Je, harusi ya Adam na Hawa ilifanyikia wapi, nani aliwafungisha ndoa?

Hata Kipindi cha Jacob kulikuwa hakuna biashara za kufunga ndoa. Mahari ikishakubaliwa na mzee basi unachukua goma unasepa.
Mambo ya ndoa plus harusi yaliletwa na Wazungu tu. Ndoa inaishia pale mzee anapopokea mahari tu full stop.
Sema swali ni je Adam alimpa nani mahari[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my LDN-L21 using JamiiForums mobile app
Kama ndoa ilikuwa mahari, nani alipokea mahari ya Adam?
 
Adam na Hawa Walikuwa warabu,wazungu,wahindi,wachina,waafrika ? Kama walikuwa wazungu wachina walitoka wapi? Waafrika walitoka wapi?
Aliyemleta adam na hawa kwa kadri ya rangi yao ilovyokuwa basi ndiye aliyemleta mchina kwa kadri ya rangi yake ilovyokuwa.

Aliyemleta adam na hawa ndiye aliyemleta mzungu huyo huyo.

Hiyo ni kuonesha kuwa Mungu anauwezo wa kuumna watu tofauti tofauti kabisa,kama ambavyo Mungu kaumba kuku,bata,njiwa, hawa wote ni ndege lakini jamii tofauti kabisa.

Lakini kwa mtazamo wangu binafsi naona kama adam alikuwa mtu mweusi hivi japo kuwa hakuna faida yeyote ya kujua rangi ya adam.

Mkuu kwa mujibu wa swali hili unapenda upewe majibu yanayotoka kwenye chanzo gani ?
 
Adam na Hawa Walikuwa warabu,wazungu,wahindi,wachina,waafrika ? Kama walikuwa wazungu wachina walitoka wapi? Waafrika walitoka wapi?
Aliyemleta adam na hawa kwa kadri ya rangi yao ilovyokuwa basi ndiye aliyemleta mchina kwa kadri ya rangi yake ilovyokuwa.

Aliyemleta adam na hawa ndiye aliyemleta mzungu huyo huyo.

Hiyo ni kuonesha kuwa Mungu anauwezo wa kuumna watu tofauti tofauti kabisa,kama ambavyo Mungu kaumba kuku,bata,njiwa, hawa wote ni ndege lakini jamii tofauti kabisa.

Lakini kwa mtazamo wangu binafsi naona kama adam alikuwa mtu mweusi hivi japo kuwa hakuna faida yeyote ya kujua rangi ya adam.
Je, walifungia ndoa kanisani au msikitini?
Mkuu unaamini kuwa adam na hawa walikuwa ni binadamu wa kwanza ?
 
Walifungia ndoa kanisani au msikitini?
 
Walifungia ndoa kanisani au msikitini?
Mungu ndiye aliyewafungisha na Mungu alipo ndipo madhabahu yake ilipo aliwafungisha kwenye madhabahu yake na akawapa ruksa baada ya kuwafungisha kuwa Sasa wanaruhusiwa kulalana na kuzaliana waijaze dunia.Aliwaoza kwanza ndipo akawapa ruksa ya kuzaa

Ndoa ilifungwa na Mungu mwenyewe kwenye madhabahu yake takatifu
 
Na watoto wa huo uzinzi walifunga ndoa wapi na lini, na walifunga ndoa na nani wakati hapakuwa na watu duniani? Incest? Na aliwapa ruhusa ya kufanya incest?
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Adam na Hawa Walikuwa warabu,wazungu,wahindi,wachina,waafrika ? Kama walikuwa wazungu wachina walitoka wapi? Waafrika walitoka wapi?
Kwani simu ya kwanza ilikuwa Samsung, iphone,itel,tecno,oppo, au siemens...kama ilikuwa philips hizi nokia zimetoka wapi..
 
Mungu ndiye aliyewafungisha na Mungu alipo ndipo madhabahu yake ilipo aliwafungisha kwenye madhabahu yake na akawapa ruksa baada ya kuwafungisha kuwa Sasa wanaruhusiwa kulalana na kuzaliana waijaze dunia.Aliwaoza kwanza ndipo akawapa ruksa ya kuzaa

Ndoa ilifungwa na Mungu mwenyewe kwenye madhabahu yake takatifu
Hiyo ndoa umeisoma kwenye kitabu kipi, au wewe ni time traveller?
 
