He was right in many aspects. Mimi sasa hivi ndio nazidi kumuelewa kuliko hata alipokuwa hai ...Mimi binafsi hainingii akilini aliyekuwa msaidizi wako mkuu kama makamu wa rais afanye mabaliko makubwa kama haya kwa muda mfupi.
Kwamba malalamiko ya ukusanyaji kodi hayati JPM hakuyasikia? Malalamiko juu ya wawekezaji kusumbuliwa? Masuala ya ajira na mshahara unaotakiwa?
Je, hawaaminiki tena?
Fikiria kuwa na shule za msingi au sekondari ambazo zitaruhusu watoto wanaonyonyesha kusoma, hapo unapata picha gani? Maternity wards? Maana hii itakuwa sababu ya watoto kupata morali ya kufanya ngono uzembe huku wakijua kuna wataendelea kusoma huku wananyonyesha. Lazima tuwe na taifa lenye maaddili.Issue sio warudishwe au lah.... Kila mtoto ana haki ya kupata elimu. Hauwezi uka risk kuzalisha mambumbumbu elfu 50 kila mwaka hvi unategemea taifa litakuaje baadae?
Chuo mbona wanabeba mimba na kulalana sijasikia wakisimamishwa chuo? Au maadili ni primary tu? Hvi hakuna adhabu mfano fine au kufungiwa ajira ya serikali kuliko kumnyima mtu haki ya msingi ya kupata elimu.
Tanzania kujifanya tunampenda Mungu kuliko hata mabeberu waliotuletea dini. Kituko sasa hamzuii mauzo ya bia, sigara, hamfungii bar, hamzuii kuuza condom, hamfungi lodge kwa wasio na ndoa, hamfungii nyimbo chafu au porn sites alafu mnataka tu kupunish watoto sababu ya general mdororo wa maadili.
Inashangaza sana
Tuache primitive mind kwani umesikia vishawishi vya ngono ni mpaka mwenzio apate mimba? Kwani hao waliopata mimba walijifunza wapi ilihali shule hazijaruhusu waliozaa kurudi?Fikiria kuwa na shule za msingi au sekondari ambazo zitaruhusu watoto wanaonyonyesha kusoma, hapo unapata picha gani? Maternity wards? Maana hii itakuwa sababu ya watoto kupata morali ya kufanya ngono uzembe huku wakijua kuna wataendelea kusoma huku wananyonyesha. Lazima tuwe na taifa lenye maaddili.
Usilinganishe mwanafunzi wa chuo ambae hata Education Act haimlindi sababu anahesabika kuwa mtu mzima.
Kwani hao wanaopata mimba wakiwa Primary school au sekondari kwenda vyuo vya ufundi na kujifunza masomo ya ufundi stadi huoni ni adhabu nzuri na inayofaa?
Mifano ya porn ,bia sigara na gesti sio relevant kabisa na kujenga maadili ya watoto.
Uwe mtu wa kusoma tafiti maana watu wenye taaluma zao wamekuja na findings za hivo. Watoto kuwa exposed na adult content huchochea ngono za udogoni sasa unapobisha ni kwa basis ipi.Mifano ya porn ,bia sigara na gesti sio relevant kabisa na kujenga maadili ya watoto.
the jiwe huko aliko. Enzi zake zimekwisha na hazitakumbukwa kamwe! Mama yetu oyeeeeMwambieni arudishe Tanzanite one nchi ifaidi matunda yake iliyozaa. Itapendeza zaidi.
He was right in many aspects. Mimi sasa hivi ndio nazidi kumuelewa kuliko hata alipokuwa hai ...
Huyu mama anaenda kutuuza soon
[/QUO
Shida wengine walikuwa wamefungiwa gizani na hata baada ya mapambazuko bado wanalipenda giza,amkeni kutoka usingizini na mtoke kwenye mwanga mweze kuona vyema .
