Je hapa Nina mke kweli?atumia laki tatu ndani ya wiki3 akiwa ugenini katika harus

Raha ya mwanamke ni kumuomba mwanaume walke hela. hata kama anayo inaashiria kwamba anakuheshimu na anatambua nafasi yako kama mwanaume na baba
 
Mi napenda kukaa kwangu kwa watu sisikii raha ,kuna watu wanapenda kuzurura kuna mke wa ndugu yangu ni safari kila mara mara harusi mara sijui mgonjwa akienda ameenda nadhan hampendi mmewe anaona tabu kuishi nae
Kwa kweli mimi kabla ya huu mwaka kuisha nina plan ya kwenda nyumbani kwetu na nitakaa si chini ya miezi miwili.
 
Habar wanajamiiforum mke Yuko safar ,Yuko ugenini.. ktk harus yandugu zake ana wiki 3 Sasa,alikwenda na watoto 2,nje usafiri nilimpa laki350 kama akiba yamatumiz yake madogo madogo Cha ajabu, Sasa mtoto hata mtoto apate mafua anataka atumiwe Hela ya dawa tu ya 3000 nimebaki nashangaa,hapa nna mke kweli
sasa hivi matumizi ya mkeo ndio uyalete hapa?
 
Raha ya mwanamke ni kumuomba mwanaume walke hela. hata kama anayo inaashiria kwamba anakuheshimu na anatambua nafasi yako kama mwanaume na baba
 
Mi napenda kukaa kwangu kwa watu sisikii raha ,kuna watu wanapenda kuzurura kuna mke wa ndugu yangu ni safari kila mara mara harusi mara sijui mgonjwa akienda ameenda nadhan hampendi mmewe anaona tabu kuishi nae
Mkuu uko kama mm, mimi naweza nikaenda sehemu may be nje ya mkoa km ni siku chache niko radhi nikae lodge coz mambo ya kubanana banana sipendi...
 
🤣🤣🤣🤣🤣 Anayetumia hela vizuri ina maana budget yake Ni Laki Kwa mwezi mzima wenye siku 30 na ana watoto 2!!
Huyo muumbe mwenyewe!!
NitamtAfuta alafu nimuleta hapa jf mumuone
 
Habar wanajamiiforum mke Yuko safar ,Yuko ugenini.. ktk harus yandugu zake ana wiki 3 Sasa,alikwenda na watoto 2,nje usafiri nilimpa laki350 kama akiba yamatumiz yake madogo madogo Cha ajabu, Sasa mtoto hata mtoto apate mafua anataka atumiwe Hela ya dawa tu ya 3000 nimebaki nashangaa,hapa nna mke kweli
Inategemea ulivyomzoeza,wengine 50,000 tu kama katoa milioni, mwingine hiyo uliyotoa ni ya sabuni!
 
Ni ujinga sana kumpima Mke kwa kipimo hicho; Matumizi Mabaya ya mwanamke hupimwa akiwa Nyumbani kwa siku za kawaida, Hemu itafakari 350,000/-

  • Ndo hela ya kula njiani na watoto 2.
  • Ndo boda boda za dharura.
  • Watoto hawajalilia kitu.
  • Kama ni jobless, ana Vikoba
  • Lazima atoa kidogo huko...

Mwanamke lazima ( Kama Hana kazi ) apate hela kiasi ya ziada not accountable kabisa ( kama una uwezo )
Hivyo vicoba ni vyake na wakivunja hulambi hata thumni
 
Habar wanajamiiforum mke Yuko safar ,Yuko ugenini.. ktk harus yandugu zake ana wiki 3 Sasa,alikwenda na watoto 2,nje usafiri nilimpa laki350 kama akiba yamatumiz yake madogo madogo Cha ajabu, Sasa mtoto hata mtoto apate mafua anataka atumiwe Hela ya dawa tu ya 3000 nimebaki nashangaa,hapa nna mke kweli
Sema malembeka18 unaishi kwa tabu sana.

Wewe kila uzi wako unalalamika tu unaishi ulimwengu gani wewe ?
 
Back
Top Bottom