RUSTEM PASHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2016
- 4,707
- 11,365
Sisi ndio vijana tunaeamua hatima ya nchi yetu, nyie wazee wakati wenu ushapita, hatuwezi kuvumilia kuiona Tz yetu inapokwa na mtu katili na dikteta ambae anaua ndugu zetu wasio nahatia kisa wanadai haki zao zisipokwe. Hatuko tayari natuliposema sasa basi tulimanisha sasa basi.Ukutane na mimi? Utakutana na waliosomea kupiga binadamu wenzie
Mie labda useme nijiandae kuwadraftia ndugu zako barua za kukudhamini mahabusu au kuwaelekeza jinsi ya kumchua mtu alievunjwa viungo kwa kipigo
Gwajima akiwa nae ni mmoja wa wakazi wa jimboni Kawe alikuwa anaona hilo tatizo la mafuriko.Ilala ni Dar,Temeke ni Dar ,Mbagala ni Dar,etc na zote hizi zipo Tanzania
Zote hizo zinasimamiwa na CCM,kuleta hoja ya mafuriko Kawe ni nonsense....Mafuriko kawe ni ishu sio pressing kama ya Ilala Jangwani au Temeke huko miaka zaidi ya 100 sasa!
Wewe unamdiss Halima wa CDM na mafuriko Basihaya na mimi nikakukumbusha Ilala ni mara 1000 ya mafuriko ya Basihaya na CCM wapo huko,lakini nothing happened!
Usiniwekee mipaka,tupo TZ,specifically Dar,na tupo na CDM and CCM,siwezi ongelea Guandong province na CCP ya China au Democrats na district ya Maryland nicompee na Chadema ya hapa!
Eti usitoke Kawe....stop this nonsense bwana!
Compared to Ilala,Temeke na Mbagala,mafuriko Basihaya sio pressing issue kama mambo mengine aliyoyapa kipaumbele Halima!
Tuache yote hayo,tutapigiana makelele mpaka kesho...ishu ni kwamba wewe unaamini Gwajima the pornstar kashinda kihalali na mimi naona hajashinda kihalali na wezi wa kura walikamatwa on a national television,tubakie na misimamo yetu binafsi sisi kama sisi!
Cool
Kama kweli mmepata kura ambazo tayari zilipigwa kwanini mmewahi kuzichoma?Well and good..... At least umekiri kuwa ni CCM pekee wanajua ila sio sisi wananchi wa kawaida.
Meaning hakuna justification kabisa ya kuhalalisha kumng'oa mdee kwa wizi.
Sisi ndio vijana tunaeamua hatima ya nchi yetu, nyie wazee wakati wenu ushapita, hatuwezi kuvumilia kuiona Tz yetu inapokwa na mtu katili na dikteta ambae anaua ndugu zetu wasio nahatia kisa wanadai haki zao zisipokwe. Hatuko tayari natuliposema sasa basi tulimanisha sasa basi.
Kua na adabu pumbafuu wewe humu usilete uhuni wa fb na Instagram humu Ni great thinker only tunathamini utu na heshima ya mtu awe Ccm ,Cdm,cuf,Act nkKarudi kitaaa si muda ataolewaa tuuu.... Maana. K yake tamu kama sura ake....
Tukutane tare 2 shekhe na ndugu yangu Al had Pohamba Ili mtambue hii ni nchi yetu wote.Hata Mange mlimjaza hivyo hivyo akavimba kichwa akidhan mngeandamana, alichokipata April, 26 hatosahau
Safari hii uchaguzi wote akawa busy na ku post chupi zake sio mambo ya harakati
Hata Wewe na wenzako mtaandamania tweeter hakuna wa kutosa Kwato yake barabarani izolewe na vijana wa Sirro ambao kwa miaka mitano wanawasubiri
Hawa Lumumba hoja zao sometimes hazinaga mashiko. Wao Siku zote chama kwanza wananchi baadae ndio maana wanajitahidi sana kupandikiza sharia zao kandamizi Ambazo haziwasaidii wananchi kwa lolote lile.Kwani chama kina wanyama? Nacho kinq wananchi. Kwahiyo akiikubali nafasi batili atakuwa kakubali kulitumikia tumbo lake
Sawa mkuu mimi nipo Dodoma nimetua jioni hii.Gwajima karekebisha mafuriko ya Basihaya lini?
Taja siku na lini hilo tatizo limerekebishwa na bwana anaejiita Gwajima?
Na usije niambia eti hoja moja tu ya mafuriko Basihaya ndio yamempa kura Gwajima,Gwajima hajapata kura zozote,wameiba assisted na Magufuli na head of the snake!
Tuache hii discussion,hebu tuongee mengine,haya tuyaachie hapa!
Hatutafika mwisho,utamtetea gwajima na mimi ntamtetea Halima,mwisho wa siku ni opinions tu....lakini rohoni mwetu kila mtu anajua what happened!
Sijasema amerekebisha.Gwajima karekebisha mafuriko ya Basihaya lini?
Taja siku na lini hilo tatizo limerekebishwa na bwana anaejiita Gwajima?
