Je, hayati John P. Magufuli alidanganywa na vyanzo vyake vya habari? Maana sasa ni kama kufedheheshana

JPM atabaki kuwa kiongozi bora wa kizazi hiki cha sasa ukitoa Nyerere

Najiuliza hv kazi ya makamu wa Raisi ni nini kwa hali inavyooneka tunawalipa watu mishahara na kuwatunza wasiotekeleza majukumu yao aiwezekani makamu wa Rais ambae umezunguka nchi nzima kwenye kampeni tena ukala kiapo cha kumshauri Raisi kwa hekima leo tunashangaa na ww unashangaa mambo yaliofanyika na kuyabadili kana kwamba hukushiriki ktk kuanzishwa kwake.
Kazi ya makamu hujaielewa hadi sasa au unamatatizo ya ufahamu
 
Msianze kimsakama yule mama, yule mwendazake alikua hashauriki kwani mwenyewe alikua haoni kama abakosea na kuuwa kila kitu jwa wananchi wake
 
Au maza kashalishwa kaseti na yule mzee mwenye tabasamu muda wote,

au maza nae alimchukia hayati kama walivyofanya mabeberu?

Au maza kafurahi paka ametoka?

Au maza anajua yaliyomkuta mzee?

Au maza, au au au
Ninachokiona mimi mama samia anatengeneza njia ya kugombea Urais 2025
 
Kazi ya makamu hujaielewa hadi sasa au unamatatizo ya ufahamu
Inawezekana ww ndo unamatatizo ya ufahamu, moja ya majukumu ambayo makamu anakula kiapo kabisa kwa mujibu wa katiba ni kumshauri Rais tena kwa hekima, je alifanya kazi yake? kama alifanya kazi yake bhasi yote tunayoyaona na ambayo anayatoa au kuyabatilisha yeye pia ameshiriki.
 
Even that lady was ..dukuliwa.. uhuru wakusema haukuwepo.
 
Tujitahidi Sana kuheshimu michango ya watu wamejitoa kulijenga taifa letu...mwendazake ameumaliza mwendo lkn naamini Kuna Mambo mengi mema aliyafanya kwa taifa hili kwangu binafsi ameacha legancy .Kama binadamu alikua na mapungufu yake lkn amefanya kazi kubwa kwa kipindi alichokuwepo mchango wake kwa taifa ni mkubwa mno Kuna watu hapa kazi kumponda tu unakuta hata kwenye familia zao tu hawana mchango wowote...we better have some respect
 
Mimi binafsi hainingii akilini aliyekuwa msaidizi wako mkuu kama makamu wa rais afanye mabaliko makubwa kama haya kwa muda mfupi.

Kwamba malalamiko ya ukusanyaji kodi hayati JPM hakuyasikia? Malalamiko juu ya wawekezaji kusumbuliwa? Masuala ya ajira na mshahara unaotakiwa?
Je, hawaaminiki tena?
haya mazingira aliyatengeneza mwenyewe. na hakuna mchawi hapa ila yeye.
kwanza kabisa alijenga mazingira ya kusikia habari nzuri tu. hali ilifanya wasaidizi wake kumpa false informations.
atake mwambia ukweli anakuwa fired on the sport. au atakuwa labeled anatumika na mabeberu.

kwa style hiyo alijenga group linalo mlisha false info.
 
Mimi binafsi hainingii akilini aliyekuwa msaidizi wako mkuu kama makamu wa rais afanye mabaliko makubwa kama haya kwa muda mfupi.

Kwamba malalamiko ya ukusanyaji kodi hayati JPM hakuyasikia? Malalamiko juu ya wawekezaji kusumbuliwa? Masuala ya ajira na mshahara unaotakiwa?
Je, hawaaminiki tena?
Mara kadhaa alikuwa anarudia phrase kuwa ' yeye hashauriki'
Hiyo tu itoshe kusema matatizo yote aliyatengeneza kwa mikono yake mwenyewe,
 
JPM atabaki kuwa kiongozi bora wa kizazi hiki cha sasa ukitoa Nyerere

Najiuliza hv kazi ya makamu wa Raisi ni nini kwa hali inavyooneka tunawalipa watu mishahara na kuwatunza wasiotekeleza majukumu yao aiwezekani makamu wa Rais ambae umezunguka nchi nzima kwenye kampeni tena ukala kiapo cha kumshauri Raisi kwa hekima leo tunashangaa na ww unashangaa mambo yaliofanyika na kuyabadili kana kwamba hukushiriki ktk kuanzishwa kwake.
Mwendazake alikua mkoloni mweusi
 
Magu ni mtu ambae alikuwa hashauriki.
 
Mimi binafsi hainingii akilini aliyekuwa msaidizi wako mkuu kama makamu wa rais afanye mabaliko makubwa kama haya kwa muda mfupi.

