Je, hayati John P. Magufuli alidanganywa na vyanzo vyake vya habari? Maana sasa ni kama kufedheheshana

Je, hayati John P. Magufuli alidanganywa na vyanzo vyake vya habari? Maana sasa ni kama kufedheheshana

Mimi binafsi hainingii akilini aliyekuwa msaidizi wako mkuu kama makamu wa rais afanye mabaliko makubwa kama haya kwa muda mfupi.

Kwamba malalamiko ya ukusanyaji kodi hayati JPM hakuyasikia? Malalamiko juu ya wawekezaji kusumbuliwa? Masuala ya ajira na mshahara unaotakiwa?
Je, hawaaminiki tena?
Aliyefedhesha atafedheheshwa, alifuta nyayo za JK acha na yeye afutwe tu
 
Mimi ukinishauri ndio unaharibu kabisaa, sasa acha Mama afanyie kazi ushauri wa wataalamu.

Usikivu nao ni kipaji hauwezi kuota kundi la wataalamu then wewe ukawa ndio unawashauri wao na ukijua fika hawatokupinga.

Karume day njema.
 
Mimi binafsi hainingii akilini aliyekuwa msaidizi wako mkuu kama makamu wa rais afanye mabaliko makubwa kama haya kwa muda mfupi.

Kwamba malalamiko ya ukusanyaji kodi hayati JPM hakuyasikia? Malalamiko juu ya wawekezaji kusumbuliwa? Masuala ya ajira na mshahara unaotakiwa?
Je, hawaaminiki tena?
Nyumbu hili
 
Hakuna kitu Magufuli amewahi kufanikiwa kwa kuwa alidhani ana akili sana na maono wakati yeye intellectually ni average student. Angalia uuzaji nuumba za Serikali, ununuzi kivuko cha Bagamoyo, meli ya Thailand na Biashara ya korosho. Yote ni madudu
 
JPM atabaki kuwa kiongozi bora wa kizazi hiki cha sasa ukitoa Nyerere

Najiuliza hv kazi ya makamu wa Raisi ni nini kwa hali inavyooneka tunawalipa watu mishahara na kuwatunza wasiotekeleza majukumu yao aiwezekani makamu wa Rais ambae umezunguka nchi nzima kwenye kampeni tena ukala kiapo cha kumshauri Raisi kwa hekima leo tunashangaa na ww unashangaa mambo yaliofanyika na kuyabadili kana kwamba hukushiriki ktk kuanzishwa kwake.
Alikuwa mjuaji na hakushaurika!
Alijiona Alfa na Omega na ndio maana wajinga kama wewe mkaanza nyimbo za atake asitake tunamwongezea muda atawale milele! Mungu mwenyezi ni Fundi! amewaaibisha sana nyie wachumia tumbo!
 
Kipindi unachosemea ww Watanzania hawafiki milioni 15 wanaenda shule ni chini ya 4% sasa hv mpo milioni 60 wanaoenda au waliofikisha umri wa kwenda shule 98% wanaenda shule uoni kuna tofauti kubwa ?
Ww kiazi kweli, kipind hicho nchi ilikua bado hata haijaagusa uchimbaji wa madini...kilimo cha mkonge tuu watu wakasoma bure. Hao watu mil 60 wamedondoka kutoka sayar ya mars? Niishie hapo!
 
Mimi binafsi hainingii akilini aliyekuwa msaidizi wako mkuu kama makamu wa rais afanye mabaliko makubwa kama haya kwa muda mfupi.

Kwamba malalamiko ya ukusanyaji kodi hayati JPM hakuyasikia? Malalamiko juu ya wawekezaji kusumbuliwa? Masuala ya ajira na mshahara unaotakiwa?
Je, hawaaminiki tena?
Nyerere alisema katiba yetu nimbaya,rais akija dikteta anaweza kujiamulia kufanya atakavyo hakuna wakumzuia!
Hii katiba inapaswa badilishwa maana nchi inaweza kupelekwa na mawazo yamtu mmoja vile ajisikiavyo yeye!!
Mifano ikowazi;
  • Nibunge gani lilipanga ununuzi wa midege haraka na kwa cash?? Jibu ni mwenda aliamua...
  • Nibunge gani liliamua kujenga daraja LA busisi?? Mwenda
  • bunge gani lilizuia madaraja na nyongeza za mishahara? Nimwenda tens alisema akitaka kutoka ndipo ataongeza...
  • Lihospitali la rufaa chato?
  • uwanja was ndege chato?
  • barabara za taa,umeme vijiji vyote,mipango chato kuwa mkoa karibuni?? ....
  • Reli yaumeme kuanza ujenzi pia tokea Mwanza ili isije badilishwa hata akiaga?
  • Maujenzi makubwa Dom? Kumzima supika?
-uteuzi kikanda zaidi mf. Waziri Nishati wakijjni kwake nk. wanajulikana
Kimsingi aliamua bila kujali mawazo ya wasaidizi wake,nao kwakuhofia kukosa vyote wakabaki kumwangalia huku wakitamani wapate nafasi warekebishe!!
Tutumie akili kidogo,hakuna MTU timamu atabeba mamipango ya mwenda yooote kama yalivyo!! Mama kasema miradi mkakati iendelee mingine atapima kwanza,heko heko kwake!! Taifa haliwezi kung'ang'ana kwanguvu kujenga Dom (ya rafikiye mtaniwe supwika),Mwanza (ya wakwe nawapush wenzie) na chato (kijj mwake).
 
Hapa kuna mambo mawili wengi mmechanganya, kuna majadiliano na maafikiano. Inawezekana kabisa katika baadhi ya mambo Rais akamuita Makamu wake wakakaa kujadiliana. Haimaanishi kwamba Rais analazimika kukaa na Makamu wake kujadiliana kila jambo.

