Je hapa Nina mke kweli?atumia laki tatu ndani ya wiki3 akiwa ugenini katika harus

Je hapa Nina mke kweli?atumia laki tatu ndani ya wiki3 akiwa ugenini katika harus

Issue hapa hata sio hela.

Kutumia laki kwa wiki na mtu ana watoto na yuko ugenini wala sio tatizo.

swali ni ?
Anaendaje mahali wiki 3 kwa ajili ya harusi?
Hii hata ingekuwa kwenu ndo harusi ilipo?
3 weeks?
Enh!
 
Huyu jamaa Hana akili Yani wewe unamuacha mkeo dar es salaam wiki 3 kwenye shughuli kweli?

Hapa kuna jambo nimeliona mwanamke ndo kiongozi wa familia Kwa asilimia zaidi ya 95 na naww unaonekana mjinga mjinga hata watoto umesingiziwa hii 50/50
Duuuh hili nondo alikufunza nani kulitumia ovyo ovyo? Huoni unawagonga wenzio za kichwa?
 
Issue hapa hata sio hela.

Kutumia laki kwa wiki na mtu ana watoto na yuko ugenini wala sio tatizo.

swali ni ?
Anaendaje mahali wiki 3 kwa ajili ya harusi?
Hii hata ingekuwa kwenu ndo harusi ilipo?
3 weeks?
Enh!
Kosa ni la nani?
 
Ndugu pia inategemea mpoje, kwa dada yangu ni kama nyumbani nikienda
Mi natakaga mashemeji design yako... jinsi unavyokaa kwa dada ako nami nazidi kula mbususu ya mtu na dada ake... nabadili radha ya mbususu..
 
Yaan shida
Sasa mkuu unaalikaje watu waje kwenye harusi nahujajipanga kuwalisha
malembeka18 unakosea, kwa hiyo kabisa yaani baada ya mkeo kualikwa huko wewe ukajivua mzigo? kuwa makini aisee, hujaona watu wanaalikwa kwenye sherehe halafu wanaambiwa watoe zawadi?
 
Ebu tuchambue vizuri,
Wiki tatu =21 days
Kiasi 350k

Mazingira
1. Ameondoka yeye na watoto wawili.
( nauli hatujui ulilipa wewe au ni ndani ya bajeti)
Tukadirie =50k

2. Yuko kwaajili ya sherehe.
Japokuwa hatujui maandilizi ya nje kama aliyamilisha kwa hiyo bajeti au lah.
Michango ya harusi (iliyo rasmi+ isiyorasmi)
Atleast 50k+50k=100k (kwa nature ya maisha yenu)

3.Ni Dar es salaam (sehemu yenye matumizi makubwa ya pesa)

a. ......................
b. Anatoa ela ya matumizi kwa kuwa ni nyumbani kwako
c. Baba/mama, yupo ambae alipewa pesa kwaajili ya maandilizi ya tukio hilo.
b=5k per day=150K
c=50k
=200k

4. Mtoto anaumwa (japokuwa hujasema ni kwa mda gani amekuwa akiumwa mpaka siku uliyopata taarifa)
Tsh= ?
5. Mambo yake binafsi ( vikoba, marejesho, n.k).

WE JAMAA ACHA UFALA, MTUMIE NA PESA NYINGINE YA ZIADA, ATACHAKAZWA SANA.
 
Habar wanajamiiforum mke Yuko safar ,Yuko ugenini.. ktk harus yandugu zake ana wiki 3 Sasa,alikwenda na watoto 2,nje usafiri nilimpa laki350 kama akiba yamatumiz yake madogo madogo Cha ajabu, Sasa mtoto hata mtoto apate mafua anataka atumiwe Hela ya dawa tu ya 3000 nimebaki nashangaa,hapa nna mke kweli
Maisha yamebadilika siku hizi baba mwenye mji amegeuzwa Msukule wa familia unaofanyishwa kazi huku familia inakula bata hata huruma hawana😁😁😁
 
Huyo ameenda likizo sio harusini, angalie asije akapata mme asiye rasmi huko
 
Huna upuuzi na unakaa kwangu sasa hapo si km unamtaja Mungu wakati uko kwenye ufalme wa shetani... hapo lazima uliwe tu..
Bahati nzuri wewe sio shemeji yangu. So nile tu in your dreams
 
Back
Top Bottom