Je, harusi ya Adam na Hawa ilifanyikia wapi, nani aliwafungisha ndoa?

Je, harusi ya Adam na Hawa ilifanyikia wapi, nani aliwafungisha ndoa?

... iliwahusu Adam na kizazi chake hadi pale Mungu alipobadili sheria. Kwani mwanzo palikuwa na Amri Kumi? Zilikuja baadaye kutokana na mahitaji ya wakati vivyo hivyo kwa masuala ya ndoa na mengineyo kama utawala, n.k.
Kwahiyo vizazi vya adamu walikuwa wamefunga ndoa na kila jinsia tofauti iliyokatiza mbele yao? Kama walivyo wanyama?
 
Kwahiyo vizazi vya adamu walikuwa wamefunga ndoa na kila jinsia tofauti iliyokatiza mbele yao? Kama walivyo wanyama?
... labda kama una tafsiri yako ya ndoa; sijui hapo red unamaanisha nini.
 
Sidhani huo utamaduni ulikuwepo,Adam alikuwa mtawala wa Asyria ya mwanzoni,kipindi hicho mambo ya harusi hayakuwepo
 
... labda kama una tafsiri yako ya ndoa; sijui hapo red unamaanisha nini.
Tunazungumzia kauli ya ‘mzaane mkaijaze dunia’ , ambayo ndio imetumika kama ndoa mnavyodai, kwamba mmdai imewahusu wote Adam na hawa na vizazi vyao hadi pale sheria mpya ilivyokuja (lack of consistency by the way), kwahiyo vizazi vyote vya Adam na Hawa walikuwa wamefungishwa ndoa na kila kljinsia tofauti iliyokatiza mbele yao kwa hiyo kauli ya Mungu? Kama wanyama?
 
Hebu tuelezee kidogo kuhusu Dini yako ya Darnwism? Tupate kujua unachokiamini.
 
Hata Kipindi cha Jacob kulikuwa hakuna biashara za kufunga ndoa. Mahari ikishakubaliwa na mzee basi unachukua goma unasepa.
Mambo ya ndoa plus harusi yaliletwa na Wazungu tu. Ndoa inaishia pale mzee anapopokea mahari tu full stop.
Sema swali ni je Adam alimpa nani mahari[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my LDN-L21 using JamiiForums mobile app
 
eti ililetwa na wazungu nonsense unataka kutuambia kuwa kabla ya wazungu kuja Africa kulikuwa hamna ndoa?
 
Back
Top Bottom