Je, haya yalikuwa ya kweli kuhusu Rais Gaddafi na Libya?

Je, haya yalikuwa ya kweli kuhusu Rais Gaddafi na Libya?

Kwani kuna hoja hapa? Mleta mada kakimbia(utadhani) lakini yumo(naamini yumo).

Na ukisoma vizuri utaona , uzi umeanzia posti ya tatu.

Bwana Utamu, rudi soma tena Comment na hoja zilizoibuliwa ona kama kuna hata moja inayohusishwa libya inamjibu mleta mada kama alivyotaka.
 
Vijana wa hovyo sana hawa kila wanaloambiwa na wazungu wanaona wameambiwa sahihi

Ndio maana wazungu wanataka tulane matako wenyewe wanajua kila wanalosema kwetu tunashindwa kuhoji tunabakia kufuata kama mambuzi

Achana huko kote mwambie tu kwasasa wamarekani walivyokua hawana akili lijinga moja linaweza kikaamka likajibebea zake bunduki likaingia shule kuna vitoto vidogo miaka [emoji725] ama 10 [emoji647] kuja chini lipuuzi likaenda likawaua tu bila ya sababu halaf mwenyewe akajiua sasa hawa nawao tuwaiteje

Yaani sio bora ila angalau huko afrika kama usemavyo unaweza ukajua watu wanapigania nini

Tumpeleke pale Colombia wanaouana sijui wale waarabu wa wapi au waafrika wawapi haya twende pale Mexico sijui napo wale waarabu wawapi

Kuna mijitu mijinga kweli kila linalosemwa na mzungu kwao lipo sawa bila kuhoji
Isijekuwa wewe ndio mjinga

Hao wanaochukua bunduki na kuenda sehemu za mikusanyiko ya watu na kuua watu hao wanaitwa Magaidi au Majambazi

Lakini ujinga wa Waafrika au Waarabu wa kuuwana wenyewe Kwa wenyewe kunaleta political problem na economical problem katika hiyo nchi usika Kwa muda mrefu rejea

IRAQ,
LIBYA
SOMALIA
CONGO DRC
RWANDA
SUDANI KUSINI
 
Na ww acha uongo magufuri hajaanzisha umeme wa 27,000 hiyo 27000 ni mradi wa umeme wa REA ulio buniwa na kikwete kwa ufadhiri wa serikali ya Denmark na mpaka magufuri anaingia madarakani zaidi ya vijiji 5000 vilikuwa vimeunganishwa na umeme kwa bei hiyo na vifaa vyote vya mradi huo vilikuwa vimesha lipwa acha kumpa sifa zisizo zake.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Umejawa na chuki... au mpaka ziletwe videos?!
 
Style ya maisha ya watoto wa viongozi huwa inachochea chuki kwa watawaliwa hata kama unawapa watawaliwa kila kitu. Sitaki kuongelea kama ni kweli serikali ya Gadafi ilitoa huduma zote hizo bure. Ila itoshe kusema tu air Libya ilikuwa inachana mawingu mda wowote/ siku yoyote ikiwa na watoto/mtoto wa Gadafi kwenda Ulaya( Italy na France) na mamilion ya dollars kwenda kucheza kamari na kufanya kila aina ya starehe. N.B ndege ya umma na rubani analipwa na serikali ya Libya
Mwanae alikuwa anamiliki kila aina ya magari ya kifali kutoka ulaya na amerika.
 
Hujajibu hoja kwanza kabla ya kuleta hizi dana dana zako
Pia leta ushahidi wa hayo ulokua unayaongea
Tatu kama mnapata kila mnachotaka mnashida gani tena
Walivyokua wanaishi awali na sasa kipi kama ungekua wewe ndio ingekua sawa
Watu kwao mpaka paka amekua kama kuku yaani ukimuona paka yule unamuanzishia umkamate umle
Walichofanya ufaransa na shoga zake kule libya sio chakuungwa mkono ila sababu wanayopitia haya madhila ni waislam basi ndio maana mnaunga mkono sana
maamuz ya walibyia ni jibu tosha kuwa hizo huduma walibyia hawakuzipata bali ni siasa za wafuasi wa libyia ili kupata msaada kutoka mataifa ya kiarab na kubadili taswira ionekane ni vita kati ya west na arabs na sio civil wars , ujio wa ugaidi hapo libyia ukawaktisha tamaa waarab kushiriki maana wangekaribisha vita kwenye nchi zao
 
Tukiacha UFISADI na tukaweka UZARENDO
inawezekana kabisa

MAGUFURI alianzia kwenye UMEME akaweka elf27 kuunganisha umeme na iliwezakana na SHIRIKA lilikuwa limeanza kufanya kazi Kwa uweredi na alikuwa anasubiri bwawa lipone GHARAMA za umeme zingeshuka BEI zaidi

Walivyokuja MAFISADI wakapandisha mpk laki 3 na ushee then wakauleta MGAO wa KIHISTORIA

kam mwigulu umesikia huko kalamba 1.3 trn
Unadhani SERIKALI ingekuwa ya kizarendo ingeshindwa kuwajengea Nyumba wazee tu VIJIJINI wasiojiweza kajumba tu cha milioni 10 simple katika hayo matilioni walioiba huko SGR wangewajengekea wazee wangapi

Ndo maana nitakuambia vyote vinawezeka ikiwa UZARENDO
Nakuelewa sana mzee mwenzangu kutoka matombo msalabani.

