Wiki 3 mkuu?? Kajibana Sana!!!! Angekua muhemeaji mkuu ingeisha ndani ya wiki tu,mshikilie Sana mkeo!!Yaan unataka kunambia ukifika ugenini we ndo uwe muhemeaji mkuu kiasi kwamba usema hiyo Hela kajibana
Yupo kwa ndugu yake kwa baba yakeWiki tatu laki 3 ugenini let other thing zi remain constant awe anatumia 5000 per day
5000*30 days =150,000
At least angetumia hata ndani ya miezi miwili.
Ila kama anakula hotelini kwa wastani wa 10,000 per day angalau atumie ndani ya mwezi MZIMA na siku kadhaaa.
Naomba kuwasilishaaa.
Hapo ungetafuta three some kwa 100,000 alafu 250,000 ukaweka kibindoniiiiAiseee wanaume kwenye ndoa mnavumilia ujinga mwingi sana.
Mkuu wiki 3 mke hayuko nyumbani?Habar wanajamiiforum mke Yuko safar ,Yuko ugenini.. ktk harus yandugu zake ana wiki 3 Sasa,alikwenda na watoto 2,nje usafiri nilimpa laki350 kama akiba yamatumiz yake madogo madogo Cha ajabu, Sasa mtoto hata mtoto apate mafua anataka atumiwe Hela ya dawa tu ya 3000 nimebaki nashangaa,hapa nna mke kweli
Hayo matumizi ni sahihi au unataka mke asichangie hata hela ya matumizi hapo alipofikia?Nidaslamu sio kijijini
Wiki 3 laki 3 na 50 ni ndogo sana tena huyo ni bonge la mke jamaa yangu yeye na watoto hio ni ndogo saaana, hio ni ya kutumia wiki 1 tu ikaisha kwa kipindi hiki tulichopo tena mtu mmoja wiki 1 tu imekatahapa nna mke kweli
Wanaume dhaifu hao....mie ndio maana nasema ndoa siyo for me hasa hawa wanawake wakibongo na ujinga ujinga waoHapo ungetafuta three some kwa 100,000 alafu 250,000 ukaweka kibindoniiii
By the way huyo mke wake awe na huruma, maana Kuna mwingine Jana kapandisha thread ni dereva bajaji mkewe ameficha 1.2m alafu mtoto Hana pampas pia mumewe apeche alolo inauma Sana by juma nature
Mimi mke wangu akienda nyumbani kwetu siku zoteee ni EXPENDABLE 🤣Yupo kwa ndugu yake kwa baba yake
Wiki tatu laki 3 ugenini let other thing zi remain constant awe anatumia 5000 per day
5000*30 days =150,000
At least angetumia hata ndani ya miezi miwili.
Ila kama anakula hotelini kwa wastani wa 10,000 per day angalau atumie ndani ya mwezi MZIMA na siku kadhaaa.
Naomba kuwasilishaaa.
🤭🤭🤭🤭🤭Laki tatu na nusu itumike Zaidi ya mwezi?Wiki tatu laki 3 ugenini let other thing zi remain constant awe anatumia 5000 per day
5000*30 days =150,000
At least angetumia hata ndani ya miezi miwili.
Ila kama anakula hotelini kwa wastani wa 10,000 per day angalau atumie ndani ya mwezi MZIMA na siku kadhaaa.
Naomba kuwasilishaaa.
Hapo Mzee Hela za mashono sjui sare nlishapa Hela zakununua zawadi za harusi nlishampaHayo matumizi ni sahihi au unataka mke asichangie hata hela ya matumizi hapo alipofikia?
Harusi ina mambo mengi kwa kina mama
1. Lazima apendeze kitambaa cha sare ya harusi, kusuka, makeup/pico, nauli ya kwenda hapa na pale
2. Matumizi yake binafsi na kakinywaji na rafiki zake.
3. Matumizi madogo madogo ya mtoto yaani mara dogo kalilia juice
4. Zawadi ya muoaji au muolewaji.
Nadhani nimejitahidi kukuchanganulia
Acha mkeo ajimwambafai kidogo ili mume upate sifa za kumtunza na mashosti zake wajue wanashemeji anayemjali mkewe hii hukuongezea heshima.
Cc. shibelaWanaume dhaifu hao....mie ndio maana nasema ndoa siyo for me hasa hawa wanawake wakibongo na ujinga ujinga wao
Nyie mnafuja hela laki tatu hiyo sii budget ya miezi mitatu🤭🤭🤭🤭🤭Laki tatu na nusu itumike Zaidi ya mwezi?
Kumbuka ana watoto kuna wazazi wake huko,avae yeye na watoto aende saloon wiki 3 uulize hela imeishaje???!! Hela imetumika kihalali kabisa!!
Yaan mzazi kwako iwe harusi ualike ndugu zako uwe hujajipanga kwa ugeni kweliMimi mke wangu akienda nyumbani kwetu siku zoteee ni EXPENDABLE 🤣
EXPENDABLE SIMPLY MEANS IS JUST LIKE SOMEONE WHO WE'RE INVITED TO THE PARTY 🥳 🎉
MKEO AKIWA EXPENDABLE SIMPLY ANGERUDI HAPO KWAKO NA AT LEAST 250K MPAKA 200K KINYUME CHAKE KAMA KWAO NI MASIKINI YAAN ""MWENYEJI NJOO MGENI APONE"" HIYO 350K NI PESA NDOGO SANA KWENYE KUHUDUMIA FAMILIA KWA KUNUNUA NYAMA,SAMAKI, MAINI, KUKU
🤭🤭🤭🤭🤭Laki tatu na nusu itumike Zaidi ya mwezi?
Kumbuka ana watoto kuna wazazi wake huko,avae yeye na watoto aende saloon wiki 3 uulize hela imeishaje???!! Hela imetumika kihalali kabisa!!
🤣🤣🤣🤣🤣 Anayetumia hela vizuri ina maana budget yake Ni Laki Kwa mwezi mzima wenye siku 30 na ana watoto 2!!Nyie mnafuja hela laki tatu hiyo sii budget ya miezi mitatu
Hata akiwa anashinda nyumbani 24/7 itachakatwa tu.acha kujisumbua juu ya wanawakeMke anaondokaje nyumban wiki 3? Watu mna moyo Kwel uko ex zake lazma waichakate