wapi?

Yani unafikiri JF watu wote tuko sehemu sawa na wewe?

Halafu hujanijibu.

Unataka tukutane tufanye nini?

Watu wengine wanaweza kuwa na tafsiri nyingi sana kuhusu kusudio lako.
 
Special mission yako ni kuzalisha
Kwa muda mfupi niliozunguka, nimegundua maeneo mengi hayana watu kabisa, unaweza kuta kwa kila mita za mraba 60,000 unakutana na mtu mmoja tu.
Ni vizuri kuongezeka; uzazi wa mpango ni dalili za uchoyo na kufanya dunia isiwe na watu.​
 
I
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜…๐Ÿค๐Ÿค๐Ÿค๐Ÿค๐Ÿค๐Ÿค
Nifundishe jinsi ya kufanya meditation ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
Haya uje darasani sasa.
 
Kila la heri
Kwa muda mfupi niliozunguka, nimegundua maeneo mengi hayana watu kabisa, unaweza kuta kwa kila mita za mraba 60,000 unakutana na mtu mmoja tu.
Ni vizuri kuongezeka; uzazi wa mpango ni dalili za uchoyo na kufanya dunia isiwe na watu.​
 
Bas
Sasa wewe ulikuwa unataka tukutane tu hujui hata niko wapi?

Yani unafikiri JF watu wote tuko sehemu sawa na wewe?

Halafu hujanijibu.

Unataka tukutane tufanye nini?

Watu wengine wanaweza kuwa na tafsiri nyingi sana kuhusu kusudio lako.
nimefuta kauli yangu sihitaji kukutana na wew mr kiranga na wala sikuwa na kusudio lolote baya
 
Bas nimefuta kauli yangu sihitaji kukutana na wew mr kiranga na wala sikuwa na kusudio lolote baya
Kwa nini unaongelea kusudio baya?

Kwani wapi mimi nilisema una kusudio baya?
 
Kwa nini unaongelea kusudio baya?

Kwani wapi mimi nilisema una kusudio baya?
Tafsiri nyingi ulilenga nn
Hata ningeandika lililolengwa
bado ungekuja na maswali yako
Acha utata kiranga
 
Tafsiri nyingi ulilenga nn
Hata ningeandika lililolengwa
bado ungekuja na maswali yako
Acha utata kiranga
Tafsiri nyingi nililenga tafsiri nyingi.

Kwani wewe umechukua tafsiri gani kati ya hizo nyingii?
 
Hii ndio special mission yako๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿ˜…
Nilijua una darasa kama darasa lenye wanafunzi wengi kumbe sivyo๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Hapo sasa namuachia mwanafunzi apange kwasababu yeye ndio anaelewa mazingira yatakayomfanya awe comfortable ili aelewe kwa uharaka.
 
M
Tafsiri nyingi nililenga tafsiri nyingi.

Kwani wewe umechukua tafsiri gani kati ya hizo nyingii?
Nichukue ipi wakati wew ndie uliyeanzisha hilo neno la watu kuwa na tafsiri nyingi
Labda uliyesema uziainishe
 
M
Nichukue ipi wakati wew ndie uliyeanzisha hilo neno la watu kuwa na tafsiri nyingi
Labda uliyesema uziainishe
Nikiziainisha utanigezea.

Taja yako uliyofikiria niijue ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Hii ndio special mission yako๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿ˜…
Nilijua una darasa kama darasa lenye wanafunzi wengi kumbe sivyo๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… Special mission tena!, how?, ila kuhusu darasa ni wewe umeomba kufunzwa na elimu hainyimwi na ndio maana nikakupa all options zilizopo duniani zitumikazo kwaajiri ya kufundishia zibaki kwenye machaguo yako.

Sikujua kama ulidhani niko na darasa la wanafunzi tele ndio maana nawewe unaomba kufunzwa๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

Kama ni hivyo sina, kwasababu siwezi changanya missions ๐Ÿ˜…
 
Tuanzie Hapa! Ntakueleza kwa uwelewa wangu mdogo, nilio nao kutokea huku kimbiji!

โ€œKwa maana walioitwa ni wengi, lakini walioteuliwa ni wachache.โ€

Kwa maana walioitwa ni wengi? Maana yake nini? Waliitwa kutokea wapi?

Adam na Hawa! Waliopoteza nafasi kwa kitendo walichofanya pale Eden ... Ndio Sababu Mungu alimtuma Yesu Kristo ili Kutafuta Kilichopotea!

Mungu huwaita watu kwanza kwa njia ya wokovu ili kurudi katika wake! God's Kingdom

Paraphrasing ... Akatuokoa Kutoka Katika UFALME wa Giza na Kutuingiza Katika UFALME wake (Wa Mwana na Pendo lake)

So kuitwa kwa kwanza kuliko muhimu ni kuitwa Kumpokea Yesu Kristo Kuwa Bwana na Mwokozi wa Maisha yako! That's a genuine calling

Kutokea Hapo, Sasa Kama tumeitikia huo wito watu wengi, yaani mfano Mimi, wewe, Monetary doctor dosho12

Tunakuwa tumeiitwa wengiiiiii ... Ila kwa kuwa tuna vipawa na karama tofauti,

Plus uwezo wa kuukulia wokovu pia hutofautiana ... Kati wengi tuliitwa wanaweza kuteuliwa wachache for the specific mission ndani ya UFALME wa Mungu

Hata hivyo .... Aisee wito umeisha ๐Ÿ˜‚
Amina Amina lengo lako tuonane ijumaa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Back
Top Bottom