Biblia ndio inatamka hivyo kuwa Mungu ndie aluwafungisha ndoa na akawapa ruksa ya kunamihiana palepale na kulibariki tenda lao la ndoa kwa kuwatamkia wazee wakaonfezeke wakaijaze dunia
 
Kwani simu ya kwanza ilikuwa Samsung, iphone,itel,tecno,oppo, au siemens...kama ilikuwa philips hizi nokia zimetoka wapi..
Zimeundwa na watu.Hujajibu wametoka wapi? Hujajibu adamu alikuwa kundi gani kati ya hao?
We we unajifananisha na simu.Mbona sasa haubadiriki kuwa mtu mwingine kama simu zako hizo za Nokia ambazo zinabarika kola kukicha .
 
Biblia ndio inatamka hivyo kuwa Mungu ndie aluwafungisha ndoa na akawapa ruksa ya kunamihiana palepale na kulibariki tenda lao la ndoa kwa kuwatamkia wazee wakaonfezeke wakaijaze dunia
Kauli ya ‘wazae wakaongezeke wakaijaze dunia’ iliwalenga Adam na Eva tu au iliwahusu binadamu wote hadi leo hii?
 
Nimesoma hiyo theory yako ya Darnwism. Ni upuuzi mtupu. Ila hukatazwi kuamini kuwa Wewe babu zako hawakujaamiana ili kuzaliana Bali walianza Kama sokwe. Ila hakika upo katika hasara kuubwa.

Ndo maana Mungu anatuuliza hivi hamfikiri Nani kaumba mbingu na Ardhi Nani anateremsha mvua.nani anawajalia utajiri wa Mali na wototo?. Hakika wanadamu Ni wenye kukufuru.

How are you deluded away from the truth.

Unamkana Mungu wako na kuamini Wazungu na theories zao za evolution?.

Wewe Ni wakuonewa huruma.kesho yako Ni yamateso na MAJUTO Sana
 
Zimeundwa na watu.Hujajibu wametoka wapi? Hujajibu adamu alikuwa kundi gani kati ya hao?
We we unajifananisha na simu.Mbona sasa haubadiriki kuwa mtu mwingine kama simu zako hizo za Nokia ambazo zinabarika kola kukicha .
Wameundwa na Mungu...ktk uumbaji wa adamu Mungu alichukua sample ya udongo wa aina tofautitofauti...na lengo la hvyo ili tupate kutambuana na kufahamiana makabila na mataifa mbalimbali...

Tunabadilika mkuu...kwani mkuu binadamu wa karne hii ni sawa na karne za mitume wa zamani..
 
Tena binadamu wazamani walikua wanaishi Miaka mingi Sana. Na walikua na nguvu Sana..nuhu alilingania Miaka 900 naaa... Sasa hayo yote Ni Mapenzi ya Mungu anampa amtakae na anamyima amtakae.. I
 
Walifungia ndoa kanisani au msikitini?
Hawakufunga kanisani wala msikitini.

Ndoa inaweza kufungwa popote hata porini tu na ikawa ndoa.

Ndo mnaweza kufunga ukumbini ni kitendo cha kusema tu kuwa mimi fulani nakuozesha binti yangu fulani kwa mahari mliyokubaliana.

Alafu anaulizwa binti akikubali na wewe ukikubali ndoa imepita.

Inaweza kuwa hata ukumbini sma porini huko ndoa imepita.

Adam na hawa Mungu alimuambia kuwa ebwane adam huyu hawa ndio mkeo,na ikapita,haijalishi walikuwa wapi ama wapi lakini mmiliki wa hawa wawili ambaye ni mungu ndo akawaambia kuwa wewe huyu ni mkeo.

Hayo mambo ya kufungamanisha ndoa na sehemu ni baada ya kuanza kujengwa majumba na sehemu mbali mbali.

وقلنا يا آدم اسكن أنت وزوجك الجنة وكلا منها رغدا حيث شئتما ولا تقربا هذه الشجرة فتكونا من الظالمين

[ AL - BAQARA - 35 ]
Na tulisema: Ewe Adam! Kaa wewe na mkeo katika Bustani, na kuleni humo maridhawa popote mpendapo, lakini msiukaribie mti huu tu; mkawa katika wale walio dhulumu.

Kwa hiyo Mungu mwenyewe akamuambia kuwa nenda na mkeo mkakae peponi.
 
Nani alipokea mahari ya adam?
Kwa hiyo unaamini kwamba hawa alikuwa na baba yake na mama uake na nyumba yao ambayo Adam angepeleka mahari hapo nyumbani kwa hawa baada ya kumaliza taratibu za kuposa na kutuma washenga ?
 
eti ililetwa na wazungu nonsense unataka kutuambia kuwa kabla ya wazungu kuja Africa kulikuwa hamna ndoa?
Elewa ilikuwa unatoa mahari unachukua goma. Sio kwenda Church au msikitini kufunga ndoa. Kama ni ng'ombe unatoa uliambiwa unachukua mzigo unasepa.
 
Back
Top Bottom