Je, haya yalikuwa ya kweli kuhusu Rais Gaddafi na Libya?

Kwani kuna hoja hapa? Mleta mada kakimbia(utadhani) lakini yumo(naamini yumo).

Na ukisoma vizuri utaona , uzi umeanzia posti ya tatu.

Bwana Utamu, rudi soma tena Comment na hoja zilizoibuliwa ona kama kuna hata moja inayohusishwa libya inamjibu mleta mada kama alivyotaka.
 
Isijekuwa wewe ndio mjinga

Hao wanaochukua bunduki na kuenda sehemu za mikusanyiko ya watu na kuua watu hao wanaitwa Magaidi au Majambazi

Lakini ujinga wa Waafrika au Waarabu wa kuuwana wenyewe Kwa wenyewe kunaleta political problem na economical problem katika hiyo nchi usika Kwa muda mrefu rejea

IRAQ,
LIBYA
SOMALIA
CONGO DRC
RWANDA
SUDANI KUSINI
 
Karne ya 21 ...bado watu wanajadili maji uunganishwaji


Kuchangisha pesa kwa ajili ya timu ya taifa


Ndio tufike uko cjui
Dahh! Ukweli unaouma (ngumu na chungu kumeza)

Ila unakuta chuma kinalamba mabilioni au matrilioni peke yake πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”
 
Umejawa na chuki... au mpaka ziletwe videos?!
 
Mwanae alikuwa anamiliki kila aina ya magari ya kifali kutoka ulaya na amerika.
 
maamuz ya walibyia ni jibu tosha kuwa hizo huduma walibyia hawakuzipata bali ni siasa za wafuasi wa libyia ili kupata msaada kutoka mataifa ya kiarab na kubadili taswira ionekane ni vita kati ya west na arabs na sio civil wars , ujio wa ugaidi hapo libyia ukawaktisha tamaa waarab kushiriki maana wangekaribisha vita kwenye nchi zao
 
Nakuelewa sana mzee mwenzangu kutoka matombo msalabani.

Ni mwehu tu ndo hatokuelewa.
 
Mkuu hauna pdf za hivyo vitabu?
 
mkuu tuzungumzie karne hii ya 21
 
Kuna wana jf mna akili sana.
 
Hapa kwenye chuo kikuyu sio kweli.... yaani wasomi watoke libya waje kikuyu Highland kusoma chuo?
 
Sahihi,
 
Elimu na kuelimika ni jambo zuri sana.........angalia ulivyopuyanga mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…