Na usije niambia eti hoja moja tu ya mafuriko Basihaya ndio yamempa kura Gwajima,Gwajima hajapata kura zozote,wameiba assisted na Magufuli na head of the snake!
Tuache hii discussion,hebu tuongee mengine,haya tuyaachie hapa!
Hatutafika mwisho,utamtetea gwajima na mimi ntamtetea Halima,mwisho wa siku ni opinions tu....lakini rohoni mwetu kila mtu anajua what happened!
Mkuu wewe ni mmoja wa waumini ktk kanisa la Gwaji boy?Sijasema amerekebisha.
Nimesema anataka kusaidia kurekebisha, akiwa mbunge wa CCM.
Anyway mkuu we amini unavyoamini na mimi naamini ninavyoamini.
Mwisho wa siku sisi sote ni watanzania na hii nchi ni ya kwetu sote.
Iliyobaki tuunge mkono juhudi zozote za kuleta maendeleo kwa manufaa ya watanzania wote na si wachache na wale wanowatuma.
Hapana, mimi si muumini wa kanisa la Gwajima.Mkuu wewe ni mmoja wa waumini ktk kanisa la Gwaji boy?
Kama ndio baasi sawa.
Ooh ok. Hapo sawa. Maana nimeona unamuaminia sana kama vile kila alichosema au ku act atafanya.Hapana, mimi ni si muumini wa kanisa la Gwajima.
Umekurupuka kama kawaida yako pussy,huna unchokjua!!Halima aligombea pia viti maalum, ndio uone watu walivyo wabinafsi. Mtu anagombea nafasi mbilimbili, ili akikosa moja apate nyingine
Mimi siamini kwenye dhuluma.Goodluck mkuu kwa kushiriki kula matunda ya dhuluma!
Ushahidi upi upelekwe mahakamani wakati umeambiwa hakuna kesi dhidi ya kura za Urais!!"Irregularities" ipo kila chaguzi, hivyo hakuna uchaguzi wa asilimia 100 perfect.
Narudia kusema hivi, ikiwa Chadema wanadai kulikuwa na kura feki walipaswa kuzipeleka polisi ambao nao wangewasiliana na NEC.
Pili, kwa kuwa kulikuwepo na wawakilishi wa balozi za nje pale Kawe wao nao pia wangepewa hizo nakala ili watafute authentication yake ikiwemo hata kupeleka kwenye "international court".
Hivi wafahamu balozi za Ujerumani na Uingereza haziungi mkono kinachofanywa na balozi wa Marekani hapa nchini?
Lakini kupiga moto makaratasi hayo na kudai "tumekamata kura feki" hiyo ni ujinga.
Upinzani Tanzania haupo na nilikwishauondoa tangia uchaguzi wa 2015.
Mbowe, Zitto, Membe, Tundu Lissu na wengine kama kweli wana ushahidi wa wanachokiongea wapeleke madai mahakamani ili sheria ichukue mkondo wake.
Je, mmemtafuta Membe mbona yeye hajaongea lolote?
Vinginevyo, Tundu Lissu huenda akarudi Ubelgiji, Zitto Kabwe na Mbowe wakaendelea na maisha ya kawadia ambayo wana uwezo nayo.
Vijana walowatumia mitandaoni na kwingine ndo waathirika.
Kubalini matokeo, la mmeamua kuingia barabarani bila kibali basi Jumatatu mjidamke mlianzishe.
Kama watu walikutwa na ushahidi wa kura zilizokuwa zimepigwa tayari basi badala ya kuzichoma kura hizo zingetumika kama ushahidi au vidhibiti.Ushahidi upi upelekwe mahakamani wakati umeambiwa hakuna kesi dhidi ya kura za Urais!!
Kura za ubunge kwa experience yetu ya 2015 hakuna jimbo lilipindua matokeo. Sio sababu ya ushahidi bali technicalities tu so same thing zitatokea 2020 kma watakimbilia mahakamani unless kungekua na tume huru ya majaji kuamua hizi mambo.
Vijana gani wanatumika mitandaoni? Mimi na familia yangu tulimpigia Lissu sasa nani katumwa humu? Sisi tuliipenda CHADEMA kwa mapenzi yetu wenyewe ndio maana hata kampeni tulikua tunachangia so huku hatu expect kupokea hela bali tunajitoa tu sababu tunataka mabadiliko ya kisiasa.
NB: unasema upinzani ulikufa 2015 ila nguvu inatumika 2020? Ni hivi upinzani hauwezi kufa sababu kila nchi kuna hardcore Right wing au Left wing ambao hawayumbi no matter ufanyeje
Zipi zimechomwa? Yale mabegi waliyokamata polisi yalichomwa? Vp kule Nyamagana kile kikapu cha kura kilichomwa?Kama kweli mmepata kura ambazo tayari zilipigwa kwanini mmewahi kuzichoma?
Na kwanini wachoma kidhibiti?
Kwanini wachoma moto ushahidi?
Mbona zipo picha za kuchomwa kura mitandaoni?Zipi zimechomwa? Yale mabegi waliyokamata polisi yalichomwa? Vp kule Nyamagana kile kikapu cha kura kilichomwa?
Not affiliated?!No human being can make it alone, sharing is caring.
Btw, I'm not affiliated to any political party!