Je, hayati John P. Magufuli alidanganywa na vyanzo vyake vya habari? Maana sasa ni kama kufedheheshana

Binadamu mbishi hua anaachwa kama alivyo...

Ni fedheha kubwa sana, kwa awamu ya Tano...
 
Ndio uongozi mkuu. Ndio maana kila baada ya miaka mitano tunachagua watu. Hakuna Kiongozi atafanya mema yote na akaweza yote. Kila kiongozi ana mema na anayoyashindwa kufanya vizuri
Ni kweli, tatizo ni kwamba watu walifikia kipindi kutaka tuamini kwamba ni yeye peke yake ndio anaweza kuongoza hii nchi. Tumpe muda mama tuone anatupeleka wapi.

Unaweza ukawa na mapungufu machache, lakini ya msingi. Ndio ilikuwa shida ya Uncle. He was too stubborn, ukiwa kiongozi mkubwa ubishi uliopindukia ni weakness mbaya sana.

From my experience, kuna wakati tunakaa watu wazito sana, wametuzidi elimu, umri na utajiri; anakuja na ideas zake unamwelezea mahala ambapo unaamini kutaleta shida, na mara nyingi sana wanakuwa flexible enough kukubali ushauri. Lakini bwana Jiwe, hakuna asichokuwa anajua. I have heard cases kadhaa ambazo mzee anapewa live, kesho mtu hana uwaziri. Unajenga hofu, inafikia kipindi badala ya wao kumsaidia, yeye ndio anakuwa anawasaidia maana hawajiamini tena.

Gari hata iwe inakimbia kiasi gani, kama haiwezi kupunguza mwendo pale dereva anapohitaji, haifai.
 
πŸ€πŸ‘‹πŸ€›πŸ‘
 
Mu
muda ni mwalimu mzuri.
Muda umeshajibu ndugu huoni anavyosulubiwa,tuliwaambiaga hamkusikia.
Tena anasulubiwa kwa colabo ya wanaCCM, Wapinzani na wasio na vyama.
Wote hawa hawaezi kuwa wajinga.
Huko nyuma tulisema sisi Kwanza kuwa wakati Ni Mwalimu mzuri,Sasa Ni ndio wakati umeshatoa majibu.
 
Labda ulisoma wakati wa Nyerere! Elimu ya bure ilitoweka kuanzania mwaka 1985, ikaanza kama mchango wa elimu Sh20 na kadri siku zilivyokwenda ndipo karo ilikuwa inaongeza; imepita miaka 30 ndipo elimu ya bure ikarudi tena.
Uzuri ni kwamba hujapinga hoja yangu
 
Tumemaliza kuomboleza hivyo ni vema huyu mtu tusimzungumzie kabisa. Tugange yajayo. Tumwangalie mama tu na ni lazima apange safu yake. Iliyokuwepo si yake. Isitoshe kila mtu ana utashi wake wa kufanya mambo. Hebu nikuulize, corona ipo nchini haipo? Huu ni mfano mmoja tu wa vitu vya kweli ambavyo mama ameanza kuvishughulika.
 
Katiba inasema kuwa Raisi halazimiki kufuata ushauri wa mtu yeyote. Unajuaje kama hakumshauri? Kuna wakati mama alitaka kuachia ngazi kwa udikteta wa baba, ila wazee wakamwambia akomae. Wakati mwingine za kuambiwa changanya na zako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…