Msingi wa mimi kuuliza hilo la mahari ilikuwa ni kumjibu mchangiajia aliedai kwamba ndoa ya wakati huo ilikuwa ni mahari,
Alaa sawa.inategemea kakujibu kwa marejeo gani.ila kusema ndoa wakati huo wa adam ilikuwa mahari mimi siungani na jawabu lake kwa sababu linanipa mashaka.
Dhambi si Dhambi muda wote, its time relative
Yes dhambi sio dhambi muda wote hasa kwa mujibu wa uislamu ukiliangalia hilo utaona kuna mambo yalikuwa halali kufanya wakati huo lakini baadae yakageuka dhambi.
Na kuna mambo yalikuwa dhambi baadae yakageuka yakawa halali.kugeuka kwa haya mambo kwa mujibu wa imani anayegeuza uhalali na uharamu ni Mungu mwenyewe na sio kwa anavyotaka mtu.
ipo siku mtu kufanya mapemzi na mama yako mzazi itakuwa si dhambi, inategemea na huyo mwenyewe huko juu ameamkaje siku hiyo
Mungu akiruhusu jambo binadamu hana sababu.
Ndo mana mimi huwa nasema Mungu angeruhusu wanaume kwa wanaume kuowana basi mimi ningeowana na mtu,kwa nini iwe hivi ?
Kwa sababu ibaya wa mwanzo wa kitu ni kuharamishwa kwake,na sio kwa mitazamo ya watu.
Mfano katika uislamu ni haramu mtu kumuoa dada yake lakini watoto ambao watazaliwa yaani mimi nikazaa mtoto na dada yangu akazaa mtoto basi watoto wetu hawa wanaruhusiea kuowana.
Kiuhalisia hawa watoto ni ndugu kabisa lakini uislamu umeruhusu.
Wakati huo kuna tamaduni haziruhusu zinaona haifai.wakati huo sisi waislamu tunaona inafaa.
Sasa ukiangalia utaona kuwa sababu ya kufaa na kutofaa ni kwa sababu ya kukatazwa ama kuruhusiwa na imani zetu pengine mbali na makatazo ya imani hakuna ubaya wa asili kinyume na ule unaoletwa na watu.
Kea hiyo kama kweli mtu ni muislamu au mkristo basi akatae jambo kwa sababu ya kuwa imani yake haimruhusu na wala asiangalie madhara kwanza.
Akiangalia madhara ya kitu kisha ndo aone halifai huyo atakuwa mfuasi wa nafsi yake na sio dini,kwa sababu hakutosheka na ile dini kusema jambo hili halifai mpaka atafute madhara.
Huu ndo msimamo wangu