Kwamba malalamiko ya ukusanyaji kodi hayati JPM hakuyasikia? Malalamiko juu ya wawekezaji kusumbuliwa? Masuala ya ajira na mshahara unaotakiwa?
Je, hawaaminiki tena?
Hakudanganywa aliaambiwa alichotaka kusikia.rudisha kumbukumbu nyumaaaa.kijana aliyeibua ubovu wa hostel za Magufuli udsm alikanatwa badala ya kukamatwa mjengaji.taasisi zote hawakutakiwa kuogelea mapungufu katika serikali.ukikosoa mtendajiu au utendaji ni tatizo.wapendwa wake kama akina kakonko untouched kwa namna yeyote.Mfugale aliwahi kutunushia nauli PM alitoa amri meneja wa tanroad morogoro aondolewe arudishe makao makuu.mwendazake alipenda asikike yeye tu anaibua na kutumbua.ukiwa na maoni tofauti haumfai.wengi tuna njaa ikawa tumikia kafiri upate mradi wako.
Haiwezekani kupiga Vita rushwa wakati huo huo unapiga Vita vyombo vya habari na watoa habari.unavibana visiandike ili tuone kila kitu sasa safi,mathala yake ndio haya .ebu waza ATCL alikuwa anasemaje na CAG wake huyuhuyu alifyata mkia.
Ashukuliwe kwa miradi ya kimkakati na mambo mengi aliyoafanya mazuri
RIP JPM
 
Hii takwimu ya kuwa enrollment ni 98% alafu 50% wanaacha shule kwa ujauzito uliipata wapi?

Hilo la kumaliza shule huku hawajui kusoma utakuwa upo sawa.
Wapi nimesema 50? Nimesema ELFU 50 huwa wanaacha shule annually sababu ya mimba-related/ndoa za udogoni.

Utafiti ulifanyika kwamba waliomaliza darasa la saba (Public) wengi hawawezi kusoma sentensi ya kiingereza na hyu mnategemea akasome mpka chuo kwa lugha asiyoiweza.

Matatizo ya content quality ni mengi kuzidi 98% enrollment-political ploys.
 
JPM atabaki kuwa kiongozi bora wa kizazi hiki cha sasa ukitoa Nyerere

Najiuliza hv kazi ya makamu wa Raisi ni nini kwa hali inavyooneka tunawalipa watu mishahara na kuwatunza wasiotekeleza majukumu yao aiwezekani makamu wa Rais ambae umezunguka nchi nzima kwenye kampeni tena ukala kiapo cha kumshauri Raisi kwa hekima leo tunashangaa na ww unashangaa mambo yaliofanyika na kuyabadili kana kwamba hukushiriki ktk kuanzishwa kwake.
Kiongozi wa bora wa kizazi hiki alikuwa hashauriki, sijui hiyo sifa ya ubora inatoka wapi!!
 
Wapi nimesema 50? Nimesema ELFU 50 huwa wanaacha shule annually sababu ya mimba-related/ndoa za udogoni.

Utafiti ulifanyika kwamba waliomaliza darasa la saba (Public) wengi hawawezi kusoma sentensi ya kiingereza na hyu mnategemea akasome mpka chuo kwa lugha asiyoiweza.

Matatizo ya content quality ni mengi kuzidi 98% enrollment-political ploys.
Nilikosea kuangalia bandiko. Kwa kuwa elfu 50 wanaacha masomo ndio mnataka kuanzisha vuguvugu la kutaka warudishwe mashuleni wanapomaliza kujifungua?

Hilo la kuzalisha wanafunzi wasioweza kusoma kiingereza baada ya kuhitimu la saba ni suala ambalo linatatuliwa kwa kuboresha ubora wa elimu.
 
Jiwe alkiwa haambiliki na alikuwa anakiri hivyo mwenyewe
 
Nilikosea kuangalia bandiko. Kwa kuwa elfu 50 wanaacha masomo ndio mnataka kuanzisha vuguvugu la kutaka warudishwe mashuleni wanapomaliza kujifungua?

Hilo la kuzalisha wanafunzi wasioweza kusoma kiingereza baada ya kuhitimu la saba ni suala ambalo linatatuliwa kwa kuboresha ubora wa elimu.
Issue sio warudishwe au lah.... Kila mtoto ana haki ya kupata elimu. Hauwezi uka risk kuzalisha mambumbumbu elfu 50 kila mwaka hvi unategemea taifa litakuaje baadae?

Chuo mbona wanabeba mimba na kulalana sijasikia wakisimamishwa chuo? Au maadili ni primary tu? Hvi hakuna adhabu mfano fine au kufungiwa ajira ya serikali kuliko kumnyima mtu haki ya msingi ya kupata elimu.

Tanzania kujifanya tunampenda Mungu kuliko hata mabeberu waliotuletea dini. Kituko sasa hamzuii mauzo ya bia, sigara, hamfungii bar, hamzuii kuuza condom, hamfungi lodge kwa wasio na ndoa, hamfungii nyimbo chafu au porn sites alafu mnataka tu kupunish watoto sababu ya general mdororo wa maadili.

Inashangaza sana
 
Back
Top Bottom