Lakini suala jingine ni kwamba, katika majadiliano hayo kama ikampendeza Rais kumuita Makamu wake wakajadili basi Rais hafungwi na ushauri wowote unaotolewa na Makamu wake.

Kwenye majadiliano na wakuu wetu wa kazi Mara nyingi kuna mengi yanaweza kujitokeza na katika hayo huwa unatokea kabisa boss wako akaamua kutokubaliana na ushauri wako simply ana maono yake especially kulingana na cheo alichonacho na legacy anayotaka kuiacha.

Kilichomkuta Rais Samia Suluhu Hassan sio kwamba tu alikuwa ushauri wake haupokelewi lakini waweza kuona wazi kwamba hakuwa kabisa na mtazamo wa approach za mtangulizi wake.

Mama approach yake ni diplomatic na anapenda majadiliano ukiangalia meko hakuwa mtu wa majadiliano akikupigia simu ni kuulizia jambo fulani au kukupatia maelekezo fullstop.

Jiwe hakutaka ushauri hata wa watangulizi wake waliompa uwaziri kwa miaka yote, alikuwa hapokei simu kabisa aliona Tanzania ni kama yake sasa. Only mtu aliyekuwa anamuweza ni uncle Ben.

Jamaa alikaa almost mwezi mzima hajaform baraza la mawaziri kajifungia tu pekee hataki hata Makamu wake ashiriki, mpaka mzee Mkapa alipoenda kumwambia usipotangaza baraza mapema kuna bunge fupi la November to December linakuja mawaziri wako watashindwa kutetea serikali watapigwa Pini, ndio akastuka na kutangaza.

Unaweza kuona huyu mtu alikuwa anajiona yeye ndio anafaa kushinda mtu yeyote. Kidogo hapa mwishoni naona na afya ilianza kuwa mbaya alikuwa anawaachia wafanye wenyewe wateule wake na ndipo walipompiga hela ya kutosha.

Nachoweza kusema ni kwamba, mama hakuwa kwenye nafasi ya kulazimisha jiwe apokee ushauri wake. So kwa sasa mwacheni afanye yake nae alikuwa na maono yake na kila mtu ana maono yake lakini bahati mbaya hatuwezi kuwa wote viongozi.

Kwa sasa legacy ni ya mama anasema KAZI IENDELEE let's hope nae atatupeleka kwenye stage nyingine nzuri zaidi.
Umewaza kama mimi big up sana mkuu
 
Inavyoonekana mama hakua anakubaliana na jiwe mambo mengi Ila sasa hakua na nguvu ya kuyapinga na pia jiwe alikua hashauriki.kaiharibu nchi sana yule marehemu.
 
JPM atabaki kuwa kiongozi bora wa kizazi hiki cha sasa ukitoa Nyerere

Najiuliza hv kazi ya makamu wa Raisi ni nini kwa hali inavyooneka tunawalipa watu mishahara na kuwatunza wasiotekeleza majukumu yao aiwezekani makamu wa Rais ambae umezunguka nchi nzima kwenye kampeni tena ukala kiapo cha kumshauri Raisi kwa hekima leo tunashangaa na ww unashangaa mambo yaliofanyika na kuyabadili kana kwamba hukushiriki ktk kuanzishwa kwake.
Hatujabisha maana nyinyi mlikuwa wanufaika wakubwa kuliko tabaka la chini,, hasa walala hoi au wenye kipata cha chini,, haitaji kuwa na uwezo wa kufikiri kwamba huyu mtu alikuwaje,, vise versa alikuwa mtu siyo sahihi kwa taifa hili
 
Au maza kashalishwa kaseti na yule mzee mwenye tabasamu muda wote,

au maza nae alimchukia hayati kama walivyofanya mabeberu?

Au maza kafurahi paka ametoka?

Au maza anajua yaliyomkuta mzee?

Au maza, au au au
Kumbuka chama pendwa ni kile kile na watu wake ni wale wale
 
JPM atabaki kuwa kiongozi bora wa kizazi hiki cha sasa ukitoa Nyerere

Najiuliza hv kazi ya makamu wa Raisi ni nini kwa hali inavyooneka tunawalipa watu mishahara na kuwatunza wasiotekeleza majukumu yao aiwezekani makamu wa Rais ambae umezunguka nchi nzima kwenye kampeni tena ukala kiapo cha kumshauri Raisi kwa hekima leo tunashangaa na ww unashangaa mambo yaliofanyika na kuyabadili kana kwamba hukushiriki ktk kuanzishwa kwake.
@mgaka12, laiti kama ungesoma post zilizotangulia, wala usingeuliza swali la kifala kama hili!
Rudi nyuma, soma post hasa #9 ya Chief Oswald Daudi Mwakibete, utaelewa tu kama usipofanya shingo yako kuwa ngumu.
 
Mimi binafsi hainingii akilini aliyekuwa msaidizi wako mkuu kama makamu wa rais afanye mabaliko makubwa kama haya kwa muda mfupi.

Kwamba malalamiko ya ukusanyaji kodi hayati JPM hakuyasikia? Malalamiko juu ya wawekezaji kusumbuliwa? Masuala ya ajira na mshahara unaotakiwa?
Je, hawaaminiki tena?
Hii ndio maana ya 'kuzinguana'.
 
Au maza kashalishwa kaseti na yule mzee mwenye tabasamu muda wote,

au maza nae alimchukia hayati kama walivyofanya mabeberu?

Au maza kafurahi paka ametoka?

Au maza anajua yaliyomkuta mzee?

Au maza, au au au
AU
 
Back
Top Bottom