Usimlaumu Rais mkuu!
Rais ameonyesha uwezo wake ndio huo kwamba kukopa ndio suluhisho kuu!!
Ilaumu Dola inayoweka viongozi madarakani!!
Dola ndio imetufikisha tulipo hadi sasa!
Unafikiri kama Dola isingemuhakikishia Rais kumaliza muhula wake akiwa madarakani Kwa mechanism za kumwondoa TU bila blood shed yaani Kwa political intelligence ya check and balance,unafikiri Tanzania ingekua kwenye Hali kama hiyo!!?
Hapana ,
Kiasi kwamba Makam was Rais,jaji mkuu na waziri mkuu muda wowote wanaweza kuapishwa kuwa Rais na Rais aloe madarakani akawekwa benchi na mashtaka kibao ya uhujumu uchumi,nani angechezea rasilimali zetu!!!?
Ni vile tu dola inafanya compromise na ubadhirifu ndio Maana wanasiasa wanafanya uchafua wao wanapeta kama kawa!!!
DOLA IMETUANGUSHA SANA!