Je, Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere angependa tuwe na Tamasha na Land Rover Arusha au tupambane zaidi na Maadui wakuu wa nchi aliowataja?

Huyo jamaa anajiitaga akili kubwa anajionaga genius ila ukipitia threads na posts zake ni mweupe tu kichwani. Na anaamini yeye ndo yupo sahihi tu. Siku zote wanaojionaga wajanja sana ukiwafatilia ndo washamba wenyewe.
Siyo najiona ni Genius bali in actual sense I am Genius Kudadadeki zako. Jinyonge sasa kwa Kunichukia Kwako huku Ok?
 
Ma genius huwa hawasemi pengine hata muda wa kupost humu hawana, nina wasiwasi hujawahi kutana na mmoja wapo ila wapo hata hapa bongo. Akiwa darasani anaweza ku solve swali kwa njia ambayo haipo kitabu chochote, kwenye maisha ya mtaani anaweza kuibuka na solution ya tatizo fulani kwenye jamii bila hata ku google popote, na humsikii akijitamba. Wewe ni type ya erythrocyte anayejiitaga tajiri na kuwaita watu kapuku lakini anashinda JF 24/7 kumtetea Mbowe. Ukifatilia anamiliki Harrier au Crown na nyumba ya vyumba viwili anajiita tajiri. Nimekupa mfano wa mtu kama wewe humu Jamii forums.
 
Sorry for being that Dunce.
 
Halafu wenye Akili Kubwa tukisema kuwa Tanzania ya sasa huenda ikawa na Viongozi Wehu zaidi mnaanza Kuchukia.
Hiyo ni Promotion ya kuiuza Arusha kama Ilivyofanyika ile Filamu ya Royal Tour, Maeneo yote ya Tanganyika yaliyotangazwa kwenye Royal Tour yote yameuzwa. Yaani hii nchi watu wanajimegea mnoo 🤣🤣🤣
 
Yaani ni fully ubunifu jinsi ya kuiibia nchi!
 
Back
Top Bottom