Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 51,112
- 72,581
Ila kuna watu wanapenda kukaa kwa ndugu aisee wanakuwa wapo comfortable kabisaNa hilo ndilo kosa alofanya la kumuacha aende wiki 3
Ila kuna watu wanapenda kukaa kwa ndugu aisee wanakuwa wapo comfortable kabisaNa hilo ndilo kosa alofanya la kumuacha aende wiki 3
Ni nature ya mwanamke kutaka mume a provide hatakama ana milioni laki kumiHabar wanajamiiforum mke Yuko safar ,Yuko ugenini.. ktk harus yandugu zake ana wiki 3 Sasa,alikwenda na watoto 2,nje usafiri nilimpa laki350 kama akiba yamatumiz yake madogo madogo Cha ajabu, Sasa mtoto hata mtoto apate mafua anataka atumiwe Hela ya dawa tu ya 3000 nimebaki nashangaa,hapa nna mke kweli
Tena mke mwemandiyo unaye mke
T14 ArmataYaan mzazi kwako iwe harusi ualike ndugu zako uwe hujajipanga kwa ugeni kweli
Hiyo ni mashine ya kuchakata na kukoboa pesa.Habar wanajamiiforum mke Yuko safar ,Yuko ugenini.. ktk harus yandugu zake ana wiki 3 Sasa,alikwenda na watoto 2,nje usafiri nilimpa laki350 kama akiba yamatumiz yake madogo madogo Cha ajabu, Sasa mtoto hata mtoto apate mafua anataka atumiwe Hela ya dawa tu ya 3000 nimebaki nashangaa,hapa nna mke kweli
Ungesema kwa baba yangu mzazi sawa. Lakini niende kwa baba mkubwa na watoto wangu halafu nikunje mikono. Hapana kwakweli sijalelewa hivyo. Maisha magumu siku hizi watu walikua wanatumia sukari 1kg kwa wiki mbili nimeongezeka na wanangu sukari inatumika wiki kwanini nisichangie. Na ninakaa karibu mwezi.Yaan unjihudumia kama nin unajipikia au..nkuulize ww ukienda kwa baba Yako mkubwa au mdogo huwa hauko comfortable
HaswaaaTena mke mwema
Oooh kumbe ulitaka upewe majibu ambayo tayari unayo!!Hapana Sina kama mke umempa laki tatu na nusu alafu Hela ya dawa ya mtoto shingi3000 akuombe nimtihani,hapa mke hakuna kabisa,labda awe amefika uko kageuka muhemeaji wa familia
Ulimpa hela ya mchango wa harusi, mavazi, ya kutunza zawadi, vinywaji? Wiki tatu ni nyingi sana kwa sherehe, kuna uwezekano mkubwa hiyo hela imekwisha ndio maana anataka nyingine.Habar wanajamiiforum mke Yuko safar ,Yuko ugenini.. ktk harus yandugu zake ana wiki 3 Sasa,alikwenda na watoto 2,nje usafiri nilimpa laki350 kama akiba yamatumiz yake madogo madogo Cha ajabu, Sasa mtoto hata mtoto apate mafua anataka atumiwe Hela ya dawa tu ya 3000 nimebaki nashangaa,hapa nna mke kweli
Unapoipeleka familia yako namàanisha mke na watoto hata kama ni kwa babu yao piga hesabu ya matumizi yao kama unavyofanya wakiwa nyumbani kwako hii itakupa heshima na kutodharauliwaSasa mtu amekaa nyumbani hatoki siku tano hiyo 17000 anatumia ktk nin labda awe ameveuka kuwa muhemeaji kabeba majukum ya familia
Nkuulize ww ukienda ugenin Kila siku utakua unachangia Kila sikuOk. Huko wanakula bure hachangii chochote nyumbani?
Kwenye nyuzi za kuchuna hela mnaibuka front line 🤣🤣Hapo avae yeye na watoto Bado hajaenda saloon,na amekaa wiki 3 huyo Ni Pro Max wife material!!
Na ndo wanaokula hiyo hela maana wanawake wakirudi mtaani kwao huwa wanajihisi hatia ya kuwatosa maex na kwenda kuolewa kwaiyo malipo yake ni kuwapa mzigo na pesa juuMke anaondokaje nyumban wiki 3? Watu mna moyo Kwel uko ex zake lazma waichakate
Sasa jobless kikoba cha nini?Ni ujinga sana kumpima Mke kwa kipimo hicho; Matumizi Mabaya ya mwanamke hupimwa akiwa Nyumbani kwa siku za kawaida, Hemu itafakari 350,000/-
- Ndo hela ya kula njiani na watoto 2.
- Ndo boda boda za dharura.
- Watoto hawajalilia kitu.
- Kama ni jobless, ana Vikoba
- Lazima atoa kidogo huko...
Mwanamke lazima ( Kama Hana kazi ) apate hela kiasi ya ziada not accountable kabisa ( kama una uwezo )
Sasa jobless kikoba cha nini?