Je, harusi ya Adam na Hawa ilifanyikia wapi, nani aliwafungisha ndoa?

Je, harusi ya Adam na Hawa ilifanyikia wapi, nani aliwafungisha ndoa?

Adam na Hawa Walikuwa warabu,wazungu,wahindi,wachina,waafrika ? Kama walikuwa wazungu wachina walitoka wapi? Waafrika walitoka wapi?


Enyi watu! Mcheni Mola wenu ambaye amekuumbeni katika nafsi (asili) moja. Na akamuumba mkewe katika nafsi ile ile. Na akaeneza wanaume wengi na wanawake kutoka katika wawili hao..." (4:1)

Hapa Mwenyezi Mungu anatufahamisha kuwa baada ya Adam (as) kuumbwa kisha akaumbwa mkewe ambaye ni Hawwa (a.s.) ndipo tukaenea wanaume kwa wanawake wengi duniani kutoka katika wawili hao.

Pia katika Qur'an 49:13 Allah (s.w.) anatufahamisha:

"Enyi watu! Kwa hakika tumekuumbeni (nyote) kwa (yule) mwanaume (mmoja, Adamu) na yule yule) mwanamke (mmoja Hawaa). Na tumekufanyeni mataifa na makabila (mbalimbali) ili mjuane (tu basi, siyo mkejeliane). Hakika aheshimiwaye sana miongoni mwenu mbele ya Mwenyezi Mungu ni yule ambaye mcha Mungu zaidi katika nyinyi. Kwa yakini Mwenyezi Mungu ni Mjuzi, Mwenye habari (za mambo yote)". (49:13).
 
 
 
Na watoto wa huo uzinzi walifunga ndoa wapi na lini, na walifunga ndoa na nani wakati hapakuwa na watu duniani? Incest? Na aliwapa ruhusa ya kufanya incest?
Aliyekwambia watu hawakuepo nani ,, Soma mwanzo hasa siku ya tano ya uumbaji wa Mungu , waliumbwa watu ambao ndio waliopewa amri ya kwenda kuijaza dunia, Adam hakupewa amri ya kuijaza dunia
 
 
Aliyekwambia watu hawakuepo nani ,, Soma mwanzo hasa siku ya tano ya uumbaji wa Mungu , waliumbwa watu ambao ndio waliopewa amri ya kwenda kuijaza dunia, Adam hakupewa amri ya kuijaza dunia
Kwahiyo Adam na Hawa hawakufanya uzinzi?
 
Pia ni vyema tukajua watoto wao walio/ kuolewa na nani?

[emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777]

WATOTO WA KIUME WA ADAM WALIOWA WANAWAKE KUTOKA PEPONI (HURI) NA WALA HAWAJAOANA NA DADA ZAO.
 
Je, walifungia ndoa kanisani au msikitini?

Then he said, “The Almighty created Adam and commanded the Angels to pay obedience to him. Then He induced sleep on Adam. When Adam was asleep, the Almighty created a new being and placed her between the feet of Adam so that women remain obedient to men. Hawwa’ moved and woke Adam.

Hawwa’ was ordered to separate from Adam. Adam’s sight fell on Hawwa’ and he beheld a beautiful face. He saw that she resembled him, but was a female.
He began to converse with her and asked who she was. Hawwa’ spoke in his tongue and said that she was a creature of Allah as he could see.” Adam addressed the Almighty and asked, “Who is this beautiful creation that attracts me? Seeing whom I lost my fear?”
“She is my slave-girl, Hawwa’,” said the Lord. “Do you want her to live with you, remain attached to you, converse with you and do what you bide her?”
“Yes, my Lord!” replied Adam, “As long as I live, I shall continue to thank you.”
“Then you pray for her and request me so.”
At that moment Allah created in Adam the desire of seeking the nearness of woman and He had already taught Adam the tenets of faith. Adam said, “My Lord! You have permitted me to take her, but what can I give in return so that You are pleased?”
“Impart to her religious knowledge and I shall be satisfied with you.”
“I shall do as You desire,” agreed Adam, “I accept!” said Allah, “I hereby marry her to you. Take her.”
Adam called Hawwa’ towards him but the Almighty told Adam to get up himself and go towards Hawwa’. So Adam arose and moved towards Hawwa’. If this had not been so women would have required to come as suitors to men. This was the account of Hawwa’.
 
Back
Top Bottom