Je, hii ni Mikataba ya Kimangungo katika jina la Uwekezaji?

Hawa weupe wametajirika sana Kwa mali zetu,wameiba sana mali zetu na kuwafanya Babu zetu watumwa,dawa ni kuwakopa na kutowalipa tuh.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Jaribu kuupa uhuru ubongo wako utafute taarifa. Tumia internet especially GOOGLE kujua hilo taifa unaloliponda likoje. South Korea kiuchumi ni nchi ya 14 duniani.

 
Usimlaumu Rais mkuu!

Rais ameonyesha uwezo wake ndio huo kwamba kukopa ndio suluhisho kuu!!

Ilaumu Dola inayoweka viongozi madarakani!!

Dola ndio imetufikisha tulipo hadi sasa!

Unafikiri kama Dola isingemuhakikishia Rais kumaliza muhula wake akiwa madarakani Kwa mechanism za kumwondoa TU bila blood shed yaani Kwa political intelligence ya check and balance,unafikiri Tanzania ingekua kwenye Hali kama hiyo!!?

Hapana ,

Kiasi kwamba Makam was Rais,jaji mkuu na waziri mkuu muda wowote wanaweza kuapishwa kuwa Rais na Rais aloe madarakani akawekwa benchi na mashtaka kibao ya uhujumu uchumi,nani angechezea rasilimali zetu!!!?

Ni vile tu dola inafanya compromise na ubadhirifu ndio Maana wanasiasa wanafanya uchafua wao wanapeta kama kawa!!!

DOLA IMETUANGUSHA SANA!
 
Ruto unayeamini anajielewa kuna thread huku inamhusu kwamba yeye na Rais wa Nigeria ndio wanaoongoza kusafiri nje. Hivi kwanini tusiwe na thread kwenye sticky pale juu ambayo tutakuwa tunahesabu hizi safari za nje ili miaka 10 ikimalizika tujue idadi ya safari za nje ili tupime na matokeo yake!!?
 
Kukopa koa siungi mkono, kubeba wale jamaa siungi mkono.
Ila ninapopingana na wewe ni kuidharau south korea. Ile nchi imeendelea sana hasa katika nyanja za kiteknolojia iko ahead ya nchi nyingi za ulaya. Korea ina maendeleo makubwa kweli
 
Uchumi wa nchi hauwezi kukua kwa maneno ya kiharakati bali kwa mtaji wa kiuchumi tu.

Kama hujui uchumi wa dunia unavyo operate itakuwa sawa na mbuzi kusikiliza gitaa
 
Umeleta point nzuri sana. Halafu mie nilifikiri ni Rais wetu tu, nilipomuuliza rafiki yangu Korea ati Rais wa Tz yupo huko akaniambia kuwa kuna maRais 48 wamefika. Ujue wote ni Waafrika; halafu wanaswagwa kama kondoo; wakisikia huku kuna pesa basi hao wanarukia wote wanaenda----; umewahi kusikia nchi zingine zinazoswaga kama Africa? Hakuna. Halafu kama ulivyosema yaani Korea!!!!!!!!

Viongozi wa Afrika ni bure kabisa, kama ulivyosema CURSE; wana-viubongo vidogo sana- IQ
 
Kukopa koa siungi mkono, kubeba wale jamaa siungi mkono.
Ila ninapopingana na wewe ni kuidharau south korea. Ile nchi imeendelea sana hasa katika nyanja za kiteknolojia iko ahead ya nchi nyingi za ulaya. Korea ina maendeleo makubwa kweli
Ni wapi nimesema nimeidharau Korea. !?
 
Tatizo sio safari za nje tatizo ni hili:-

"Wakati wanajeshi wakilinda mipaka ya nchi kizalendo,wanasiasa walipaswa kulinda rasilimali zetu,je ulinzi wa rasilimali zetu unaridhisha!!!?
 

So apinduliwe? Kama Burkinafaso!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…