Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaendeshwa na genge la wezi wenye nguvu ya pesaViongozi wa Afrika ni bure kabisa, kama ulivyosema CURSE; wana-viubongo vidogo sana- IQ
Hii ni lugha. Uandishi unamfanya msomaji aone ulichomaanisha pasipo kukisema. Si lazima kusema nimeidharau Korea ndipo msomaji aelewe. Na hiyo ndiyo sanaa ya lugha.Unaniamulia cha kuandika!?
You are stupid.Hii ni lugha. Uandishi unamfanya msomaji aone ulichomaanisha pasipo kukisema. Si lazima kusema nimeidharau Korea ndipo msomaji aelewe. Na hiyo ndiyo sanaa ya lugha.
Unaanza kurusha ngumi unapozidiwa maarifa Mr bloggerYou are stupid.
Ile mara ngapi mkuu...Ccm na Chadema wanapaswa kuungana kumuondoa huyu bibi tofaut na hapo itakula kwetu.
Ukiona mtu anakimbilia matusi badala ya hoja, ujuwe umemzidi maarifa. Usimrudishie matusi ... people might not distinguish the differenceMatackle...
Kama unazo akili kichwani utanielewa, ila kama medulla imejaa mucus basi Pole kwakoSo what ?
Hii comment ilifaa iwe uzi kamili.Kiumbe ambae hakuwahi kuota kuwa Rais wa nchi anapata madaraka kwa mtindo wa bahati nasibu, anaingia ikulu akiwa hajui moja wala mbili kuhusu uongozi, matokeo yake anatoa sehemu ya ardhi ya nchi aliyopewa kuiongoza kwa wageni huku yeye kwa ujinga wake akiamini bado ana mamlaka kamili ya kiuongozi.
Kiongozi anayefikiria kwenda kwenye show ya msanii ndio maana hata sishangai akituhumiwa kwa kashfa za kipuuzi, namuona kabisa ana tabia zote za kufanana na kashfa anazohusishwa nazo, hatuwezi kuwa na kiongozi wa hovyo namna hiyo halafu tubaki salama kama taifa, lazima tuumizwe tu.
Akili yake ya ajabu kwa sasa inafikiria tu wawekezaji huku akiwa amewasahau kabisa wazalendo wa nchi hii na vizazi vyao, ameingia upofu wa akili anaongoza kama vile yeye ndie atakuwa kiongozi wa mwisho kutawala hili taifa, kichwani hana kitu akiulizwa maswali ya msingi anajibu taarabu zile zilizomkuza kule alipozaliwa, tuna hasara sana kama taifa.
Mbaya zaidi ya yote ni pale anapotuonesha hayupo tayari kujifunza kutokana na makosa, alianza kukosea kwa DPW, kabla ya hapo akakosea Ngorongoro kwa wamasai, akaenda kukosea kwa KIA, na sasa anakosea kwa Wakorea.
Yote hayo anafanya kwasababu anajua mikataba ya hovyo wanayoingia kuitoa sadaka Tanganyika yetu wataifanya siri, kwake anaamini walinzi wake ni chawa wataokuja na maelezo marefu kutetea ujinga wake yasiyo na mantiki huku mwisho wakiweka namba zao za simu watupiwe chochote, wako kama mbwa wanaozunguka nje ya jumba la tajiri ndimi zao zikiwa nje kwa njaa, walaaniwe.
Cha ajabu Kasi ya kuingia mikataba mibovu kama hiyo imeongezeka sana Tanganyika ila zenjibar hakuna!1. Waarabu wa familia ya kifalme Dubai, (DP WORLD) wamepewa kuendesha bandari ya Dar es Salaam kwa mikataba ya kiduanzi unaotajwa miaka thelathini
2. Waarabu wa familia ya kifalme ya Dubai (Blue Carbon LLC) wamepewa kusimamia na kuhifadhi misitu ya Tanzania. Hii ni hekta milioni 8.1 (8% ya ardhi yote)
3. Watu wa Korea Kusini wamekabidhiwa kipande cha bahari ya Hindi na ardhi wachimbe madini nadra. Ajabu, hawa na mkopo wametoa na TUTALIPA na riba
4. Watu wa Australia (URANEX) wamepewa ardhi nzuri wachimbe madini nadra ya kimkakati na graphite Mkoa wa Lindi. Kampuni zao tatu zitauza madini nje
5. Watu wa Canada (BARRICK GOLD) wanaondoka na dhahabu. Hawajajenga hata smelters moja. Wanaacha mashimo na watu wetu kupigwa risasi
6. Waarabu wa familia ya kifalme Dubai (OBC) wao wameongezewa 1,500km² kutoka 4,000km² zilizokuwa kwa Maasai ambao wamebaki na 2,500km²
7. Watu wa Netherlands (SHELL) na Norway (EQUINOR) wamepewa kuchimba gesi asilia eneo la bahari kuu kusini mwa Tanzania, eneo la Likong’o Lindi
8. Waarabu wa Dubai, Emirates National Group (ENG) wamepewa kuendesha huduma katika mradi wa mabasi yaendayo haraka (DART), Dar es Salaam.
