Je hapa Nina mke kweli?atumia laki tatu ndani ya wiki3 akiwa ugenini katika harus

Je hapa Nina mke kweli?atumia laki tatu ndani ya wiki3 akiwa ugenini katika harus

fanya hivi, akirudi kwanzia pale aliporudi hakikisha kila kitu unanunua wewe mpaka nyanya😂,,yani hela yoyote isipite mikononi mwake, saloon akienda akimaliza mwambie atume lipa namba, bando akitaka mnunulie,yaani ni mwendo wa lipa namba mwanzo mwisho
 
Habar wanajamiiforum mke Yuko safar ,Yuko ugenini.. ktk harus yandugu zake ana wiki 3 Sasa,alikwenda na watoto 2,nje usafiri nilimpa laki350 kama akiba yamatumiz yake madogo madogo Cha ajabu, Sasa mtoto hata mtoto apate mafua anataka atumiwe Hela ya dawa tu ya 3000 nimebaki nashangaa,hapa nna mke kweli
Wanawake uwa wanaishi kulingana na pesa iliyopo to much overspend
 
Habar wanajamiiforum mke Yuko safar ,Yuko ugenini.. ktk harus yandugu zake ana wiki 3 Sasa,alikwenda na watoto 2,nje usafiri nilimpa laki350 kama akiba yamatumiz yake madogo madogo Cha ajabu, Sasa mtoto hata mtoto apate mafua anataka atumiwe Hela ya dawa tu ya 3000 nimebaki nashangaa,hapa nna mke kweli
Weka picha yake kwanza tuone kama ana thamani ya hizo hela.
 
Harusi zinakula pesa balaa,
mshono tu unaambiwa elf 80, sare ziko tatu,,, ya kamati, ya mawifi, ya wadada, acha kabisa bandugu,,

hapa nimetoboka balaa, 😃,,

kikubwa mke unaye mkojoze tu 💦
Gauni la bibi harusi Mil 1
 
Hapana Sina kama mke umempa laki tatu na nusu alafu Hela ya dawa ya mtoto shingi3000 akuombe nimtihani,hapa mke hakuna kabisa,labda awe amefika uko kageuka muhemeaji wa familia
Mkuu kwa umri wako bado hujafahamu kuwa wanawake ni wabinafsi sana?
 
Ulipotamani msambwanda hukuja kuuliza, sasa hivi ndo unstuka.

Kwishaaa.
 
Mbona mkeo anabana sana matumizi, yaani Waki 3 zote hizo alikua anaishije sasa. Daah namwonea huruma sana mtoto wa watu.
 
Habar wanajamiiforum mke Yuko safar ,Yuko ugenini.. ktk harus yandugu zake ana wiki 3 Sasa,alikwenda na watoto 2,nje usafiri nilimpa laki350 kama akiba yamatumiz yake madogo madogo Cha ajabu, Sasa mtoto hata mtoto apate mafua anataka atumiwe Hela ya dawa tu ya 3000 nimebaki nashangaa,hapa nna mke kweli
kama nimeelewa hiyo 350k ulimpa wiki 3 zilizopita na ana watoto wawili maana anatumia hiyo pesa kwa ajili yake,watoto na matumizi ya huko ugenini
KWA MAONI YANGU(YAHESHIMIWE): hiyo hela ni ndogo kwa huyo mwanamke angekua yuko peke yake hana watoto walau tungeanza kuhisi anatumia matumizi yasiyo ya lazima, ila hapo ana majukumu na kama kama ameenda kwenye jambo la mkusanyiko kama harusi(au hata ingekua msiba) hiyo hela bado ndogo kwa muda wa wiki 3(kumbuka hatujui role yake kwenye hiyo jambo)
USHAURI: Hiyo hera ni ndogo kama unayo muongezee, pia kama mke mwenye watoto wawili hiyo hera ni ndogo sana kwa hiyo jitahidi uelewe anakuomba wewe maana yake hana mtu wa kumuomba(MASPONSORS HUWA WANATUMIA SANA HIZI OPORTUNITY)
Wasalam
 
Huko aliko naye anajiuliza kama mume kweli😂😂

Ila mimi mke hawezi kwenda kwao kwa ajili ya harusi kwa wk 3. Anafanya nini kwani?

Hongera sana mkuu kwa kuwa na mke Bora kabisa.
 
Back
Top Bottom