Je, hii ni hotuba ya mwisho ya Mpina?

Dogo unachekesha sana

unashgangilia eti shetani kamshinda Mungu ni swala la muda tu

Au ni swala la kujilisha upepo

Dogo sisi tuliijua kasha hii kabla ya mpina
mlijua nini gentleman?

ilisaidi nini sasa kwa kujua kwenu kabla...

Mungu ni wa wote, wamwaminio, wamtegemeao na kumtumainia mpendwa wala huna haja kubabaika eneo hili
 
sheria ipi hiyo gentleman
Tlaa

Kwa kiasi fulani Waziri Bashe alidanganya sana.

Waziri Bashe alisema hakuna hata kilo moja iliyoingia mwaka 2022/2023 hilo halikuwa kweli mkuu. Kwani wafanyabiashara wenye viwanda vya sukari waliingiza Tani 6801.

Na mheshimiwa mpina akamuomba Spika apitie CAG Ukaguzi wa mashirika ya umma.

Hiyo ni Ripoti ya CAG. Mimi mpina alipotoa ule waraka niliupitia moja baada yq nyingine kujiridhisha, kwa kiasi chake alisema vingi vya ukweli na vdeo zipo zikionyesha uongo aliosema waziri bashe. Ila kama wanafikiri mpina kakosea lakini bashe yupo sahihi kudanganya ni sawa, japo Watanzania tulishaona ukweli ni upi hata kama mpina anatumika.

Mkuu Tlaa,
Hata hivyo mheshimiwa bashe alisema nchi inq gap sugar ya Tani 60000 si kweli kwani hata jedwali hapo linaonekana mkuu, zilikuwa zikihitajika tani 30000 tu hivyo Mheshimiwa bashe alidanganya bunge na watanzania wote.

Lakini pia nilipitia barua ya bodi ya sukari Tanzania iliyoandikwa na mkurungezi wa bodi prof. Bengesi kwenda kwa katibu mtendaji ikionyesha uhitaji unaohitajika na aliousema bashe ni tofauti hivyo ni uongo.

Sitaki kusema sana lakini ukipata muda pitia sheria za bodi ya sukari, pitia barua utaona kwamba mpina anachoongea ni sahihi. Lakini ni sababu masilahi ya wakubwa lazima wafanye walichofanya.
 
Attachments

  • F12B5C91-51B6-4CC9-84D3-3B2F777840BA.jpeg
    172.8 KB · Views: 1
Hayakuhusu!! Jamii forum inazidi kudidimizwa na CHAWA. CHAWA wamemwagwa Kila Kona kutetea wezi
 
mlijua nini gentleman?

ilisaidi nini sasa kwa kujua kwenu kabla...

Mungu ni wa wote, wamwaminio, wamtegemeao na kumtumainia mpendwa wala huna haja kubabaika eneo hili
kwa kwwli mungu ni wawote na katusaidia sana kuona tulivyo na Spika mwrnye uchi wa akili kama tulivyokuwa tunajiaminisha🤣🤣🤣 hata yeye ukimuuliza kwann bashe kafukuzwa sijui atajibu nini!!
 
Yani Kuna wapumbavu wamo humu jf, wanastahili kuhasiwa kabisa...

. Huwa nashangaa sana mtu anatetea wananchi lakini baadhi ya ng'ombe wanamshambulia kwa maneno ya hovyo.
 
kwamba hata unachotetea hukijui?😂😂😂😂 kuna vitu kuvitetea inahitaji ujasiri tu 😂😂😂 huyu mpina ni team magu kavua nguo bunge lote
si kama mpina tu alivyojaribu kutete na kuufanya uongo kua ukweli tena mbele ya umma wa waTanzania kupitia bunge na ikamtokea puani?

ni kazi ngumu sana hiyo aise
 
si kama mpina tu alivyojaribu kutete na kuufanya uongo kua ukweli tena mbele ya umma wa waTanzania kupitia bunge na ikamtokea puani?

ni kazi ngumu sana hiyo aise
uko juu nimeona kuna memba kakutumia mpaka maripoti ya ukaguzi🤣🤣🤣🤣 kukuonyesha bashe alivyo muongo lakini sababu tushapokea pesa hatuna namna zaidi ya kutetea mpaka mwisho😂😂🤣🤣
 
kwa kwwli mungu ni wawote na katusaidia sana kuona tulivyo na Spika mwrnye uchi wa akili kama tulivyokuwa tunajiaminisha🤣🤣🤣 hata yeye ukimuuliza kwann bashe kafukuzwa sijui atajibu nini!!
na ametuonyesha mtu asie mkweli na ameumbuka na bado ataendelea kujiumbua mwenyewe na uongo na kiburi chake
 
uko juu nimeona kuna memba kakutumia mpaka maripoti ya ukaguzi🤣🤣🤣🤣 kukuonyesha bashe alivyo muongo lakini sababu tushapokea pesa hatuna namna zaidi ya kutetea mpaka mwisho😂😂🤣🤣
hajakutumia yale maripoti ya kutaifisha ng'ombe za watu na kutokomea nazo, na zile kuchoma vifaranga vya wafanyabiashara waliogoma kumpa rushwa na zile nyavu za wavuja jasho?

mwambie jamaa akutumie pia nazo usome
 
mbona kama umepaniki😂😂🤣🤣🤣🤣 kwahyo sasa unakubali kwamba mpina ni yuda iskarioti😂😂😂😂 haya tuambie na hiyo ripoti ya CAG nayo inamsingizia bashe?😂😂🤣🤣🤣 kama zipo hizo taarfa za mpina zilete hapa na yeye tumkaange
 
Yani Kuna wapumbavu wamo humu jf, wanastahili kuhasiwa kabisa...

. Huwa nashangaa sana mtu anatetea wananchi lakini baadhi ya ng'ombe wanamshambulia kwa maneno ya hovyo.
kama ni muongo hastahili kuachwa,
ashambuliwe vizuri sana kwa nguvu zote ili ashike adabu awe mkweli
 
tumalizane kwanza na uongo huu anaoendelea nao kwa kiburi
 
Hayakuhusu!! Jamii forum inazidi kudidimizwa na CHAWA. CHAWA wamemwagwa Kila Kona kutetea wezi
relax gentleman,
tuliza ball mihemko sio deal,

waongo na wazushi lazima wadhibitiwe vilivyo, maana hakuna namna nyingine sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…