Je hapa Nina mke kweli?atumia laki tatu ndani ya wiki3 akiwa ugenini katika harus

Je hapa Nina mke kweli?atumia laki tatu ndani ya wiki3 akiwa ugenini katika harus

Habar wanajamiiforum mke Yuko safar ,Yuko ugenini.. ktk harus yandugu zake ana wiki 3 Sasa,alikwenda na watoto 2,nje usafiri nilimpa laki350 kama akiba yamatumiz yake madogo madogo Cha ajabu, Sasa mtoto hata mtoto apate mafua anataka atumiwe Hela ya dawa tu ya 3000 nimebaki nashangaa,hapa nna mke kweli
Mpe hela mkeo wewe baba..Wifi yetu alikuja kwetu akapewa 3m matumizi mama akatumiwa 1.5 maandalizi ya kumpokea😀😀😀.Kama uko nayo pesa mtunze mkeo na watoto laki3 wiki tatu tena akiwa kwao sio kitu kabisa.
 
Dah, sasa hilo ni la kuleta huku ndugu yangu? Kweli ndio maana ndoa hazidumu
 
Huyoooo ni chaguooo lakooo
Chaguo lakooo
Hata kama ni wakala uyoooo ni chaguo lako.....
Kwa hio bwana mkubwa ishi na chaguo lako vizur usije muacha akat ushamzoesha ela
Mtaan atatutesa uyo


Habar wanajamiiforum mke Yuko safar ,Yuko ugenini.. ktk harus yandugu zake ana wiki 3 Sasa,alikwenda na watoto 2,nje usafiri nilimpa laki350 kama akiba yamatumiz yake madogo madogo Cha ajabu, Sasa mtoto hata mtoto apate mafua anataka atumiwe Hela ya dawa tu ya 3000 nimebaki nashangaa,hapa nna mke kweli
 
Habar wanajamiiforum mke Yuko safar ,Yuko ugenini.. ktk harus yandugu zake ana wiki 3 Sasa,alikwenda na watoto 2,nje usafiri nilimpa laki350 kama akiba yamatumiz yake madogo madogo Cha ajabu, Sasa mtoto hata mtoto apate mafua anataka atumiwe Hela ya dawa tu ya 3000 nimebaki nashangaa,hapa nna mke kweli

umesha sema harusi ya ndugu zake sasa kama familia yake haina uwezo wa kueleweka ujue kule mkeo anaenda kuwa sponsor wa kuweka mambo sawa na ujue akiwa kwao ni dada mtu hivyo lazima awajibike.
Kama hela ya mchele haitoshi, mafuta, soda nk ujue anajazia na pengine yeye ndiye kaolewa kwenye familia bora hivyo kila mtu anamuangalia ...
Hitimisho ni kuwa; una mke, na hiyo changamoto kidogo isikugombanishe na mke wako ....
 
Amekutana na maboy zake na hawana hela hivyo anazamini pambano yeye. Wewe tuma hela waichakate
 
Laki 3 wiki 3 yupo kwenye sherehee....mbona amejitaidi sana..kubalance...acha uwoga uyo simkeo sio mbaya..angekuwa mchepuka..ndio ungehoji
 
Hivi nyie wenzangu mnawezaje kupenda mwanamke!!??
Mie siwezi kabisa
KAMA umelelewa na baba na Mama sio Ngumu ila kama umekulia yale maisha ya Mzazi mmoja au maisha ya wazazi vita ni vita ama mtaani ndio inakuwa ngumu
 
Kwenye hiyo harusi niliona mkeo aki'chop money'... Nikamuuliza shemeji vipi? Akaniambia hayanihusu nifate yangu.
 
Habar wanajamiiforum mke Yuko safar ,Yuko ugenini.. ktk harus yandugu zake ana wiki 3 Sasa,alikwenda na watoto 2,nje usafiri nilimpa laki350 kama akiba yamatumiz yake madogo madogo Cha ajabu, Sasa mtoto hata mtoto apate mafua anataka atumiwe Hela ya dawa tu ya 3000 nimebaki nashangaa,hapa nna mke kweli
swala la muda tu bro utagundua umejiunga kikoba🤣by de way mseme ankufanyia hayo kwakua anajua auna mkon wa birik mwanamk ukiw unamp mpa hela kirahs anajua we zpo tu nae anazdsha matumzi ya ovy yn anaez kua na shid rafk ake akaj kwko km ye ndo anashda unamp nae anaend kutoa hap viumb untakiw askujue km una hela kbs asjue uwez wko yn mwanamk km una mti unachumag marunda we chuma mletee yanaomtosha kwa siku usimpe ta akiba wala usimpelek kweny mti unaochuma ataupulua ote af mkilost atakuon mpumbav hun mana...mwanamk km unaingz milion asjue ajue unaingiz lak 3 mshrkshe ht yey kweny kukop lia shida akikuomba safar km ivo we lia lia jfany hal ngum ht km unaheka act umekopa na usimp hela ya pa1 mpe ya naul na bajet tu km 15 then uko alipo akiw na shida akuombe umpe kdg kdg ten wakat anaomba usionyesh unay kwa wakat mpe vpnd mzngushe jfany umeazma hpo utaon usaw mwanamk akijua una hela ye atowaz matmiz mwanamk kaumbw kutaman kila kinachomvutia kukinunua kumsaidia kila anaemlilia shida na kujionyesha ana hela ht km afany kaz na mbay zaid kwrny hela zke mwanamk uwa mchungu na hat km ana hela ni sir awez kukuambia mmewe ht ana milion ndan sukar imeisha au umeme atakpgia sim so una nafas bad bro after dat badil mfum wa maisha mke atakiw kumwagiw hela ovy ukmzoesha ivo sik auna kwel utompata bor azoee ugum flan ajue mme hela ake ad akup shda atajfnza kuish kwa bajet
 
Back
Top Bottom