9. Watu wa France, Maurel & Prom Exploration Production (T) Ltd. (MPEP) wamenunua hisa kitalu cha uzalishaji wa gesi asilia cha Mnazi Bay, Mtwara.
10. Kandarasi ujenzi Bwawa la Nyerere (JNHPP) kapewa Egypt. Kandarasi ya ujenzi wa SGR kapewa China na Turkey. Waswahili mtapewa Kanda Bongoman.
NB; Umepewa nini wewe? Unaendelea kuwa admin wa kundi la WhatsApp, kuwatishia watu na ‘remove button’ wanaokosoa serikali? Shensisana. Zoea hiyo sauti
Martin Maranja Masese, MMM.
Yaani unywe pombe za Mmarekani halafu wakati wakuondoka nae ukifika ugome? Huna uwezo huo.Hawa weupe wametajirika sana Kwa mali zetu,wameiba sana mali zetu na kuwafanya Babu zetu watumwa,dawa ni kuwakopa na kutowalipa tuh.
Hatupingi uwekezaji lakini mbona mikataba yote ni Siri kubwa ??1. Waarabu wa familia ya kifalme Dubai, (DP WORLD) wamepewa kuendesha bandari ya Dar es Salaam kwa mikataba ya kiduanzi unaotajwa miaka thelathini
2. Waarabu wa familia ya kifalme ya Dubai (Blue Carbon LLC) wamepewa kusimamia na kuhifadhi misitu ya Tanzania. Hii ni hekta milioni 8.1 (8% ya ardhi yote)
3. Watu wa Korea Kusini wamekabidhiwa kipande cha bahari ya Hindi na ardhi wachimbe madini nadra. Ajabu, hawa na mkopo wametoa na TUTALIPA na riba
4. Watu wa Australia (URANEX) wamepewa ardhi nzuri wachimbe madini nadra ya kimkakati na graphite Mkoa wa Lindi. Kampuni zao tatu zitauza madini nje
5. Watu wa Canada (BARRICK GOLD) wanaondoka na dhahabu. Hawajajenga hata smelters moja. Wanaacha mashimo na watu wetu kupigwa risasi
6. Waarabu wa familia ya kifalme Dubai (OBC) wao wameongezewa 1,500km² kutoka 4,000km² zilizokuwa kwa Maasai ambao wamebaki na 2,500km²
7. Watu wa Netherlands (SHELL) na Norway (EQUINOR) wamepewa kuchimba gesi asilia eneo la bahari kuu kusini mwa Tanzania, eneo la Likong’o Lindi
8. Waarabu wa Dubai, Emirates National Group (ENG) wamepewa kuendesha huduma katika mradi wa mabasi yaendayo haraka (DART), Dar es Salaam.
9. Watu wa France, Maurel & Prom Exploration Production (T) Ltd. (MPEP) wamenunua hisa kitalu cha uzalishaji wa gesi asilia cha Mnazi Bay, Mtwara.
10. Kandarasi ujenzi Bwawa la Nyerere (JNHPP) kapewa Egypt. Kandarasi ya ujenzi wa SGR kapewa China na Turkey. Waswahili mtapewa Kanda Bongoman.
NB; Umepewa nini wewe? Unaendelea kuwa admin wa kundi la WhatsApp, kuwatishia watu na ‘remove button’ wanaokosoa serikali? Shensisana. Zoea hiyo sauti
Martin Maranja Masese, MMM.
Kuna kitabu aliandika prof. Sith chachage" makuwadi wa soko huria"Ipo siku tutajua hatujui, na sisi pia ni watumwa, naomba professor mmoja aandike kitabu cha utumwa wa kiuchumi
Mkuu wakishamaliza kuuza Kila kitu na nchi ikabaki bila vyanzo vya mapato eti ndo wataachia wapinzani waangaike nayo.Kiumbe ambae hakuwahi kuota kuwa Rais wa nchi anapata madaraka kwa mtindo wa bahati nasibu, anaingia ikulu akiwa hajui moja wala mbili kuhusu uongozi, matokeo yake anatoa sehemu ya ardhi ya nchi aliyopewa kuiongoza kwa wageni huku yeye kwa ujinga wake akiamini bado ana mamlaka kamili ya kiuongozi.