Usifanye hapa tunataka uhakika wa mambo. Unaleta habari za pauka pakawa na makubaliano ya watu fulani ndiyo unayafanya kuwa "Facts/Evidence" ? Akili salama haitaki kuchukua tu mambo bila kuhakiki.Kwahiyo hoja imehamia kwenye ufanisi wa kipimo cha Carbon dating? Tufanye hivi, kipimo cha Carbon dating ni uongo, tuishie hapo.
Mpaka mnakufa hakuna anae weza kuthibitisha ukweli wa hicho kipimo.