Mkuu habari ya wewe. Sijajua sana uzoefu wako katika mambo ya siasa, ufuatiliaji wa habari na pia kudadavua mambo. Na pia hujaona risk ya anayoyasema mama. Tatizo kubwa lilopo ni elimu kwa mlipa kodi. Watu wakiona TRA wanaona jini limekuja kunyonya kitu ambacho si kweli. TRA inaongozwa kwa mujibu wa sheria na kila sheria wanayoitumia imepitishwa na Bunge. Tatizo ni utumizi wa sheria. Mpaka viwango vya kodi vipo katika sheria za kodi. Makampuni makubwa hayana shida sana maana yanaweka wataalamu wa kodi kusimamia shughuli zote za kodi na wanachangia 40% ya kodi. Hayati Maguuli alilisema hili sana. Tena alienda mbali kusema wananchi wapewe elimu ya Mlipa Kodi waelewe mambo. Aligundua tatizo lipo wapi. Ushahidi wa aliyoyasema kuhusu TRA huu hapa. Naona Samia karudia mle mle. Sema watanzania tumesahau kwa sababu anasema mtu mwingine.Mimi binafsi hainingii akilini aliyekuwa msaidizi wako mkuu kama makamu wa rais afanye mabaliko makubwa kama haya kwa muda mfupi.
Kwamba malalamiko ya ukusanyaji kodi hayati JPM hakuyasikia? Malalamiko juu ya wawekezaji kusumbuliwa? Masuala ya ajira na mshahara unaotakiwa?
Je, hawaaminiki tena?
Shida ni Mama au Magu?
The emperor had no clues, na alikuwa hataki kuambiwa; naona kila mtu alikuwa anasubiri atoke waanze kufanya usafi
Unajua kusoma?Mkuu habari ya wewe. Sijajua sana uzoefu wako katika mambo ya siasa, ufuatiliaji wa habari na pia kudadavua mambo. Na pia hujaona risk ya anayoyasema mama. Tatizo kubwa lilopo ni elimu kwa mlipa kodi. Watu wakiona TRA wanaona jini limekuja kunyonya kitu ambacho si kweli. TRA inaongozwa kwa mujibu wa sheria na kila sheria wanayoitumia imepitishwa na Bunge. Tatizo ni utumizi wa sheria. Mpaka viwango vya kodi vipo katika sheria za kodi. Makampuni makubwa hayana shida sana maana yanaweka wataalamu wa kodi kusimamia shughuli zote za kodi na wanachangia 40% ya kodi. Hayati Maguuli alilisema hili sana. Tena alienda mbali kusema wananchi wapewe elimu ya Mlipa Kodi waelewe mambo. Aligundua tatizo lipo wapi. Ushahidi wa aliyoyasema kuhusu TRA huu hapa. Naona Samia karudia mle mle. Sema watanzania tumesahau kwa sababu anasema mtu mwingine.
Chonde Chonde, tusirudi nyuma kwenye ukusanyaji wa kodi. Kodi zilizo kwa mujibu wa sheria, la sivyo nchi itapoteza mapato na hatutafika hata alipotuachia Hayati.
Kwa asili watu hatutaki kulipa kodi. Ni nature ya Binadamu. Tuanzishe masomo ya kodi Kuanzia Shule ya Msingi hata yakigusa maeneo kadhaaa ya kodi ili watu waanze keulewa wajibu wao. Nchi Fulani ambayo nilishawahi ishi, watu wanaona ni aibu kuto kulipa kodi. Ni ukikwepa kodi, ni sawa na kuitwa Fisadi.
Niwaombe Watanzania, tuipende nchi yetu. Hatuna wa kutujengea nchi yetu, bali sis ndio tutaijenga nchi yetu pendwa Tanzania.
