Je, hawa wanaomtaja taja Kafulila wanatumwa na nani?

Hakuna wa kumgusa Kafulila na hii ni mipango ya suti nyeusi
 
Hapana mkuu Mimi si Kafulila,
Fuatilia vizuri,

Mimi nipo kabla ya Kafulila
Kafulila ridhika na kidogo ulichopewa cha kuwa Commissioner wa PPP. Ukifanya vizuri waweza kupaishwa hadi kuwa KM.

Mtaka yote kwa pupa hukosa yote
 
Kafulila ridhika na kidogo ulichopewa cha kuwa Commissioner wa PPP. Ukifanya vizuri waweza kupaishwa hadi kuwa KM.

Mtaka yote kwa pupa hukosa yote
Nani Kafulila wewe takataka,

Nimeshakwambia Mimi sio Kafulila,

Halafu Kafulila anakosa gani kama watu wanamtaja taja wao wenyewe kwa masilahi yao?

Acha mauza uza,
 
Nani Kafulila wewe takataka,

Nimeshakwambia Mimi sio Kafulila,

Halafu Kafulila anakosa gani kama watu wanamtaja taja wao wenyewe kwa masilahi yao?

Acha mauza uza,
Basi kama siyo Kafulila wewe ni demu wa Kafulila.

Mwanaume wa kweli hawezi kumuandikia mwanaume mwenzie post kama hii.

Mbona unajiliza sana.

Waliosoma Cuba watanielewa
 
Basi kama siyo Kafulila wewe ni demu wa Kafulila.

Mwanaume wa kweli hawezi kumuandikia mwanaume mwenzie post kama hii.

Mbona unajiliza sana.

Waliosoma Cuba watanielewa
So stupid,

Acha kundandia wanaume kwa mbele,

Sasa Mimi wapi nimeandika tofauti hapo,

Kama unamchukia Kafulila hilo ni tatizo lako,

Stupidfull,
 
Hii michezo yenu ya kitoto labda mdanganye wasio na akili.

Mleta mada ni chawa mwandamizi unaleta mada unaweka bandiko kama swali kwamba kwanini Kafulila anatajwa sana kumbe unamuongelea kimkakati halafu unapewa support na ID za machawa anaowalipa kumsifia hapa .

Hebu mfanye re-organization hii mbinu yenu imeshafeli labda kwa wajinga.
 
Acheni Kafulila afanye kazi, Watanzania wa Leo sio wakupangwa
 
So stupid,

Acha kundandia wanaume kwa mbele,

Sasa Mimi wapi nimeandika tofauti hapo,

Kama unamchukia Kafulila hilo ni tatizo lako,

Stupidfull,
Ukiona mtu anatoa povu kiwango cha lami, tambua umepata kisawasawa. Ingekuwa uwongo usinge furusha hayo matusi.

Ukweli unabakia palepale au wewe ni Kafulila au demu wa Kafulila. Eti unadai watu wanamtaja taja?? Wapi huko wanamtaja?? Kama siyo kujifanyia self spinning
 
Mungu yupo kazini Tanzania inatafuta Rais Mzalendo
 
Kafulila ni mzalendo wa kweli na kijana mchapakazi Taifa na Dunia wanajua Kafulila anachukia Rushwa hata Ufisadi,
Kafulila anatajwa sana hasa na wale masikini wa nchi
 
Chadema oyee imewapika vijana na kuwaazima maccm
Juzi kati imewapa msigwa na pendo penrza

Ccm wafanye haraka wawape vyeo vinginevyo watajuta

Kafulila amelelewa na kukuzwa cdm na kuazimwa ccm

Nasikia mpago wa cdm ni ku- overhaul uongozi wote wa ccm kwa kupachika makada wao.

hongera cdm kwa akili hizi kubwa mpaka ccm original washtuke tayari kutakuwa na cdm A na cdm B
Lengo limetimia

Kada wa cdm awa raisi wa nchi kupitia ccm
 
Huenda ni Clones zake au yeye mwenyewe ndio anawatuma ila atakuwa amekosea sababu anayechagua Rais sio huku kitaa bali ni wale wanaonominate kwenye vyama vyama husika (Hususan kutokuwepo kwa Mgombea Huru)
 

🤣🤣🤣 CHADEMA mnapenda sana kujifariji,

Mbona hata Magu alitoka NCCR
Bashiru alitoka CUF
Polepole akatoka CHADEMA
Lakini vipi mziki wake.
 
Nyie CHADEMA akili zenu hizi za kuvukia barabara zitawasumbua sana.

Kafulila hahitaji promo kwa kazi kubwa alizolifanyia Taifa hili,

Nimetoa tahadhari tu kwa chawa wake.
 
expand...
No, Mimi nakushangaa wewe unalazimisha hoja zako hapa

Kafulila kweli ni material sana kwa Taifa najua hili hata wewe utakubaliana na Mimi,

Hoja yangu, Ni Je wenzake wata-react vipi baada ya yeye kuonekana akitajwa tajwa tena na watu asiowafahamu mitandaoni.

Take note, Mimi sio Kafulila

Na kuwa na adabu kwenye mijadala yako
 
Hayo maswali yote mlipaswa kuulizana mkikutana mnapopanga kulishana sumu.
 
Nyie CHADEMA akili zenu hizi za kuvukia barabara zitawasumbua sana.

Kafulila hahitaji promo kwa kazi kubwa alizolifanyia Taifa hili,

Nimetoa tahadhari tu kwa chawa wake.
Peleka ujinga mbali huko.

Sio kila mtu humu ni mjinga hadi mfanye michezo yenu ya kitoto na tusijue.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…