Je hapa Nina mke kweli?atumia laki tatu ndani ya wiki3 akiwa ugenini katika harus

Je hapa Nina mke kweli?atumia laki tatu ndani ya wiki3 akiwa ugenini katika harus

Habar wanajamiiforum mke Yuko safar ,Yuko ugenini.. ktk harus yandugu zake ana wiki 3 Sasa,alikwenda na watoto 2,nje usafiri nilimpa laki350 kama akiba yamatumiz yake madogo madogo Cha ajabu, Sasa mtoto hata mtoto apate mafua anataka atumiwe Hela ya dawa tu ya 3000 nimebaki nashangaa,hapa nna mke kweli
350k ni ndogo sana kwa wiki tatu. Tena kwenye sherehe. Mtumie hela, asije akatokea mtu akamtia majaribuni kwa kumpa million sita
 
Hyo mbona ndogo harusi kwao ndy siku muhimu kwao yani na ww ukiwa Mzee wa kupendeza basi atataka akualike mana wanapenda show off Kwa wenzao sio Kwa wanaume.

Asilimia kubwa wanapenda kujibrand Kwa wenzao mana wenzao nao hawaji kitoto.

Toboka mke apendeze.
 
Ongeza hela arudi mana hyo ni ndogo akinyamaza kukuomba ushaumia we tuma tu mana ni mkeo.
 
Habar wanajamiiforum mke Yuko safar ,Yuko ugenini.. ktk harus yandugu zake ana wiki 3 Sasa,alikwenda na watoto 2,nje usafiri nilimpa laki350 kama akiba yamatumiz yake madogo madogo Cha ajabu, Sasa mtoto hata mtoto apate mafua anataka atumiwe Hela ya dawa tu ya 3000 nimebaki nashangaa,hapa nna mke kweli
Mke na watoto wawili wanatumiaje laki moja kwa wiki ugenini?
Mimi naona mpe 30000 kwa siku labda itasaidia.
 
Nilitegemea uumie kwa Mke kukaa wiki 3 harusini ila umeumia kwa laki 3

Pipa na Mfuniko mmekutana.
Mkuu anatakiwa abadili kichwa cha habari kiwe Mke kwenda harusi kukaa wiki 3, hii ni maajabu ya Mwaka, yani Mimi mke wangu akae wiki 3 kwenye harusi lazima patachimbika labda kama kaenda kumuuga Mzazi, bila hivyo atakuta Pisi kali ndani.
 
Pesa ya kawaida tu hiyo kwa wiki 3 mnacomplicate mambo. Ukute hata amemsaidia mzazi wake kampa laki moja.
Kuomba ushauri kama hivi itafanya umchukie mkeo kwa comments za kijinga unazoshauriwa hapa, ungemalizana nae mwenyewe.
Sijaona kitu serious hapo hadi kujiuliza kama mke anafaa au la.
Ni kweli ni pesa ya kawaida atakua nyingine kuwasaidia wadogo zake au Mzazi ni jambo la kawaida, Huyu angetakiwa alalamike mke kwenda harusini na kukaa wiki 3 na siyo kulalamika pesa.
 
Habar wanajamiiforum mke Yuko safar ,Yuko ugenini.. ktk harus yandugu zake ana wiki 3 Sasa,alikwenda na watoto 2,nje usafiri nilimpa laki350 kama akiba yamatumiz yake madogo madogo Cha ajabu, Sasa mtoto hata mtoto apate mafua anataka atumiwe Hela ya dawa tu ya 3000 nimebaki nashangaa,hapa nna mke kweli
Sasa usimpe apewe na ma-x wake
 
Back
Top Bottom