eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,214
- 15,853
Ma genius huwa hawasemi pengine hata muda wa kupost humu hawana, nina wasiwasi hujawahi kutana na mmoja wapo ila wapo hata hapa bongo. Akiwa darasani anaweza ku solve swali kwa njia ambayo haipo kitabu chochote, kwenye maisha ya mtaani anaweza kuibuka na solution ya tatizo fulani kwenye jamii bila hata ku google popote, na humsikii akijitamba. Wewe ni type ya erythrocyte anayejiitaga tajiri na kuwaita watu kapuku lakini anashinda JF 24/7 kumtetea Mbowe. Ukifatilia anamiliki Harrier au Crown na nyumba ya vyumba viwili anajiita tajiri. Nimekupa mfano wa mtu kama wewe humu Jamii forums.
Bro usiumize sana kichwa. Kwani kavunja sheria gani ya nchi kujiita genius? Mbona kuna watu wengi kama akina Prof. Maji marefu, kina Dr kifimbo mbona wanajiita majina hayo na hakuna anayejali. Achana naye kujiita jini-asi haimaanishi kweli ndivyo ilivyo. Anajilishq upepo tu. Ni sawa na tulivyokuwa watoto zamani tulikuwa tunawahi magari barabarani kwa kusema hili langu mwingine anasema hili langu. Lkn je yale magari yalikuwq yao punde tu baada ya kutaja hivyoo? Jibu ni la.