Ni mwehu tu ndo hatokuelewa.
 
Tafuta kitabu kinaitwa "Gaddafi's Harem: The Story of a Young Woman and the Abuses of Power in Libya" by Annick Cojean.

Ameelezea vizuri Gaddafi alivyoharibu Libya na kuua watu, mpaka ma Jenerali wake mwenyewe, kitu kilichokuja kum cost sana.

Mkuu hauna pdf za hivyo vitabu?
 
Kama unaamini huo ni upuuzi ...vita vya wenyewe kwa wenyewe hata America vimepigana miaka na miaka rudi kusoma historia.

Mara nyingi sababu kubwa ya kuuana Africa na waarabu ni political intervention hao wazungu ndio wameleta hizo taratibu zao za demokrasia ,sijui vyama vying ili kugawa watu .

America wamepigana sana kwa ushamba wao kasome American civil wara.

Vita kubwa kma Somalia , Congo ni ujinga wa mzungu kulazimisha utawala wake wa kijanga wa demokrasia kwa kupandikiza watawala wanaowataka..Huko mashariki ya kati ndio wameharibu kabisa .
mkuu tuzungumzie karne hii ya 21
 
Katika uhalisia kutofautiana mitazamo ndo ukomavu wa kifikra!

Serikali nyingi hasa za kiarabu na kiafrica huwa wana tabia ya kutengeneza adui bandia na kila wanapofanya udhaifu bas haraka sana huaminisha tabaka tawaliwa kwamba sababu ni flan mfano rahis wakati wa Magufuli Kuna namna anko magu alizingua kwenye mikataba tuliyoingia na mataifa mbali mbali akaivunja bila kufata utaratibu baadae ndege zilivokua zinakamatwa ili tulipe fidia tukaambiwa shida ni "ubeberu" "MABEBERU" "hujuma za MABEBERU"

Pia mataifa ya kiarabu unakuta Wana tawala za mda mrefu zinazofuata sheria za zamani zinazowabana raia, sheria kandamizi kwa wanawake na yenye Kila aina ya madhila lkn wananchi wanapotaka reformation watawala husingizia "marekani na washirika wake"
Kuna wana jf mna akili sana.
 
Uchumi wa Libya ni GDP 40 billion usd. Population ya Libya ni 7 million.

Kipindi cha utawala wa Gaddafi tuliambiwa wananchi wa Libya walibudumia Mambo mention bure na serikali ya Gaddafi.

Miongoni mwa huduma za bure ni
d) Shule bure hadi chuo Kikuyu
Hapa kwenye chuo kikuyu sio kweli.... yaani wasomi watoke libya waje kikuyu Highland kusoma chuo?
 
Katika uhalisia kutofautiana mitazamo ndo ukomavu wa kifikra!

Serikali nyingi hasa za kiarabu na kiafrica huwa wana tabia ya kutengeneza adui bandia na kila wanapofanya udhaifu bas haraka sana huaminisha tabaka tawaliwa kwamba sababu ni flan mfano rahis wakati wa Magufuli Kuna namna anko magu alizingua kwenye mikataba tuliyoingia na mataifa mbali mbali akaivunja bila kufata utaratibu baadae ndege zilivokua zinakamatwa ili tulipe fidia tukaambiwa shida ni "ubeberu" "MABEBERU" "hujuma za MABEBERU"

Pia mataifa ya kiarabu unakuta Wana tawala za mda mrefu zinazofuata sheria za zamani zinazowabana raia, sheria kandamizi kwa wanawake na yenye Kila aina ya madhila lkn wananchi wanapotaka reformation watawala husingizia "marekani na washirika wake"
Sahihi,
 
Style ya maisha ya watoto wa viongozi huwa inachochea chuki kwa watawaliwa hata kama unawapa watawaliwa kila kitu. Sitaki kuongelea kama ni kweli serikali ya Gadafi ilitoa huduma zote hizo bure. Ila itoshe kusema tu air Libya ilikuwa inachana mawingu mda wowote/ siku yoyote ikiwa na watoto/mtoto wa Gadafi kwenda Ulaya( Italy na France) na mamilion ya dollars kwenda kucheza kamari na kufanya kila aina ya starehe. N.B ndege ya umma na rubani analipwa na serikali ya Libya
Elimu na kuelimika ni jambo zuri sana.........angalia ulivyopuyanga mbaya
 
Back
Top Bottom