Hata ukimbie vipi, ana wewe.Niki Rejea katika mstari wa biblia
Unasema waliopewa mwaliko ni wengi lakin waliochaguliwa ni wa chache(matayo)
Hata kuna msanii aliyeimba wimbo wa sisi ni wale tuliochaguliwa na mungu
Swali langu ni hili
Utajuaje kama wew ni kati ya wale waliochaguliwa na mungu ????
ishara zake ni zipi?????
Tufunguane macho
Mambo haya nikiyasema ni magumu kwako usije kuhairisha tours ya mlima hanang bure😂Nin sema lililo moyoni
Sisi sote tumechaguliwa na Mungu.Niki Rejea katika mstari wa biblia