Je, Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere angependa tuwe na Tamasha na Land Rover Arusha au tupambane zaidi na Maadui wakuu wa nchi aliowataja?


Bro usiumize sana kichwa. Kwani kavunja sheria gani ya nchi kujiita genius? Mbona kuna watu wengi kama akina Prof. Maji marefu, kina Dr kifimbo mbona wanajiita majina hayo na hakuna anayejali. Achana naye kujiita jini-asi haimaanishi kweli ndivyo ilivyo. Anajilishq upepo tu. Ni sawa na tulivyokuwa watoto zamani tulikuwa tunawahi magari barabarani kwa kusema hili langu mwingine anasema hili langu. Lkn je yale magari yalikuwq yao punde tu baada ya kutaja hivyoo? Jibu ni la.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…