HOTUBA YA HAYATI KUHUSU KODI HII HAPA
https://www.facebook.com/
Mkuu huwezi iendesha nchi kwa mizukaaa!!ndio tatizo la mwenda zake , na aliamini haya yote hayatakuja julikana kwani , atakaa madarakani muda wa kutosha tu, hivyo hata akija kutoka mtashindwa muanzie wapi kuyafunua kumbe Mungu naye ana mchekiii tu, na kusema iiiiiiiii!!!!ki ukweli anakwenda kuaibikaa kweupe hata wale wafuasi wake , ni aibu na ndio hao wana muona mama samia kama hamtendei haki!!watu wana hasira jana tu startv walitaka kuanza kuichambua ripoti ya CAG, mtangazaji akasema hayo yaacheni kwanza,Kwahiyo Yale maukuta yote ni Hasara kwa Taifa tu.
Ni kweli mengi tulikuwa hatuyajui kipindi chake, kumbe upigaji uliendelea tu??kumbe bado madini yanaibiwa tu huko, mererani, licha ya kujenga li jikuta?, kumbe ndege ni mi hasara tu!!kumbe watu walikuwa wakikwapuliwa pesa zao bank!!mbona alituaminisha kila kitu kiko sawa?!Mkuu nakuonea huruma. You have no clue about what went on during Magufuli time. Kifupi tutamkumbuka kwa mazuri na aliyoyafanya akiwa Rais. R.I.P Hayati John Pombe Joseph Magufuli.
Tatizo kubwa la Mgufuli ilikuwa kujiona ukubwa na alikuwa hataki kambiwa kitu.Mimi binafsi hainingii akilini aliyekuwa msaidizi wako mkuu kama makamu wa rais afanye mabaliko makubwa kama haya kwa muda mfupi.
Kwamba malalamiko ya ukusanyaji kodi hayati JPM hakuyasikia? Malalamiko juu ya wawekezaji kusumbuliwa? Masuala ya ajira na mshahara unaotakiwa?
Je, hawaaminiki tena?
Tutamkumbuka kweli, lakini tuwe wakweli pia, kuna baadhi ya mambo tulikuwa tunaenda kukwama.Mkuu nakuonea huruma. You have no clue about what went on during Magufuli time. Kifupi tutamkumbuka kwa mazuri na aliyoyafanya akiwa Rais. R.I.P Hayati John Pombe Joseph Magufuli.
Pole mjane. Mererani wanaoiba ni watu wa Jiwe.Mwambieni arudishe Tanzanite one nchi ifaidi matunda yake iliyozaa. Itapendeza zaidi.
Jiwe ni muongo muongo wa kupindukia. Jiwe ni baba wa uongo.Mimi binafsi hainingii akilini aliyekuwa msaidizi wako mkuu kama makamu wa rais afanye mabaliko makubwa kama haya kwa muda mfupi.
Kwamba malalamiko ya ukusanyaji kodi hayati JPM hakuyasikia? Malalamiko juu ya wawekezaji kusumbuliwa? Masuala ya ajira na mshahara unaotakiwa?
Je, hawaaminiki tena?
Utaanzia wapi kumshauri mtu ambae yeye ndiye mshauri mkuu wa washauri wake??JPM atabaki kuwa kiongozi bora wa kizazi hiki cha sasa ukitoa Nyerere
Najiuliza hv kazi ya makamu wa Raisi ni nini kwa hali inavyooneka tunawalipa watu mishahara na kuwatunza wasiotekeleza majukumu yao aiwezekani makamu wa Rais ambae umezunguka nchi nzima kwenye kampeni tena ukala kiapo cha kumshauri Raisi kwa hekima leo tunashangaa na ww unashangaa mambo yaliofanyika na kuyabadili kana kwamba hukushiriki ktk kuanzishwa kwake.
Ndio uongozi mkuu. Ndio maana kila baada ya miaka mitano tunachagua watu. Hakuna Kiongozi atafanya mema yote na akaweza yote. Kila kiongozi ana mema na anayoyashindwa kufanya vizuriTutamkumbuka kweli, lakini tuwe wakweli pia, kuna baadhi ya mambo tulikuwa tunaenda kukwama.