Je hapa Nina mke kweli?atumia laki tatu ndani ya wiki3 akiwa ugenini katika harus

Wakari unamtongoza ulikua unazingatia maokoto

We mtumie tu
 
Hela ya matumizi madogo-madogo ni tofauti na hela ya matibabu.
 
Yaan mzazi kwako iwe harusi ualike ndugu zako uwe hujajipanga kwa ugeni kweli
Sisi tunajua watanzania majority ni from EXTENDED FAMILY.

Na siku zoteee HIGHER DEPENDENCES RATIOS.

NA SIKU ZOTEEE SAVING IKIWA VERY LOW HUWEZI KUENDELEA KWA CHOCHOTE..
 
Mtumie huyo ndo chaguo lako
 
Hapo Mzee Hela za mashono sjui sare nlishapa Hela zakununua zawadi za harusi nlishampa
Bado ni madogo
17000kwasiku x 21 = 355000/=
355000 - 350000 = -5000/=

umeona my wife wako alivyojibana hapo yaani katumia 17000 tu kwa siku ambayo ni reasonable
 
Wanawake ni watu wa ajabu sana
 
Sehemu ambayo umefika umekaa tu ugenin
Huwezi kua comfortable ugenini na upo na team yako. Kwenda ugenini na mwenyeji wako akuhudumie wewe na watoto wako sio ustaarabu. Lazima ujiongeze kwenye budget. Tena kama unaonekana mambo safi macho yote kwako.
 
Bado ni madogo
17000kwasiku x 21 = 355000/=
355000 - 350000 = -5000/=

umeona my wife wako alivyojibana hapo yaani katumia 17000 tu kwa siku ambayo ni reasonable
Sasa mtu amekaa nyumbani hatoki siku tano hiyo 17000 anatumia ktk nin labda awe ameveuka kuwa muhemeaji kabeba majukum ya familia
 
Huwezi kua comfortable ugenini na upo na team yako. Kwenda ugenini na mwenyeji wako akuhudumie wewe na watoto wako sio ustaarabu. Lazima ujiongeze kwenye budget. Tena kama unaonekana mambo safi macho yote kwako.
Yaan unjihudumia kama nin unajipikia au..nkuulize ww ukienda kwa baba Yako mkubwa au mdogo huwa hauko comfortable
 
Kosa kubwa ulilolifanya ni kumpa kiasi chote hicho akaenacho. Mara nyingi wanawaweke walioolewa matumizi huongezeka kulingana na hela iliyopo mkononi.

Formula iko hivi piga hesabu za matumizi yake kabla hajaondoka na mshirikishane then mkisha kubaliana gawa hiyo hela kwa 4 au 3 ongeza 30%(ila hii 30% asijue na usimpe utamuongezea ukiona kuna dharura) then mpe muambie kwa sasa huna kilichobaki ila utajitahidi kukitafuta umtumie.
Kama uliyompa itaisha siku 3 mtumie nyingine siku ya 5 huku ukilalamilalamkia maisha yalivyo magumu fanya hivyo hivyo hadi mwisho.



Kuna wale mnaoambia wake zenu leo nimepata 100000/=. Mwambie leo nimepata 50000/=
 
Tupe mgawanyo wa matumizi kwa mwanamke anayeishi Dar na ana watoto wawili. Ana 350,000 na ni wiki tatu, wastani ni 16,600 kwa siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…